Jinsi Ya Kuongoza Ndoto Za Usiku Utakavyo (Lucid Dreams)


Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2014
Messages
2,470
Likes
1,407
Points
280
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2014
2,470 1,407 280
Habari Zenu Wanabodi Naileta Kwenu Mada Mpya Ya Lucid Dreams(Uelewa Ndotoni)....


LUCID DREAMS:


KWA KUANZA:

Lucid Dreams Ni Pale Mtu Anapoota Na KujuaKwamba Naota Yani Yupo Ndotoni.. Na Ndani Ya Ndoto Ile Akajielewa Kwa HumuNaota Na Kufahamu Kwamba Hapa Nilipo Nimelala Na Humu Nilimo Ni Ndotoni Nakuanza Kuenjoy Mazingira Ya Mule Ndotoni Na Kufanya Mengi Atakayo&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];

Lakini Pia Kuna Watu Huota Na Kujijua kwamba Wanaota Bila Mazoezi Ya Lucid Dreams lakini Inakuwa Sio Kama Lucid Dream Vile Utakavyo Vifanya
Hakuna Tatizo Lolote Unaloweza Kulipata Ndotoni Kwa Maana Ni Ubongo Wako Ndio Ufanyao Kazi..

JE NI FAIDA ZIPI ANAZOZIPATA LUCID DREAMER ?


1: Maajabu Na Miujiza Kibao
2:kuzishinda ndoto za kutisha
3: Ubunifu Na Kuondosha Matatizo
4: kujiponya
5: Mambo Mengi Yaliyopita
6: Kupata Muongozo what He Was Meant To be.. 7: Kuliwazika Na Ndoto Zake
8: Kuongeza Uelewa Wa Maisha Yake Yakimapenzi
9: Kupata Uchangamfu Siku Nzima
10: Kusaidia Kuwasiliana Na Roho ZaWaliotangulia Mbele Za Mungu
11: Kwa Wanaofanya Meditation HuwasaidiaKuongeza Awareness Katika Meditation

Zipo Faida Nyingi Lakini Hizo Ni ChacheZibebazo Topic......

Kwanini Nifanye Lucid Dreams?

Ni Swali La Wengi LakiniChunguza Faida Zake Zikikuvutia utafanya lakini pia Hukusaidia Kufanya MengiAmbayo Unawish Ungeweza Kuyafanya Katika Ulimwengu Wa Kawaida Kama Vile:

1: Kupaa
2:kupongezwa
3:kupata chochote kile unachohisi in real world hukipati

Wengi Huingia Kuuliza Power Zao Wapi Wataweza Kuhunt MoneyNa Starehe Lakini Kuna Mazuri Zaidi Ya Hayo Kwanza Ukishajua Hapa Naota Na Nimo Ndotoni Utatamani Uzunguke Dunia Nzima But Mengi Huwa Ni Kweli Kwa MaanaUnakuwa In Spirit Form Au Thought Waweza Kwenda Popote Kula Lolote Na KufanyaChochote Kuna Faida Nyingi Sana Do It And You Will Feel It&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];

Vivutio Vya Wengi In Lucid Dream World:

1: Maajabu Na Miujiza:

Hii Huwavutia Wengi Kuingia Kudiliki Kufanya Mazoezi Yalucid Na Kufanya MAajabu Mengi Ya Ndotoni
Wengi Hudiliki Kutoa Hadithi Walizotengeneza Kwenye LucidDreams NA Kuziandika In Real World Kama

1: TheWachowskis: Alieandika Movie Ya Matrix Kama Umewahi Kuiona..
2: Lewis Carroll:Alieandika Novel Ya Alice In Wonderland..

Tafuta HizoMovies Na Novels pia Zitakupa Idea Kuhusu Lucid Dream..

2: Kuzishinda Ndoto Za Kutisha Na Kipumbaff

Hapa Unakuta Unaota Unafukuzwa Let say Mfano Unahisi KukimbizwaNa Watu NA Huu Ni Ugonjwa Wa Wengi Let Say Umeweza Kuingia Lucid Dream State.

