Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Hamjambo ? Naombeni kujua kiundani kifaa hiki ni kweli kinarelate to Illuminati numbers 666 ? Nimeona Wamarekani wameanza kuweka kifaa hicho mkononi , wao wanadai ni kama mastercard kuna ukweli...
5 Reactions
40 Replies
9K Views
Mlima Cook, mlima mrefu zaidi New Zealand - na Zealandia Unayafahamu mabara yote saba? Jiandae sasa, kuna bara jingine ambalo huenda likaongezwa. Bara hilo limependekezewa jina Zealandia. Ni...
3 Reactions
24 Replies
6K Views
Leo nilikuwa nikijaribu kureview baadhi ya mambo kwa kina, mambo mengi tu lakini niliangalia sana mambo yanayoizunguka jamii kwa sasa. IMANI:- Nina imani kubwa watu wengi sana wanatafsiri...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Unaweza ukapaniki nitakapokwambia mawazo mengi unavyodhani ni yako sio yako ni vitu ulivyopandikiziwa Bila kujua. Sisi tunaamini uwepo wa Mungu na uumbaji tunaamini pia Mwanadamu aliumbwa na Uwezo...
32 Reactions
55 Replies
13K Views
Barrick Gold and Acacia Mining sent a letter of threat to Samantha Cole and the Tanzania Business Ethics group. They claim we are doing so much damage to their companies and to their reputations...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Born Charles Robert Darwin 12 February 1809 The Mount, Shrewsbury, Shropshire, England Died 19 April 1882 (aged 73) Down House, Kent, England "Fikiria kwa uangalifu juu ya nadharia hizi...
27 Reactions
270 Replies
33K Views
Habarini wana jamvi, Nimekuwa nikifikiria hili jambo kwa muda lakini nimekosa jibu la kunifanya niamini nnachosikia, nikaona sio mbaya ku share nanyi jamvini huenda kuna mtu ana uelewa wa haya...
1 Reactions
34 Replies
19K Views
Kisasi ni neno lisilo na ubinadamu kwa baadhi, lakini kwa wengine ndiyo njia pekee waliyojichagulia kupata haki katika kile wanachoamini ni haki yao. Ni mwaka 1972 katika mashindano ya Olympic...
31 Reactions
86 Replies
20K Views
1. Haitaji leseni ya gari, huendesha bila leseni 2.Husafiri bila passport nje ya nchi 3.Huwa anasherehekea siku ya kuzaliwa mara mbili, ile ya kweli 21 april na jumamosi ya jully 4. Ana mtunga...
25 Reactions
226 Replies
49K Views
Heshima kwenu!! Aina binadamu ziishizo katika ulimwengu huu wa Leo ni matokeo ya ubora na udhaifu wa aina binadamu katika zama zilizopita. Kuna aina nyingi za namna mbalimbali za binadamu...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Nahitaji maoni yenu kwa jambo hili....Tangible answers only..no insults please...lets debate like grownups...present yur reasons with evidence...also, one more related question (wouldn't fit on...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Guys watsup.?? Hope u are doing fine. Leo nmeamua kuandaa hii article. Its abt HOROSCOPE, waswahili huita utabiri wa nyota. Kabla, sikuwai kufikiri wala kuwaza kusoma hizi habari za utabir wa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Hekalu la Freemasons lililopo katika Mtaa wa Sokine jijini Dar es Salaam. Picha na Rafael Lubava Sir Chande: KWA UFUPI Ni Mtanzania Jayantilal Keshavji Chande, maarufu zaidi kwa jina la...
0 Reactions
43 Replies
14K Views
Miaka 35 baada ya operation opera … ambapo majeshi ya Israel yalishambulia na kuteketeza kinu cha saddam Hussein cha kufulia nyuklia huko Osirak. Mwanajesh mstaafu wa IAF na MOSSAD anaamua kuweka...
22 Reactions
56 Replies
14K Views
SAIKOLOJIA NA TABIA Maisha ya kifamilia na kidunia yanapitia mambo mengi. Ni jukumu letu sisi wazazi, walezi, madada, makaka na waalimu kumtayarisha mtoto ili aweze kukabiliana nayo. Mambo hayo...
6 Reactions
3 Replies
2K Views
Ni Imad Mughniyeh. Mzaliwa wa Lebanon Disemba 7 mwaka 1962 katika kijiji chenye kukaliwa na washia wengi cha Tayr Dibba. familia yake ya kishia ilikuwa ya hali ya chini sana. Akiwa...
45 Reactions
109 Replies
28K Views
Nimeikuta Fb, OSAMA BIN LADEN, JE, NI KWELI ALIKUFA AU YU HAI, AU NI PROPAGANDA? TUTAZAME KWA JICHO LA TATU ILI TUJIOKOE. Kabla ya ujio wa Yesu Kristu kulikuwa na watu wengi sana wenye vipaji...
1 Reactions
20 Replies
9K Views
Kampuni ya Huamai iliyopo marekani Los angela inampango wa kufanya ufufuzi wa mtu aliyekufa. watafiti wana mpango wa kumfufua mfu kwa kugandisha ubongo wake halafu wanamtengenezea akili...
2 Reactions
106 Replies
16K Views
Naanzisha maudhui haya kwa minajili ya kuwafungua macho watu wengi ambao hawajapata nafasi ya kutembea, na ambao siku zote wanalishwa propaganda za watawala. Kwamba nchi ina amani, mshikamano bla...
2 Reactions
82 Replies
12K Views
Wakuu! Time travel, Human Super power, Super Magic power n.k Ni vitu ambavyo navifatilia kila nnapopata nafasi, Na nimekua inspired na bandiko la siku la Pasco kuhusu Power within. Leo nataka...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…