Rupia: Hazina ya Mjerumani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rupia: Hazina ya Mjerumani

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by client3, Jul 14, 2012.

 1. client3

  client3 JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2012
  Joined: Aug 6, 2007
  Messages: 742
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Mwana jf
  Je umeshawahi kusikia visa na mikasa ya watu wanaotafuta rupia maarufu kama pesa au hazina ya mjerumani?
  Binafsi nimekuwa nikisikia kuna watu huwa wanakwenda mahala ambapo wamepewa viashiria kuwa kuna rupia na huchimba kama wachimbavyo wachimbaji wa migodini...
  Hii shughuli ni maarufu sana mkoani Mbeya na Njombe Iringa, nimewahi ona tukio la nyumba kubomoka baada ya watu waliokuwa wakichimba chini kwa chini kutokezea kwenye nyumba ya mzee mmoja huko Mbeya.

  Maswali yangu ni:
  1. Je, kuna ukweli wowote wa hili jambo?
  2. Je, rupia ni nini...ni pesa hasa au aina fulani ya kitu cha thamani?
  3. Je, rupia hutumiwaje baada ya kupatikana kwani kuna tetesi kuwa ina thamani kubwa sana.
  4. Kuna mtu ashawahi kuiona hiyo rupia.

  Nawasilisha

   
 2. S

  SHIMBONONI Senior Member

  #2
  Jul 17, 2012
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 112
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Mkuu,
  Suala la Rupee/ Rupia ni fedha iliyotumika wakati wa Ukoloni wa Mjerumani. Kuhusu thamani ya fedha hiyo haina thamani yoyote kama inavyodhaniwa. Pamoja na hilo la utafutaji hazina na hilo la utafutaji Rupia ni mbinu za Wajanja ( Matapeli) kujipatia fedha kwa watu wanaowalenga. Wengi wamelizwa kwa mtindo huu wa utajiri wa haraka na mteremko.
   
 3. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #3
  Jul 18, 2012
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Rupee ni fedha iliyotumiwa wakati wa mjerumani. sarafu zake zitengenzwa kwa madini ya shaba na fedha tu, kwa hiyo nyingi haina tahamani. Hata hivyo kuna sarafu moja iliyotolewa muda mfupi kabla ya vita ya kwanza ya dunia ilikuwa imetenegezwa kwa dhahabu tupu; nadhani hiyo ndiyo inayotafutwa. Sarafu hiyo iliyokuwa inajulikana kama Tabora Pound ilitolewa mwaka 1916 na haikupta kusambaa sehemu nyingi za nchi. Sehemu kubwa ya sarafu hiyo ilihifidhaiwa kwa kuficwa chini ya ardhi ikiwa bado ndani ya msanduku yake, na huenda hiyo ndiyo inayotafutwa.

  Miaka kadhaa iliyopita niliwahi kuweka hapa historia ya sarafu yetu na niliongelea hiyo Tabora Pound na thamani yake leo.
   
 4. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [TABLE="class: toptable, width: 958"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG]
  1905 German East Africa 50 Rupien...​
  $399.99

  Free Shipping
  See suggestions

  [/TD]
  [TD="align: center"][​IMG]
  Germany GERMAN EAST AFRICA 10...
  $75.00


  [/TD]
  [TD="align: center"][​IMG]
  Germany GERMAN EAST AFRICA 5...
  $75.00


  [/TD]
  [TD="align: center"][​IMG]
  German East Africa, 5 Rupien, 1905, P-1,...
  $499.00

  Free Shipping
  See suggestions

  [/TD]
  [TD="align: center"][​IMG]
  DEUTSCH OSTAFRIKA (GERMAN EAST...
  $7.99


  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  1905 German East Africa 10 Rupee Banknote High Grade Tanganyika | eBay
   
 5. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #5
  Jul 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
  [​IMG]

  German East Africa Company 1/4 Rupee, 1901 (Tanganyika)

  R165.00


   
 6. S

  SHIMBONONI Senior Member

  #6
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 112
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Mkuu Kichuguu,
  Yawezekana usemayo kuhusu TABORA POUND yakawa na Ukweli kiasi fulani! Lakini kuna Utapeli mwingi unaendelea kwa Imani hiyo ya Kupata utajiri wa haraka kupitia fedha na Vifaa vya Kijerumani kama vle Pasi, Stove, bunduki, nk. Nina Ushuhuda wa ndg yangu aliyepoteza mali zake nyingi kupitia style ya Utapeli huo ingawa hadi leo haamini kuwa ameibiwa bali vifaa alivyonunua vilirudi kwa mwenyewe.
   
 7. Goldman

  Goldman JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 1,262
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  mostly ni utapeli
   
 8. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #8
  Jul 24, 2012
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  SOMA HII:  The Balson Holdings Family Trust owns two type "B" 15 Rupien pieces - displayed below.This coin below was purchased by the Balson Holdings Family Trust from Heritage Coins in June 2005 (Item 13154) they noted: "lustrous AU and about as nice as we have seen one of these pieces". This piece is about as good as the "Tabora Pound", under siege conditions, gets. Value over US$4,000.

  [​IMG]
  [​IMG]

  This coin below, almost UNC for the series, is owned by the Balson Holdings Family Trust. It reflects the deterioration of the dies over time - in particular on the side of the elephant - see rim bottom right area and the rim bordering the eagle at 6 and 9 o'clock. Value over US$3,000.


  [​IMG]
  [​IMG]
   
 9. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #9
  Jul 24, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Mi nnayo stove na najua sehemu hivi vyote vilivotajwa vilipo mtu akitaka anipm
   
 10. client3

  client3 JF-Expert Member

  #10
  Jul 25, 2012
  Joined: Aug 6, 2007
  Messages: 742
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #11
  Jul 28, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,417
  Likes Received: 22,323
  Trophy Points: 280
  Ujinga mtupu, wacha mazuzumagic waendelee kutapeliwa
   
 12. MAKOSHNELI

  MAKOSHNELI JF-Expert Member

  #12
  Jul 28, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 474
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 80
  Mkuu kutokana na uzoefu wangu ktk sekta mbalimbali nianze na hv,kama utakuwa mfuatiliaji mzuri wa mambo ya FREEMANSORY au ILLUMINATI na alama zao kishetani utagundua kuwa alama zao nyingi hupenda kuziweka kwenye fedha iwe ya coin au noti mfano mzuri ni USD ambayo ina bundi,fuvu,nyota,piramidi,satanic eye,nk alama zote hizo zinalengo moja kuu nalo ni mazindiko! Na kama ujuavyo mazindiko yote ni moja ya ibada za kishetani ambazo hujumuisha majini,mapepo,mizimu,roho chafu pamoja na kafara hasa kafara ya damu ya binadamu!

  Na ukifuatilia kwa umakini utagundua hao ma-FREEMANSONS & ILLUMINATI wana origin ya sehem moja nayo ni UJERUMANI ktk jimbo moja linaitwa BAVARIA!

  Sasa swala la kujiuliza ni hili ikiwa dunia ya sasa ya sayansi na technology mambo ya mashetani na makafara yapo ktk ela kubwa kama USD na tena kwa kiasi kikubwa SEMBUSE ENZI ZILE ZA GERMANY EMPIRE?.sasa ndio nakuja kwenye Rupia,nikweli ile coin ya rupia inamaajabu flan ambayo yakichanganywa na mazindiko na kafara zingine huwa inaleta kile mtu anakuwa anatake either pesa,cheo au utajiri hii inatokana kuwa ela ya rupia ilipata zindiko la damu ya binadamu wkt wa utengenezaji inasadikiwa madin yaliyotumika kuitengeneza yalikuwa yakichanganywa na damu za binadam thats y wajeruman wkt wanaondoka walizificha hzi ela sehem mbalimbali za tanzania hasa ktk maboma,makanisa(moravian),mito,visima na mashimo marefu.

  sehem nyingi hupatikana mkoa wa mbeya,iringa na swanga! Na wajeruman waliweka alama kibao hasa katika magome ya miti mikubwa na mawe na huwa wanakuja kuchukua hizo rupia + madini mengine waliyoyaifadhi baadhi ya sehem zilikofichwa madini haya kwa mkoa wa mby ni hizi hapa,
  1.Wilaya ya chunya-makongorosi-kijiji cha ujerumani(hapo panamgodi wa dhahabu wa zaman wa mjerumani ni DEEP GOLD MINE)kunamashimo makubwa ma4 nimakubwa sana!, 2.Sehem zote zilizojengwa hospitali za mission za moravian hasa na mjerumani flan ambaye kwa sasa ni marehemu ila watoto wake wanaendeleza game anaitwa LENHNER(LENA) hospitali ya mbalizi,IFISI SONGWE NA MATEMA BEACH!
   
