Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Historia ya Kanisa Katoliki iliandikwa na kuhifadhiwa, historia iliyobeba mengi yenye kufurahisha, kusikitisha, kuchekesha, kuogofya, kufundisha na hata kuleta aibu kubwa kiasi mengine yamefichwa...
20 Reactions
118 Replies
29K Views
Habari wanajamvi! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kamwe usijepanga kuhusu maisha yako , bali badala yake yakupasa kutumia fursa unayokutana nayo katika maisha. Yawezekana ukawa unakinzana na...
0 Reactions
0 Replies
964 Views
Alipo malaika aliepewa jukumu LA kulinda bustani ya edeni baada Ya muanguko Mafukuzo ya Mungu.baada ya Adam Na kipenzi chake Hawwa au Evah Kula mti wa ujuzi wa mema na mabaya Kitendo...
3 Reactions
46 Replies
10K Views
Nimeota niko watu wengi sana waliokufa zamani, na mimi ndio kiongozi wao licha ya kwamba sijafa. Nimejiuliza maswali mengi sana sijapata jibu
0 Reactions
650 Replies
142K Views
Private detective/investigator (Mpelelezi binafsi) ni mtu ambae anaweza kukodishwa na mtu binafsi ,watu au taasisi kwa ajili ya kufanya upelelezi wa kesi fulani. Private...
8 Reactions
33 Replies
10K Views
Umewahi kujaribu kumuua mbu au nzi? Utagundua kwamba huwa vigumu sana. Wadudu hawa huwa na kasi ajabu. Lakini inakuwaje wadudu hawa wadogo - wenye ubongo mdogo hivi - wanaweza kuwazidi binadamu...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Jenerali William J Donovan "Wild Bill" Baada ya vita ya kwanza ya dunia Marekani ilikua haijapata taasisi bora itakayo kusanya taarifa nzuri za kiuchumi na kisiasa katika kuijenga Marekani ndipo...
9 Reactions
109 Replies
20K Views
Habari wakuu! Moja kwa moja kwenye mada. Moja ya wanawake ambao taifa la Israel halitakaa limsahau. Mwanamke ambaye Israel ilichezea kichapo kitakatifu na kudhalilika vibaya mno. Mwanamke...
4 Reactions
34 Replies
6K Views
Najua wengi miongoni mwetu tutakuwa na ufahamu kuhusiana na huu utumishi adhimu kwa mustakabali wa usalama wa taifa lolote lile, kwa faida ya wale wasiofahamu kwa undani kidogo kuhusu huu utumishi...
4 Reactions
27 Replies
28K Views
Vladimir Putin alikuwa na umri wa miaka 33 alipopewa kitambulisho hicho. Kitambulisho cha Vladimir Putin alichopewa kama jasusi Ujerumani alipokuwa anafanya kazi kama jasusi wa Urusi kimepatikana...
4 Reactions
7 Replies
3K Views
Heri ya sikukuu ya noeli wadau wote na haswa wana jukwaa, Najua wengi wetu tumepumzika,napenda kuwapa machache ambayo ukiyaangalia ni kama yana ukweli. Afrika kama ambavyo mabara mengine huko...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
The hit Netflix show Narcos is back for its fourth season, and this time the action has moved to Mexico. The latest series on the streaming service charts the history of drug trafficking, starting...
5 Reactions
15 Replies
8K Views
Mtu yeyote anayetaka kujifunza historia ya Afrika, ni vyema akaanza kujifunza kwanza historia ya Kemet kwani hapo ndipo inapopatikana elimu, urithi, historia, ufahari wa bara letu la Afrika. Pia...
15 Reactions
103 Replies
17K Views
Kukufuru ni kujiweka ktk nafasi ya Mungu ingawa wewe ni mwanadamu Yohana 10:33 Wayahudi wakamjibu, kwa ajiri ya kazi njema hatukupigi kwa mawe; bali kwa kukufuru, na kwa sababu wewe ulie mwanadamu...
4 Reactions
195 Replies
29K Views
SALAAM | SHALOM, Natumai mu-wazima wote kwa jumla. Kama mada husika inavyojieleza hapo juu MAWASILIANO NA JINN ni mawasiliano yafanywayo kati ya BINADAM NA JINN. Sipo hapa kueleza JINN ni kiumbe...
4 Reactions
93 Replies
75K Views
Jerusalem is one of the oldest and most contested cities in the world. Jerusalem is revered as a sacred city by Jews, Muslims and Christians alike. For this reason, there has been controversy over...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Leo nataka kujua historia ya Wayahudi nchini Marekani,yaani waliingiaje na wakapaje nguvu ? Mwanye kulijua hili anisaidie.
3 Reactions
42 Replies
8K Views
Ni kitengo ambacho kimetokea kupendwa sana na vijana wengi katika karne hii.. labda nikumbushe tu mambo mbalimbali na ichi kitengo.. 1/UZALENDO Hii ni kwamba ni bora utangulie kudhurika wewe na...
6 Reactions
61 Replies
9K Views
Tunaiomba serikali iangazie aina hii mpya ya wizi wa fedha za umma amabao watumishi hasa wa ngazi ya juu wamekuwa wakichukuwa posho ya siku 5 na kuishia kusafiri kwa siku mbili. Tunaiomba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna usemi kwamba afya ni uhai pia mtaji wa maskini ni nguv zake ikimaainisha afya njema huchangia mtu kuwa na maendeleo maana ukiwa na afya mgogoro basi utapoteza muda na pesa nyingi kujiuguza...
7 Reactions
59 Replies
18K Views
Back
Top Bottom