Nchi tisa zinazomiliki aircraft carrier duniani

Thabit Karim

JF-Expert Member
Sep 3, 2012
364
645
NCHI ZINAZOMILIKI AIRCRAFT CARRIER DUNIANI NA IDADI

Na Thabit Karim Muqbell

Dunia ina aircraft 19 zinazofanya kazi, lakini zilitengenezwa nyingi huko miaka ya nyuma. Uchakavu na teknolojia duni kwa pamoja mambo haya yamefanya dunia ibake na Aircraft carrier 19 huku Marekani pekee akimiliki Aircraft carrier 10. Na miongoni mwa Aircraft Carrier latest ya USA ni yenye jina la George H.W. Bush yenye thamani ya Trilioni 12 kwa pesa za Tanzania . Listi ni kama ilivyo chini hapo

1: USA (10)
2: Italy (2)
3: Russia (1)
4: India (1)
5: Brazil (1)
6: France (1)
7: China (1)
8: Spain (1)
9: Thailand (1)

Marekani siipendi ila anakimbiza mbaya. Nchi yangu ya Tanzania ninayoipenda inatakiwa tujipange nasi tumiliki hata Aircraft Carrier moja tu.

Source List of aircraft carriers in service - Wikipedia

1483015036377.jpg
 
Jeshi la US ndilo lenye vifaa vingi na bora zaidi, ata budget yao ni kubwa kuliko jeshi lolote ingawa jeshi la China lina active soldiers wengi kuliko USA, Russia ana moja tu, China nayo moja tena haina miaka mingi in service.
 
NCHI ZINAZOMILIKI AIRCRAFT CARRIER DUNIANI NA IDADI

Na Thabit Karim Muqbell

Dunia ina aircraft 19 zinazofanya kazi, lakini zilitengenezwa nyingi huko miaka ya nyuma. Uchakavu na teknolojia duni kwa pamoja mambo haya yamefanya dunia ibake na Aircraft carrier 19 huku Marekani pekee akimiliki Aircraft carrier 10. Na miongoni mwa Aircraft Carrier latest ya USA ni yenye jina la George H.W. Bush yenye thamani ya Trilioni 12 kwa pesa za Tanzania . Listi ni kama ilivyo chini hapo

1: USA (10)
2: Italy (2)
3: Russia (1)
4: India (1)
5: Brazil (1)
6: France (1)
7: China (1)
8: Spain (1)
9: Thailand (1)

Marekani siipendi ila anakimbiza mbaya. Nchi yangu ya Tanzania ninayoipenda inatakiwa tujipange nasi tumiliki hata Aircraft Carrier moja tu.

Source List of aircraft carriers in service - Wikipedia

View attachment 451692
Unamaanisha nchi hizo ndo zinatengeneza ndege ama?
 
China wanatengeneza 2 simuliteniously,ya sasa ilikuwa kwa ajili ya mafunzo sanasana.
Turkey wanaunda yao.
Pia iran wako kwenye mkakati huo
 
Back
Top Bottom