Series inayoigiza hadithi ya maafa ya nuklia yaliyokea mnamo mwaka 1986 ndani ya iliyokuwa shilikisho la jamhuri ya kisovieti(USSR)

mohamedidrisa789

JF-Expert Member
Jun 20, 2015
5,110
21,657
CHERNOBYL SERIES(2019)

Ni series inayoigiza hadithi ya maafa ya nuklia yaliyokea mnamo mwaka 1986 ndani ya iliyokuwa shilikisho la jamhuri ya kisovieti(USSR).Movie hii imekuwa ikipata sifa sana katika mataifa mengi ya ulaya lakini ndani ya nchi ya Urusi movie hii imekuwa ikipigwa vita.

* KWA NINI INAPIGWA VITA URUSI NA KWA NINI INAPENDWA NA NCHI ZA MAGHARIBI?

*NINI KILICHOMO NDANI YA MOVIE HII?

Kwa mujibu wa mtunzi(CRAIG MAZIN) movie hii inamuelezea mtu mmoja kwa jina Valery Legasov ambaye aliamua kujitoa katika kusaidia janga la kitaifa na pia aliamua kufichua siri nyingi zilizojificha kuhusu mkasa uliotokea

*VALERY LEGASON NI NANI?

Valery Legason alizaliwa mnamo septemba 1,mwaka 1936,katika mkoa wa Tula ndani ya Urusi,alisoma sekondali katika mkoa wa kursk.
Mnamo mwaka wa 1961, alihitimu kutoka Kitivo cha Uhandisi wa Kiteknolojia katika Taasisi ya Kemia na Teknolojia ya Mendeleev. Mnamo 1962, alijiunga na
shule ya kuhitimu katika Idara ya Fizikia ya Masi ya Taasisi ya Kurchatov ya Atomic Energy na kuhitimu degree ya candidate mwaka 1967 na doctoratein chemistry mwaka 1972.
Mnamo 1976, alichaguliwa kama mshiriki sawa wa Chuo cha Sayansi ya USSR na Kuanzia 1978 hadi 1983, alikuwa profesa katika Taasisi ya Fizikia na Teknolojia ya Moscow. Kuanzia kwaka 1983 alifanya kazi kama mwenyekiti wa idara ya Radiochemistry na Teknolojia ya Chemical katika Kitivo cha Kemia katika Chuo Kikuu cha Jimbo la Moscow. Mnamo mwaka1983,alikua Mkurugenzi Msaidizi wa kazi ya kisayansiya Taasisi ya Nishati ya Atchiki.

Legasov alisoma njia za mchanganyiko na mali ya misombo mpya na vitu katika majimbo ya oksidi nyingi; teknolojia ya nyuklia na plasma; teknolojia ya kuokoa nishati, na nishati ya hidrojeni. [akitoa mfano] Chini ya uongozi wake, shule ya kisayansi iliundwa katika sehemu mpya zaidi ya kemia ya isokaboni - kemia ya gesi bora.

Hata kabla ya janga la Chernobyl Legasov ilijulikana kusisitiza hitaji la njia mpya za usalama na usalama kuzuia janga kubwa.

* TURUDI KWENYE SERIES YETU.JE! MTUNZI KANDIKA NINI KUHUSIANA NA BWANA Valery Legasov

Kwa mujibu wa mtunzi Bwana Valery Legasov anaonakena ni msaada mkubwa katika janga la Chernobyl, na pia ni msaada mkubwa katika kamati ya uchunguzi iliyoundwa chini ya usimamizi wa Naibu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mawaziri na Mkuu wa Ofisi ya Mafuta na Nishati, Boris Shcherbina.akishirikiana na mwana mama ambaye alikuwa ni mvumbuzi wa mambo ya nuclear kutoka mji wa Minsk(Belarus) Bwana Valery aliweza kutoa vipimo juu ya adhali iliyopo na mahesabu ya kisomi juu ya kuweza kudhibiti janga lisiwe kubwa.

Pia mtunzi anasema kuwa bwana Valery alifichua juu ya mwenendo mbovu wa uwongozi wa Shirikisho la Sovieti katika usimamizi wa nishati ya nuclear kwa kukosa kuunda chombo cha kushurikia matatizo ya dharura yanayohusiana na ajali za nishati ya nuclear.

