Hivi binadamu anaweza kuongea na Mungu wake anayemwamini?

Walker Water

JF-Expert Member
Aug 23, 2022
785
2,953
Nijuavyo mimi ni kuwa,Mungu si jina bali ni cheo cha juu sana kuliko vyote duniani na ulimwengu wote.Yaani ikitokea chochote/mtu yeyote akaweza kukutimizia mahitaji yako yote pasipo kuzuiliwa na mtu yeyote au kitu chochote kile na pasipo kufungwa na muda,basi kitu hicho au mtu huyo unaweza kumuamini kama Mungu wako.

Kuhusu baadhi ya watu wanaoamini kuwa Mungu hayupo mi naona ni sawa tu na kusema nchi haina Rais na huku Rais akiendelea na kazi zake kama kawaida pasipo kumpunguzia chochote.

Sasa kabla hujajibu swali langu naomba kutoa mfano wangu kidogo; Nikiwa mtoto nilikuwa nasikia tu habari za Mungu/miungu mbalimbali zikitangazwa na kutolewa na kusimuliwa kwa nguvu maeneo mbalimbali,basi ikanibidi nitafiti na mimi kutafuta Mungu wangu maana niliamini kwa nguvu zangu sitaweza kupambana.

Basi,sikumoja nikiwa nimekaa nikasikia sauti ya Mungu wangu,narudia tena, nikasikia sauti ya MUNGU WANGU (si sauti hii ya kibinadamu ndiyo maana nasema ni ya Mungu wangu ninaye mwamini) ikiniambia kuwa nataka kuwa Mungu wako,nikamuuliza wewe unaitwa Mungu nani?,(akanitajia jina),nikamuuliza tena,"Je,wewe ndiye Mungu mkubwa kuliko miungu yote ninayoijua?,maana mimi sipo tayari kuwa na Mungu mdogo",akanijibu kuwa ndiye mkubwa kuliko yote,nikamuuliza tena,"Nitaaminije kuwa wewe ndiye mkubwa kuliko miungu yote?",akanijibu kwa kunieleza kuwa miungu yote hapa duniani ugomvi wao wote ni juu ya kumpigania mwanadamu awe upande wake ili amsujudie na kumwabudu (chunga sana Mungu unayemsujudia na hakikisha unamjua vizuri), hivyo nikiwa upande wake atanipigania vita vyangu vitakavyonijia kwa kumtii/kumsujudia maana miungu yote inaitaka hiyo nafasi.

Nilikubali na kweli vita vikali sana na vya kimwili na vikali zaidi vya kiroho nimeviona na kweli amenishindia vyote,nilivyoshindwa ni vile ambavyo aidha sikutii au sikufuata maelekezo yake kwa usahihi.

Mwisho ndiyo swali langu linakuja,Je, wewe kama binadamu ulishawahi au unaweza kuongea na Mungu wako unayemwamini?

NB;Mungu ni cheo na hivyo ipo miungu mingi sana yenye majina yao na lengo la kugombania cheo hicho ni ili isujudiwe na kuabudiwa na binadamu, yaani wewe ndiye mwananchi unayeamua unampa nani kura yako ili awe Mungu wako.

Ukiamini hakuna Mungu maana yake umegoma kupiga kura.
 
FB_IMG_1677269029006.jpg

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Nitajie jina la Mungu wako nami niungane nawe.
 
Mimi ni Mkristo. Tafadhali nipe ushuhuda jinsi Mungu alivyokupigania na jina lake ni nani.
Sorry,ningekujibu lakini nitapoteza lengo la mada,siyo lengo langu kutoa ushuhuda hapa wala sihitaji kutaja jina la Mungu wangu alilonitajia wala wewe sijakutaka utaje la Mungu wako,bali nataka kujua tu,"Je,ulishawahi kusikia sauti ya Mungu wako?,na je,alikuambia nini?",hayo tu ili mada isipoteze malengo.
 
Ijapokuwa imani za kidini zinatofautiana sana kulingana na tamaduni, dini, na imani za mtu binafsi, wengi wanaamini kuwa wanaweza kuwasiliana na Mungu wao kwa njia fulani. Kwa watu wengi walio na imani, sala ni njia ya kuwasiliana na Mungu wao.

Sala inachukuliwa kama mazungumzo ya kiroho kati ya mtu na Mungu, na inaweza kuchukua fomu tofauti kulingana na dini na imani. Watu wanaamini kwamba wanaweza kuzungumza na Mungu wao kwa kumweleza mawazo yao, matamanio yao, shida zao, na kuomba msaada, msamaha, na mwongozo. Kupitia sala, watu wanajisikia kuwa wanawasiliana na Mungu na kuweka uhusiano wa kiroho.

Ni muhimu kutambua kuwa kila mtu anaweza kuwa na maoni tofauti juu ya mawasiliano ya kibinafsi na Mungu. Imani na uhusiano wa mtu binafsi na Mungu ni suala la kibinafsi, na mtazamo huo unaweza kubadilika kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine.

Ni muhimu pia kutambua kuwa wakati watu wanaweza kuamini wanazungumza na Mungu wao, mazungumzo hayo hayawezi kuthibitishwa kisayansi au kuthibitishwa kwa njia ya kawaida. Ni suala la imani ya kibinafsi na uzoefu wa mtu binafsi.

Kwa hivyo, jibu la swali lako ni ndiyo, watu wengi wanaamini wanaweza kuongea na Mungu wao kwa njia ya sala au mawasiliano ya kibinafsi.
 
Sawa sawa,nimekupata vema na umejibu vema sana kama msomi.
 
Back
Top Bottom