Kwa msemo huu "no jesus no life" kipi kilianza..?

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
30,988
72,178
Habari wakuu..?
"no jesus no life"
Huu msemo nimekuwa nikiusikia kwa watu mbalimbali,fikra zangu zimenivuta niujadili.

Kwanza kabisa kwa nijuavyo mimi life-maisha means uhai.
Nachotaka kujua huyo Jesus/Yesu kati yake na maisha kipi kilianza?

Kama alianza yeye kabla ya maisha je alianzaje?

Na kama hakuanza yeye itakuwaje "no jesus no life"?

Nawakaribisha nyote ili mnieleweshe kuhusu hili.
 
nimetafakar sana ulivyosema apo juu , ukichunguza sana ivi vitu utakataa dini
lengo langu si kumfanya mtu akatae dini yake la hasha!!
bali ni kumtaka mtu afikirie huenda kuna kitu mtu unaweza gundua na kueleweshana.
lkn kwann umesema ukichunguza hivi vitu huenda ukakataa dini..?
 
Yesu ni binadamu kama sisi, Maisha yaani life,yalikuwepo na hayaonekani kwa macho .Yeye kama sisi tulitoka from nothing entity into being as blood and flesh .To be God depend on how you struggle yourself to be God by arising Your spiritual power to control the universe from nothing entity.
 
mara nyingi huwa nafanya utafiti lakni ukifanya utafut wa kisayans kwa mungu ujue imekula kwako yaani, ndo maana mara nyng huwa sipen kuweka maswala ya kiimani katika tafiti za kidunia, ndo maana historical bckgrnd ya dunia zinatofautian katika vitabu vya iman na vitabu vya kisayns
 
jesus anaish ...yupo tena yupo jifanyen kulindisha vichwa mtajua kama yupo pale the lucifer atakapokuwa yuko nawe anakubilingisha kwenye moto
.
 
jesus anaish ...yupo tena yupo jifanyen kulindisha vichwa mtajua kama yupo pale the lucifer atakapokuwa yuko nawe anakubilingisha kwenye moto
.
ha ha... nani kasema yupo ama hayupo..?
mbona unaenenda kwa uoga,kama unazani kichwa ni cha kufugia nywele your wrong.hapa si kuogopeshana ni majadiliano.
 
mara nyingi huwa nafanya utafiti lakni ukifanya utafut wa kisayans kwa mungu ujue imekula kwako yaani, ndo maana mara nyng huwa sipen kuweka maswala ya kiimani katika tafiti za kidunia, ndo maana historical bckgrnd ya dunia zinatofautian katika vitabu vya iman na vitabu vya kisayns
why inakula kwako..?
 
Yesu ni binadamu kama sisi, Maisha yaani life,yalikuwepo na hayaonekani kwa macho .Yeye kama sisi tulitoka from nothing entity into being as blood and flesh .To be God depend on how you struggle yourself to be God by arising Your spiritual power to control the universe from nothing entity.
Hili swala la kutokea from nothing huwa nashindwa kulilewa mkuu unaweza kutuwekea observations zozote ambazo zinathibitisha kwamba we have come from nothing
 
ha ha... nani kasema yupo ama hayupo..?
mbona unaenenda kwa uoga,kama unazani kichwa ni cha kufugia nywele your wrong.hapa si kuogopeshana ni majadiliano.
naogopesha hahaaaa bora uogope kuliko kupuuza
 
HIYO SENTENCE NAVYOELEWA INA MAANA KWAMBA..MAISHA YANAYOONGELEWA HAPO NI MAISHA YALE YA MILELE (KIIMANI KUNA MAISHA BAADA YA KIFO NDO HAYO YA MILELE) SASA ILI UWEZE KUJA KUISHI HAYO MAISHA NDIO UNATAKIWA UWEZE KUMFWATA YESU (YESU ALISEMA 'MIMI NDIMI NJIA YA KWELI NA UZIMA,MTU HAWEZ KUFIKA KWA BABA(MUNGU) ILA KUPITIA MIMI )..UZIMA WA MILELE UPO KWA YESU HALELUYA,BWANA APEWE SIFA... MBARIKIWE
 
Back
Top Bottom