Prophet
JF-Expert Member
- Aug 31, 2010
- 274
- 126
Inasikitisha sana kuona shehena kubwa ya bidhaa mbalimbali zinaingia nchini kutokea zanzibar kimagendo. Inasikitisha zaidi kuona shehena zinazokamatwa ni tone tu ya hali halisi.
Iweje nchi inayoiyakia mema Tanzania kununua hata saruji kutoa arabuni wakati tuna viwanda hapa nchini? Asilimia kubwa ya bidha zilizopo zanzibar huagizwa nchi za arabuni hata kama tuna viwanda vya kuzalisha. Ni kwnini ikosekane sabuni inayozalishwa ndni ya EAC lakini ya kutoka mbali kabisa itamalaki.
Hii hali si nzuri kwa afya ya uchumi wetu maana kama znzibar haina viwnd basi walau inunue bidhaa kutoka ndani. Kibaya zaidi bidhaa hizi zinafika mpaka DSM tena kimagendo na kukosesa pato nchi kw kodi na pia kuchangia kuua viwanda vyetu.
Mamlaka husika hebu liangalieni hili kwa jicho la tatu. Umeona wapi bidhaa inaingilia zanzibar lakini soko lke kubwa ni Bara. Yaani bidhaa inaingia zanzibar ili iwanyiwe rwparking kwa mabox yasiyoonyeaha hiyo ni bidha gani na kupelekwa bara kwa majahazi. Zanzibar imeja maghara mengi sna y bidhaa na yanajaa ila tujiulize tu yanaendana na ukubwa wa soko la zanzibar. Ifike mahala tuseme inatosha na wenye kazi zao wazifanye kilamilifu ili watoto wetu na wajukuu wafaidi nchi hii.