Pia bwana Valery anafichua juu ya shirikisho kutoweza kuendesha mitambo hii ya nuclear reactor kwa uwakika kwa kutokuwa na watu wa kuweza ku operate hii mitambo.pia bwana Valery anafichua juu ya kiwango kidogo cha mitambo hii kwa kutoweza kuwa na uwezo unaoitajika kimataifa wa kuweza kujilinda na majanga,kwa maelezo ya Valery anasema moja ya sababu iliyopelekea mtambo kulipuka ni kutokuwa na systerm ya automatic shoutdown.

Pia bwana Valery anafichua kuhusu serikali kuu kuficha ukweli harisi wa majanga na pia kutengwa kwa watu wa ukraine kwa kutotolewa msaada kwa wakati na kutotambulika kama janga la kitaifa

*KWA NINI WARUSI WANAIPIGA VITA HII MOVIE?

kwa mujibu wa serikali ya Urusi wanasema movie hii imetengenezwa kwa ajili ya kuficha ukweli wa mchango mkubwa kutoka katika serikali iliyokuwa ya kisovieti,na pia kuvunja nguvu ya makampuni ya maswala ya nuclear ya nchi ya Urusi.
wanamini ni mapango wa CIA ikishilikiana na nchi za ulaya kutaka kuaminisha watu uwongo
images.jpeg
 
Hilo liko hivyo.. majanga yanatokea kote duniani hata huko west lakini linapotokea urusi westen macho vichwa vinawakakamaaa..
Duniani hakuna anaeaminika kuwa makini katika kujenga na kusimamia nclear reactor zaidi ya russsia
 
Upo sawa ndugu kwa unachongea ila kukosea ndo unapata mafunzo mazuri ndug.kwa sasa kwenye mambo ya Nuclear reactor warusi awana mpinzani

wanamini ni mapango wa CIA ikishilikiana na nchi za ulaya kutaka kuaminisha watu uwongoView attachment 1160487
Wacha niitafute niicheck then nitarudi mkuu
 
Us propaganda btw,

The way professor Valery Legasov explained on how RBMK reactor exploded in Chernobyl inside the court on the last episode step by step was something wonderful to hear.
 
Hilo liko hivyo.. majanga yanatokea kote duniani hata huko west lakini linapotokea urusi westen macho vichwa vinawakakamaaa..
Duniani hakuna anaeaminika kuwa makini katika kujenga na kusimamia nclear reactor zaidi ya russsia
Matukio yoyote makubwa nilazima kuwe na Siri ambazo serikali haitaki Public ijue.Wala issue hapo sio west au US,ni kawaida tu..
BTW ingetengenezwa Movie ya Kuisifia Urusi hata kwa kuipaka mafuta,wala msingesema ni Propaganda..Ukipenda kitu,uwe tayari kusikia hata yale usiokuwa tayari kuambiwa.
 
Chernobyl ni kati ya TV shows bora kabisa nilizoona mwaka huu.

Imenifanya mpaka kutaka kujua zaidi kuhusu historia hii.

Ukielewa sababu zilizofanya Chernobyl iwezekane, utaelewa kwa nini Soviet Union ilianguka.

Chernobyl ilikuwa kama muhtasari wa habari tu, habari nzima ikafuatia kwenye anguko la Soviet Union.
 
ni kweli moja ya sababu ya kuanguka Soviety ilikuwa ni hii ya Chernobyl

Nilichomaanisha mimi si kwamba Chernobyl ilipelekea kuanguka kwa USSR.

Nilichomaanisha ni kwamba, utamaduni wa kufanya mambo kwa njia za mkato, utamaduni wa usiri, utamaduni wa kulazimisha ripoti zionekane nzuri kwa wakubwa ili watu wapandishwe vyeo, utamaduni wa mkubwa hakosei, utamaduni wa kuminya uhuru wa habari, utamaduni wa kufanya kazi kwa mazoea, vyoote hivi, na vingine vinavyofanana navyo, kidogo kidogo, vilipelekea himaya hii kubwa kuanguka.

Chernobyl ilikuwa kama dalili ya kukohoa kwa mgonjwa mwenye kifua kikuu sugu.

Kukohoa kule hakusababishi kifo kwa mgonjwa, ila ni dalili ya ugonjwa mkubwa zaidi wa kifua kikuu unaosababisha kifo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom