Why Black People and White People? (Kwanini kuwe na Mtu Mweusi na Mtu Mweupe?)

NNJ7

Senior Member
Mar 7, 2016
114
59
Habari za Asubuhi Wadau....?

Ukiwa umebarikiwa kuiona siku Hii salama na umejiandaa na kupambana na umasikini kwa leo, Fanya yote hayo ila usisahau kunifafanulia "Kwanini Kuwe na Mtu MWEUSI na Mtu MWEUPE....

Na Kama Mtu mweusi anaweza kuwa Mweupe Je' Mtu mweupe hawezi kuwa Mweusi...!?

NINI KIMEKOSEWA AU NINI KIMEPUNGUA KWA RANGI HIZI 2...!?
 
Hakuna kilichokosewa hakuna kilichopungua ni style tu ya uumbaji, kumbuka kuna watu wa njano pia...uumbaji una variety nyingi sana kutegemeana na hali ya hewa ya mahali husika, kila kitu kiko kwenye mahesabu yaliyokusudiwa na kutosheleza.

Kumbuka hii si kwa binadamu bali hata wanyama na vitu vingine vyote kama chakula nyumba nguo nk nk
 
Yote yanawezekana ila ni kwa vile tu weupe ndio unapendwa sana hivyo hakuna anayejihangaisha kutengeneza mkorogo wa kuwa mweusi

Kuna wazungu husema wanapenda rangi nyeusi, je ni kweli wameshindwa kutengeneza mkorogo wakawa weusi na wao au tayari wametengeneza ila hawajaanza kutumia au tayari kuna waliowahi kutumia.
????
 
Never hawaipendi kihivyo bali wanapenda kuoa/kuolewa na weusi na wana sababu zao fulani za kijinga kwamba weusi ni so humble na kiukweli ni wazungu wachache, kama kweli wangeipenda nyeusi kihivyo tayari wangeshafanya mambo
 
Evolution ndio ina lead color of ur skins to lighten,human being is a tropical animal by nature but when humans started moving out of Africa towatds colder climates thats when they started lo loose their dark color

Mmmmmh!
 
Kumbe hujifanya wanaipenda kinafki,
Na wakizaa na mweusi, mtoto anatoka na colour flan hv amaizing,

Ila me najiuliza pia, hawa wazungu hawana vinasaba vya albinism kweli! Maana weupe wao hua siuelewi kbs.
 
Wapo zeruzeru weupe wanatisha kweli
9fbd8f5bce28fee558e00e77953680ff.jpg
ac448035b4ace0f097a876363967ea0a.jpg
 
Evolution ndio ina lead color of ur skins to lighten,human being is a tropical animal by nature but when humans started moving out of Africa towatds colder climates thats when they started lo loose their dark color
Mbona Tz Tunaishi na watu aina zote # Muhindi, Mchina, Mkorea na Mwarabu na wengine wengi ILA HAWABADIRIKI na kuwa kama sisi ikiwa ni kweli Tunategemea Tropical and Nature to change color...?
 
Uumbaji wa mwanzo ulizingatia vitu vingi sana kabla ya binadamu kutembeleana na kujichanganya kwa kuzaliana na yoyote. Hali ya hewa,mazingira, eneo, aina ya maisha.
 
Evolution ndio ina lead color of ur skins to lighten,human being is a tropical animal by nature but when humans started moving out of Africa towatds colder climates thats when they started lo loose their dark color
Hivi siyo kwamba mtu mweupe akitoka sehemu ya joto akahamia sehemu ya baridi rangi yake ubadilika na kuwa mweusi?
 
Mbona Tz Tunaishi na watu aina zote # Muhindi, Mchina, Mkorea na Mwarabu na wengine wengi ILA HAWABADIRIKI na kuwa kama sisi ikiwa ni kweli Tunategemea Tropical and Nature to change color...?
Hao unaowaona hapa Tanzania chimbuko lako lilihamia aidha enzi za utumwa au utafutaji maisha wakajikuta wameingia nchini na kupiga kambi.
 
Hivi siyo kwamba mtu mweupe akitoka sehemu ya joto akahamia sehemu ya baridi rangi yake ubadilika na kuwa mweusi?

Yes dark skin favors sunny latitudes while pale skin suits polar latitudes,mkuu unapokaa sehem kama ulaya mwanga ni hafifu so ngozi ina adopt mazingira ya kule wakat Africa au south America dark skin ina faa kutokana na jua kali na pia usalama wa mwili
 
Mbona Tz Tunaishi na watu aina zote # Muhindi, Mchina, Mkorea na Mwarabu na wengine wengi ILA HAWABADIRIKI na kuwa kama sisi ikiwa ni kweli Tunategemea Tropical and Nature to change color...?

Mkuu hao wahindi wamekaa miaka mia3 haifiki evolution is a slow process you can't notice in your lifetime it could take 10thousands years wakabadilika wakawa weusi
 
Back
Top Bottom