Na Ukajijua Unaota Wengi wakijua wanaota huanza kupigana na majinamizi au wachawihao ambayo pia inakuwa ni ujinga hali ume realize unaota unasimama tuunaamrisha zina disappear na unaamuru nini cha kufanya au kujiamsha&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG]; Nice Isnt It ?


3:problem Solving:

Wengi Matatizo Yakiwakaba Hukimbilia Kusubiri ItakavyokuwaLakini Ni Udumazaji Wa MAwaza Ukiingia Lucid NA kuanza Kujisolvia Tatizo LakoUtapata Muongozo Mwisho Wa Siku Unafanikiwa?

JE Wajua Niliwahi Kujifunza kingereza Cha Kuunga UngaKupitia lucid Dreams???

4: Healing/Kujiponya:

let Say UmeumwaKichwa Au Mwili Mzima Kwa Wanaofanya Meditation Tuassume Unaumwa MaraliaUnaingia Lucid hukusaidia Kuopen Third Eye Na Kufungua Chakra Zingine If OnlyUnameditate In Dream Na Umelala Unaota Umelala Chali You Will Wake Up Healed OrReduce Pain Maana Tunaumia Kutokana Na Ubongo Kutambua Tumeumia&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];.. naHatufanikiwi Kutokana Na Ubongo Umeamua Hatufanikiwi Kweli.

Ni Maelezo Marefu Mengine Tutaendelea Naangalia ItapokelewaVipi Hii Mada hapa Kwanza&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];

Bila Kupoteza Muda Wacha Tuingie Jinsi Ya Kufanya Zoezi IliTujue Zaidi Nini Tutapata Na Je Tutafika MAelekezo Ya Rakims Yanavyokwenda ?

JINSI YA KUFANYA LUCID DREAM KWA BEGINNERS:

Waweza Kujiandalia Mazingira Yako Ya Kupata lucid Dream naIkaleta effect Upesi Zaidi UNachotakiwa kufanya Ni kuandaa Daftari Lako LaKufuatilia Ndoto Unazoota Na Mara Kitu Kikikutokea Cha ghaafla penda sanakujiuliza hivi naota au?

Penda sana pindi unapojiangalia kwenye kioo ukijionajiulize pia naota Au? Lakini Ukiiona sura yako kwenye kioo means huoti nausipoina jua upo ndotoni Ni Ngumu Kidogo Kujua Kama Unaota au laa lakini KwaMazoezi Utajua tu&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];..


Hatua Za Kufuata:

1: Utatakiwa Upate Kitabu Cha Ndoto Zako Counter ook&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG]; DreamJournal

2: Saa Ya Alarm

Step ya Kwanza:

Weka daftari yako pembeni ya ulalapo ili uweze kuandika kilakitu ambacho utaota usiku wote

Step Ya pili:

Angalia kitabu chako kioo na saa yako mara kadhaa kwa sikumaana ndotoni hizi zote huwa tofauti ndotoni maana huyumba yumba nakutoeleweka.. jifinye finye sehemu za mwili ili kitokea unajifinya ndotonihuumii basi unajua humu nimeingia ndotoni..

Step ya Tatu:

Ukienda kukidandia kitanda jiambie nikiota leo lazima tajuatu fanya kama command ubongoni kwamba nikiota tajua tu&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];

Step Ya Nne:

TEgesha Alarm Yako Mapema Zaidi Ya Kawaida Na Ikilia subiridk kama sita halafu urudi tena kulala kufanya hivi utakuwa umeongeza asilimiaza kupata lucid dream 20% hadi 50%

Step Ya Tano:

Ukihisi Umeingia Kwenye Lucid Dream Jaribu Kupaa Juu Juu iliKuthibitisha Hili&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];

Paa juu ya milima.. Pia Jaribu Kupika Hesabu Ambazo HuwaZinakushinda Na Maswali Yakushindayo Kujibu.. Jaribu Kufikiria Ndugu Yako GaniUmpendae Ametangulia Mbele YA Haki Na Kuongea NAe Akirespond Kile UmemuulizaBasi Jua Unaanza Kuingia Lucid Dream World

N.b

Jambo La Kuzingatia Hapo Ni Pale Unapoenda Kulala HakikishaHujikuni Ovyo Wala Kujigusa Gusa popote Ukilala lala Ubavu Mmoja Huo Huo IliUweze Kufanya Mwili Ujue Umelala Hali Ya Kuwa Upo Macho&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];.

Itaendeleaaaaa !

Kwa haya na zaidi tembelea

Rakims Spiritual

&[HASHTAG]#8216[/HASHTAG];'Rakims''


 
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2014
Messages
2,470
Likes
1,407
Points
280
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2014
2,470 1,407 280
KUTOKA KWA:

Ubarinolutu..... Anasema:

Hii ni hadith yangu fupi,iliyonipelekea kuweza kukontrol ndoto tunazoota usiku ability itakayokufanya kupaa, vilema kutembea ndoton, na kukabili ndoto za kutisha.

Siku moja nilikuwa nimeenda kikazi iringa kutokea dar, nikalala gest moja pale mjini, kiukweli siku hyo niliota ndoto ya kuogopesha. Nilikuwa naota nimelala halaf mtu wa ajabu akanishka mkono, ile hofu nkastuka nimeamka na alinishika mkono alikuwa ni ndugu yangu marehemu.kuamka nikajikuta nipo nyumbani, mimi ,baba na ndugu zangu kaka/dada, tunaendeleza maisha kama kawaida, kumbe wakati naamka niliamkia ndotoni(false awakening) na wala sikujua na sikukumbuka kama ndugu yangu alishafariki. Mda ukapita kidogo nikaamka tena mara ya pili kwenye reality. Nikaja kumbuka yule ndugu yangu alifariki , saa 8 usiku hyo. Nililia sana mwanaume kwa masaa 3+, nilijua mzimu.

Baada ya kuona hvo kama kawaida wa tz nikaanza tafuta majibu kwanini hiwe ivo, nikaingia google. Nikaona huku watafiti wamestate aina tofauti za ndoto na ile yangu wakaiweka ni ""dream in a dream"" yani wanadai mtu huota hii ndoto kwa ajili ya protection, wanadai ingeniathiri kisaikolojia kama ningeota marehemu kanshka mkono ambapo ningeamka nisinge mkuta, ndo mana nikaota ya pili ndo nikaamka atleast niliona ni valid.


Tuje kwenye maada kuu. Katika kutafuta majibu google, walielezea aina moja ya ndoto inaitwa "LUCID DREAM" Lucid dream ni pale unapoota ndoto na kutambua sasa upo ndotoni, wataalamu wanadai ukiweza ukaota ndoto na kugundua unaota kabla ndoto haijaisha unakuwa na uwezo wa kukontrol ndoto yani unauwezo wa kupaa kama ndege, una uwezo wa kwenda nchi yeyote, unauwezo wa kukutana na mtu yeyote, kufanya mapenz na mtu yeyote duniani, kama ni kilema utaweza kuwa na miguu na kutembea.watalamu wanadai lucid dream unaweza kujifunza/learn. Pitieni google mjifunze zaidi, mi mungu amenisaidia kuweza kujifunza lucid dream, na ndoto nilizocontrol chache ni hzi.
1. Nimeshafanya mapenzi na msanii jokate mwigilo kupitia kucidy dream
2.nimeweza ongea na kuonana na kikwete,obama
3. Nimeshapaa kama ndege
4.jana nilipambana na ndoto ya kutisha bila kuogopa.
5. Nimemiliki majumba makubwa
6. Nimetembea na mfanyakaz wa offsini kwetu, nilimwita jina tu akaja.

Yani kiufupi ni unique na amazing experience. Tafadhali pita google ukajifunze hii kitu, hata ukitaka nini unapata, chochote, unauwezo hata wa kuua adui yako, nishaua mtu kupitia huku. I hope u learn.....
 
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2014
Messages
2,470
Likes
1,407
Points
280
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2014
2,470 1,407 280
Na Hili Ni JIBU langu na Ushauri Kwake.....

