ha ha! hakuna rahis kwenye nchi yetu tuna rais!Hivi hili swali lako umeliuliza direct kwamba haujui,
au umeliuliza tu Indirect kwamba kunakitu nyuma ya pazia unachokimaanisha??
TAFADHALI RAHIS WETU TUNAMPENDA SANA NA HATUTAKI ATOKE MADARAKANI MAPEMA NAMNA HIYO
basi mimi naongelea Rahisiha ha! hakuna rahis kwenye nchi yetu tuna rais!
Kwani magu atakaa madarakan siku zote? Yy anamkataba na ss na lazma tumpe kura? Kwanza tushamchoka!Hizi ndoto,wakati mwengine zaweza itwa uchochez
Naona kama bado hujafafanua kiuwazi mkuu, kama awamu inatenganishwa kwa kipindi cha miaka mitano inakuaje walioongoza miaka 10 still tuliitambua kama ni awamu moja badala ya mbili?Ndugu tutakuwa na awamu ya 6 kwa sababu kulingana na Katiba yetu awamu moja na nyingine hutenganishwa kwa Kipindi cha Miaka 5 tu ila pia Katiba inaruhusu awamu mbili ya miaka 10; baada ya hapo haurusiwi tena kugombea!.