 13. MAKOSHNELI

  MAKOSHNELI JF-Expert Member

  #13
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 474
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 80
  Kanisa la mbozi mission na hospital yake
  3.Sehem nyingine ni lilipokuwa soko kuu la mbeya pale mbele ya benki ya NMB mbalizi road ambalo liliungua na linatarajiwa kujengwa soon,guess mkandarasi aliyeshinda tenda ya kujenga pale ni kutoka inchi gani? Makampuni makubwa ma5 yaliomba ,moja la israeli,jingine la austaria,jingine la ujerumani na mengine ya wachina! Wajeruman wameshinda tenda wataanza ujenzi any time baada ya bunge hili la bajeti i guess.
  3.Sehem nyingine utashangaa pale wajerumani walipokwenda kujenga matenki makubwa ya mradi wa maji ambao wameudhamini wenyewe kwa karibu 90% na waliutoa maalumu kwa mkoa wa mbeya tu! Ambao hauna shida sana ya maji ukilinganisha na mikoa ya kati na kusini mwa tz! Mradi huo utamaliza tatizo la maji mby kwa miaka 20! Ijayo imean hadi 2032! PALE UYOLE WALIPOJENGA HAYO MATENKI YAO YA MAJI PALIKUWA NA MASANDUKU YAO!
  MRADI HUU AWAMU YA KWANZA IMEKAMILIKA NA JK KAUZINDUA WIKI HII HII KAMA SIKOSEI!
  Awamu ya pili ya huu mradi ni kupeleka bomba la maji hadi tunduma umbali wa km 103! Ili wapitie na sehem zingine !
  4. LAKE NGOSI TUKUYU MBY!
  Zipo sehem kibao nikianza kuwatajia hapa sitazimaliza so tukirudi kwenye mada nikwamba kweli rupia ya mjerumani inamambo tatizo ni namna ya kuipata coz sehem zote ilizofichwa wajerumani walikuwa wanafanya makafara ya watu kuanzia 10 na kuendelea ambao hubaki hapo kama majini kulinda ila wao wanavyokuwa wanakuja kuchukua huwa kuna maneno flani huyatamka na hayo madudu hutambua mwenye mali kaja either mtoto au mjukuu wake! So huwa hayasumbua tofaut na mswahl ukienda pale na hii ki2 ikapelekea wengi kwenda kwa waganga ambako hupewa masharti ya kutafuta viungo vya binadamu hasa albino!
  Nadhan mkuu umenielewa kama unamaswali zaidi ni pm namba yako ntakujuza zaid
  source: mimi mwenyewe ninafanya kazi za uchimbaji madini hasa dhahabu nipo matundas chunya na pia ni graduate ktk fani ya mining enggrng UDSM
   
 14. mkush

  mkush JF-Expert Member

  #14
  Jul 31, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 210
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  mh.hapo kazi ipo kwa kweli,na vp kuhusu shule ya iyunga??
   
 15. E=mcsquared

  E=mcsquared JF-Expert Member

  #15
  Jul 31, 2012
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 221
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hii article siyo kwamba nimeipenda, imenishangaza sana, ila sasa kwa sababu hamna button ya ku-express mshangao, ikabidi nitumie hiyo ya like. Modulators naomba watuwekee pia button ya kuonyesha msahangao
   
 16. Ston Merchant

  Ston Merchant JF-Expert Member

  #16
  Jul 31, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 395
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  i was once involved with wht i kol "rupia and mercury corn artists.

  ....... kwnz rupia yenyewe niliifata hko Lushoto Milimani mwaka 2009 na huyo babu alikua anataka 15m in exchange ya hyo rupia......

  tatzo ilikua sio pesa koz aliejiita mteja alitoa dau la 400m, ila hayo masharti tuliopewa ndio kiboko halaf hayaishi.

  mara uchinje ng'ombe wa matambiko, mara ukachome mishumaa 52 baharini, mara usisafiri jumanne ..........etc

  inshort am dealin with gems for a livin lakini we don't have any rituals........ nw y rupia?

  i stand strong to tell all jf members nt to engage in dis staff........ unaeza geuka mganga at the end of the day
   
 17. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #17
  Jul 31, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Nimewahi sikia habari za rupia, kwa kweli zinatisha ni mambo ya uchawi na makafara.
   
 18. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #18
  Jul 31, 2012
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,377
  Likes Received: 3,140
  Trophy Points: 280
  We unadhani kwa nini waswahili wanasema "penye udhia penyeza rupia"?
   
 19. MAKOSHNELI

  MAKOSHNELI JF-Expert Member

  #19
  Aug 2, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 474
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 80
  mkuu kuhusu shule ya iyunga sina data napo sana ila kwa uzoefu wangu sehem ninazozijua hivyo vitu sijui rupia,masanduku yenye dhahabu,na vito mbalimbali ni sehem zenye makanisa/hospitali za moravian,shule,maboma +nyumba ambazo zilijengwa na wajerumani wenyewe enzi za ukoloni pamoja na migodi yao ya zamani mfano iliyoko chunya (makongolosi na saza),
   
 20. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #20
  Aug 2, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,902
  Likes Received: 4,758
  Trophy Points: 280
  MAKOSHNELI mkuu mimi pia naishi hapa jijini mbeya uliyoyaeleza mengi nayajua so mfano bwana Lena, soko la uhindini pia kuna mti kwa babu yangu inasemekana kuna rupia maeneo hayo kikweli hata tukienda kesho ilo eneo wamejaa nyuki na hawajawahi kuhama.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Tags:
Loading...