Anaongelea Lucid Dreams Nimeupdate Uzi Wa Kuhusu Hii Mambo Lakini Modes Wameona Sijui Watu Watajifunza Mengi.... Actually Wenzio Tukiingia Lucid Tunaenda Kuwasiliana Na Watu Wenye Elimu Za Maana Na Tricks Za Maisha Wewe Unaenda Kusex Na Office Girl (Cha Wote) Means hujui maana ya lucid dream kama una dream journal ungefaidi sana... ushauri wa bure "fanya ya maendeleo na yakujifunza" mimi pia niliwahi kufanya lucid dreams toka mwaka 2009 niliwahi kuthubutu kumbusu Celion Dion Lugha Anayoongea Mule Ilikuwa ni kifaransa lakini mimi nikimskia kwa kiswahili fasaha yani namuelewa kwa mind sio ndoto ni more than that pia mtu wa kwanza kunifundisha kiingereza ni ben carson ndotoni ushawahi kumskia huyu mtu? lakini hadi sauti yake niliiskia na kuithibitisha kutoka youtube nilishangaa sana kiukweli ukiwa ndotoni unakuwa in spirit form so nilivyomkiss huyu mwanamama nikaona lidiculous nikatafuta kioo maana ndio huaminika way out lakini hakikunitoa nikasimama nikasema hapa ni licid world naweza kufanya nitakacho bila damage yoyote sasa nahitaji nikihesabu hadi 1 from 5 natoka hapa na huu ndio ufunguo wangu kama wewe watumia kioo mimi natimia namba ila wapo pia hutumia kukapua macho kwa wingi anatoka...

thanks for your update unachotakiwa kufanya kama unamtaka huyo celebrate muote tena fanya kumseduction atarespond akikubali basi in real world atakubali akigoma dont give a try... coz ukiamrisha kwenye lucid means unacheza na ubongo wako lakini ukijiwajibisha utakipata in real world...

je wajua?

"muandishi wa movies za matrix alifanya lucid dreams na kutengeneza movie ya matrix pia lewis carroll aliandika alice in wonderland baada ya kufanya lucid....

unachotakiwa kufanya yafanye maisha ya lucid dream kwamba leo naishia hapa kesho nitaendelea...

hii utakusaidia pia katika kukamilisha usemi wa "Timiza Ndoto Zako"

Je, Utatimiza Ndoto Bila Kuota?

"Rakims"
 
egentle

egentle

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Messages
764
Likes
93
Points
45
egentle

egentle

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2014
764 93 45
Hili lina faida gani in real world??
 
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2014
Messages
2,470
Likes
1,407
Points
280
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2014
2,470 1,407 280
Hili lina faida gani in real world??
1: kujifunza usioyajua

2:kupona magonjwa ya hovyo hovyo

3: kuondoa stress

4: kupanga maisha

5: kujua tukio kabla halijatokea (hapa inategemea na will power)

6: kujiliwaza...

7: kuongeza imani yako kwa dini yoyote...

zipo nyingi hizo ni kwa uchache..

#Rakims
 
egentle

egentle

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Messages
764
Likes
93
Points
45
egentle

egentle

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2014
764 93 45
1: kujifunza usioyajua

2:kupona magonjwa ya hovyo hovyo

3: kuondoa stress

4: kupanga maisha

5: kujua tukio kabla halijatokea (hapa inategemea na will power)

6: kujiliwaza...

7: kuongeza imani yako kwa dini yoyote...

zipo nyingi hizo ni kwa uchache..

#Rakims
Sasa hao watu mnaokutana in spiritual world, wanakuwa wanajua pia linaloendelea??
 
Dinazarde

Dinazarde

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Messages
32,949
Likes
14,653
Points
280
Dinazarde

Dinazarde

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2014
32,949 14,653 280
Mi nishaota sanaaa hadi nimechoka kuota
 
Ethical Ninja CEH

Ethical Ninja CEH

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Messages
2,878
Likes
2,695
Points
280
Ethical Ninja CEH

Ethical Ninja CEH

JF-Expert Member
Joined May 16, 2011
2,878 2,695 280
Kuna ndoto
Haijalisha unaota ndoto gani, unaposema ndoto ni kwamba haujitambui.

Maono
Ni hari ya kua unajitambua na kuweza kuona katika ulimwengu wa roho wa vitu vilivyopo, vilivyo pita ama vijavyo

Kuahamishwa kiroho
Pale unaweza ukawa unamuona mtu kiroho kila kitu anacho kifanya mahala popote alipo

2 Wafalme 5 : 20

20 Lakini Gehazi, mtumishi wa Elisha mtu wa Mungu, akasema, Tazama, bwana wangu amemwachilia huyo Naamani Mshami, asivipokee mikononi mwake vile vitu alivyovileta; kama Bwana aishivyo, mimi nitamfuata mbio, nipokee kitu kwake.
21 Basi Gehazi akamfuata Naamani. Naye Naamani, alipoona mtu apigaye mbio anakuja nyuma yake, alishuka garini amlaki, akasema, Je! Ni amani?
22 Akasema, Amani. Bwana wangu amenituma, kusema, Tazama, sasa hivi wamenijia kutoka milimani mwa Efraimu vijana wawili wa wana na manabii; uwape, nakuomba, talanta ya fedha, na mavazi mawili.
23 Naamani akasema, Uwe radhi, ukatwae talanta mbili. Akamshurutisha, akafunga talanta mbili za fedha ndani ya mifuko miwili, na mavazi mawili, akawatwika watumishi wake wawili; nao wakayachukua mbele yake.
24 Naye alipofika kilimani, alivitwaa mikononi mwao, akaviweka nyumbani; akawaacha wale watu kuondoka, nao wakaenda zao.
25 Lakini yeye akaingia, akasimama mbele ya bwana wake. Elisha akamwambia, Watoka wapi, Gehazi? Akanena, Mtumwa wako hakuenda mahali.
26 Akamwambia, Je! Moyo wangu haukuenda na wewe, hapo alipogeuka yule mtu katika gari ili akulaki? Je! Huu ndio wakati wa kupokea fedha, na kupokea mavazi, na mashamba ya mizeituni, na mizabibu, na kondoo, na ng'ombe, na watumwa, na wajakazi?
27 Basi ukoma wa Naamani utakushika wewe, na wazao wako hata milele. Naye akatoka usoni pake mwenye ukoma kama theluji.

Daniel 7 : 1

1 Katika mwaka wa kwanza wa Belshaza, mfalme wa Babeli, Danielii aliona ndoto, na maono ya kichwa chake, kitandani mwake; basi akaiandika ndoto, akatoa habari ya jumla ya mambo hayo.

Hayo mengine ni kuwapoteza watu na kuwachanganya
 
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2014
Messages
2,470
Likes
1,407
Points
280
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2014
2,470 1,407 280
Sasa hao watu mnaokutana in spiritual world, wanakuwa wanajua pia linaloendelea??
Inakuwa Ni Kama Kumbukumbu Wao Inayokuja Ubongoni Kwa Mambo Waliokwambia Ambayo Huyakumbuki.. sio kweli unaongea na maiti huo sasa uchawi...

"Rakims"
 
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2014
Messages
2,470
Likes
1,407
Points
280
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2014
2,470 1,407 280
Mi nishaota sanaaa hadi nimechoka kuota
Hii Ni Maalumu Kwa Wanaojua Maana Ya Lucid Dreams,Brain Function,mind ideas na yote yanayohusu ubongo wa binaadamu... Wengine Muendelee Kuona Kama Hadithi Njoo Utam Nogea.. Sio Mbaya..

"Rakims"
 
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2014
Messages
2,470
Likes
1,407
Points
280
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2014
2,470 1,407 280
Sasa hao watu mnaokutana in spiritual world, wanakuwa wanajua pia linaloendelea??
Na Pia Ni Ubongo Wako Ndio Unaofanya Kazi Hapo Zaidi Lakini Kuna Aina Mbili Za Lucid Dream Moja ni Kuliwazika na mind nyingine ni astral projection lucid ambayo unakuwa kispirit zaidi means kiroho yaani waenda popote live kiroho....

