Utulivu wa nafsi ni mafanikio. Nitoe angalizo tuu kuwa Hii mada sio kwa ajili ya kila mtu ni kwaajili ya watu wachache sana ndio wataelewa.
Kwa mujibu wa tafiti za kiroho inathibitishwa kuwa...
MOJAWAPO ya maswali magumu, ambayo mwanadamu amekuwa akitafuta majibu ni MIMI NI NANI, JE MUNGU NI NANI, n. k
Tumesikia pia, nchini Tanzania mwanamama anayejiita "Mfalme Zumaridi " akijiita...
Wabantu walisambaa kutoka maeneo ya Cameroon na kuelekea kusini yote ya Africa kama miaka 3,000 iliyopita, yaani miaka 1000 kabla ya kuzaliwa Yesu. Lakini kabla ya wabantu kuja huku kusini, wakazi...
Telepathy is the ability to send and receive messages without the use of words or contact with another person. It
involves the use of extra sensory perception. The receiver of your message...
Kitendo cha Mungu kumtupa Ibilisi duniani ni kitendo cha uonevu mkubwa sana kwa binadamu.
Ibilisi sio levo za binadamu ni levo ya Mungu maana yake Mungu yeye angekomaa naye Ibilisi hukohuko...
Wadau, habari ya majukumu bila shaka muwazima wa afya, kama na wale wenye changamoto ya afya, niwaoe pole.
Bila kupoteza muda, twende kwenye mada husika. Hili neno "kila nafsi itaonja mauti,"...
Wakuu poleni na mishuhuliko yenu!
Hivi wakuu hua viongozi wetu wa dini hua wanatufundishaga kuwa mbinguni hukohakuna kazi bali ukifa ukaenda huko kazi iliopo ni kukesha kwa kuimba! hivi ni kweli...
Hili somo linawahusu zaidi wale wanao pitia changamoto zakua na
kumbu kumbu ya ndoto wanazo ota usiku.
Namna ya kukumbuka ndoto.
Je unaota ndoto na unasahau?.
Fanya meditation ya Namba.
Watu...
Conspiracy theorists believe there's an elite group of powerful peoples who controls the world. Illuminati People are freethinkers, with Enlightenment, and intelligent. Do we have these Illuminati...
This one is for the people.
Adui anatawala watu wanadamu bila wao kufahamu. Ni Siri kubwa iliyofichwa katika namba. Toka binadamu anazaliwa huwa kuna namba maalumu ambazo initiates yoyote ambaye...
The Role of Key Institutions in Shaping Society
Introduction
Following a recent discussion in parliament, Dr. Dorothy Gwajima, the Minister of Community Development, Gender, Women, and Special...
Kwa mujibu wa nyaraka za Sumeria , zinazungumzia namna Binadamu alivyotokea , Binadamu alitengenezwa maabara (Genetic engineering) na kazi yake ilikuwa ni kufanya kazi kwenye migodi ya dhahabu...
Hauwezi niambia there is a limit katika universe and beyond. Kuna limit pale endapo fikra yako itaomba poo au pale resources zako hazitakufikisha zaidi na zaidi (limited resources).
Labda...
Habari
1. Wengine wanasema kuna Mungu Baba, mwana na roho mtakatifu
2. Wengine wanasema Mungu mmoja
3. Wengine nasikia wanasema ana nafsi tatu
Na je kama ana nafsi tatu kwa nini munamuabudu...
Joseph Kibwetere and Ugandan Cult Mass Murder/Suicide
February 2001 | By Rick Ross
March 17, 2000 more than 500 members of the African "Movement for the Restoration of the Ten Commandments"...
Hili ni andiko adimU ambalo pengine litafutwa mtandaoni maana majitu yenye akili na yanayotawala kila mifumo ya siasa na uchumi wasingependa uzijue ufanane nao.
Kwa utaratibu na sehemu ndogo...
PICHA: Padri Martin Luther
Padre Luther alikuwa miongoni mwa Mapdre wenye karama nyingi ndani ya Kanisa Katoliki wakati wake, yeye alikuwa na Madai mengi sana juu ya mapungufu kwa kanisa. Hata...
Habari za masiku wanajukwaa wote, leo ningependa tujadili watu mysterious kwenye vitabu vyetu vya dini kama ilivyo kawaida yetu. Hivyo twendeni pamoja ili tusolve mystery hii, kubwa ya yote...
BAADHI YA MAJINA NA KAULI ZA MWENYEZI MUNGU ZILIZOTUMIKA KUUMBA
Yatakayo Elezewa:
1: majina ya kuamsha walinzi wa mbingu zote na faida zake
2: majina yaliyokuwapo kwenye fimbo ya Mussa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.