"Rakims"
 
I

imaney

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Messages
1,021
Likes
20
Points
135
I

imaney

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2012
1,021 20 135
Mkuu natarajia kufanya mini operation kucheki nina tatizo gani.....nilivyopata habari na kulala my deceased aunt nilimuota akiniambia nina cancer!...ni kweli alinijia?au brain yangu imejitune??...samahani km hauko kny position ku clarify...
 
Mr.Venture

Mr.Venture

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2014
Messages
1,607
Likes
255
Points
180
Mr.Venture

Mr.Venture

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2014
1,607 255 180
Nilikuwa nauwezo wa kukontrol ndoto zangu nilipokuwa mdogo(yaani naota na natambua nipo ndotoni nafanya nitakacho) lakin siku izi sijielewi tena. I wish ningepata taarifa hizi enzi hizo.
 
A

abdala mbuya

Member
Joined
Jul 20, 2014
Messages
83
Likes
3
Points
15
A

abdala mbuya

Member
Joined Jul 20, 2014
83 3 15
sasa mkuu nifanye maujanja gan ili niweze kua na iyo lucid dream?
 
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2014
Messages
2,470
Likes
1,407
Points
280
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2014
2,470 1,407 280
Mkuu natarajia kufanya mini operation kucheki nina tatizo gani.....nilivyopata habari na kulala my deceased aunt nilimuota akiniambia nina cancer!...ni kweli alinijia?au brain yangu imejitune??...samahani km hauko kny position ku clarify...
"Kama Hayupo Duniani Ni Ubongo, Lakini Kama Angekuwepo Means Hiyo Ndio Anachokuwazia.... Hizi Ndoto Za Hivi Mara Nyingi Huletwa Na Ubongo Pale Sehemu Ya Mwili Inapohitaji Msaada Ambapo Wewe Waweza Kuhisi Tofauti Au Kutohisi Tofauti Yoyote Ile Lakini Si Ubongo Tu Self Spirit Au Roho Nayo Hutawala Ulimwengu wa Njozi.. ungekuwa ni lucid dreamer ungeweza kumuhoji kwa nini anasema unakansa sio mbaya kaangalie uprove.. mambo yakiuzidia mwili na akili roho husimama kutoa msaada..

jitahidi kama roho imekupa msaada huo kacheki kuthibitisha....

"Rakims"
 
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2014
Messages
2,470
Likes
1,407
Points
280
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2014
2,470 1,407 280
Nilikuwa nauwezo wa kukontrol ndoto zangu nilipokuwa mdogo(yaani naota na natambua nipo ndotoni nafanya nitakacho) lakin siku izi sijielewi tena. I wish ningepata taarifa hizi enzi hizo.
Kiukweli Bado Ni Rahisi Kwako Na Umeshapata Experience Na Hii KITU tangu utotoni mimi pia nilikuwa nafanya utotoni lakini ilipofika miaka fulani fulani nikaanza kuuliza nilikutana na majibu ya ajabu ajabu tu na ya hovyo nashkuru nilivyoingia chuo cha great brain niliokota mengi ya kutosha ndio nikakutana na hii kitu japo ilielezea juu juu nikaanza kuitafuta kwa vitabu walimu google na mazoezi mwisho nikawa nimerejea...

so wewe pia ni sawa na mtu aliezima taa sasa hivi ukiiwasha tu itarejea...

kwa kukusaidia kama unataka kuanza mwanzo vidudu ili umalize masters kwa miezi mitatu fuata muongozo wangu kwanza anza na youtube

kachukue beat hii ukiipata njoo niambie nikupe maelekezo mengine... ya kuitumia n.k

Youtube: Lucid Dream....

hakikisha ina rangi hii ya pink na sio rangi nyingine au picha sahihi... tafuta pink Owners ni Brain Wave Usichukue Beat Nyingine HII Ina Saa Moja Na Nusu Beba Uje Hapa ukiipata tumia idm kudownload na uchague yenye high quality...

"Rakims"
 

Attachments:


Forum statistics

Threads 1,262,469
Members 485,588
Posts 30,123,156