Prosperity consciousness exercise

Tanzanite klm

JF-Expert Member
May 7, 2013
453
376
PROSPERITY CONSCIOUSNESS EXERCISE

Asalaam habari za siku hii njema na kubwa na ya mafanikio; Natumai mu wazima.

Leo tuangazie namna ya kufanya zoezi la mafanikio katika akili yako. Hii ni kanuni rahisi ya kuvuta kiasi cha pesa au mafanikio unayotaka katika maisha yako.

Jambo la kwanza hebu jitazame mwenyewe kwa jicho lako la ndani. Jione upo wewe na rafiki zako wote na kisha waambie nia yako ya kuwa billionaire.

Tofauti iliyopo kati ya waliofanikiwa matajiri na wenye kipato cha chini ni mitazamo yao juu ya pesa. Matajiri hujisikia vizuri mno wakiwa na pesa nyingi ili hali watu wa kipato cha kawaida hudhani kuwa pesa ndio chanzo cha matatizo na maovu mengi, hivyo kila mmoja hapo atapata kile kiasi awazacho moyoni mwake.

Hakuna ushahidi wa kisayansi au kisaikolojia kuwa utajiri huambatana na bahati au zali fulani; hapana. Yeyote anaweza kuwa tajiri akiamua, lakini vyote vinategemea ma mfumo wa kufikiri unafuata kanuni ipi?

Ni muhimu kufanya zoezi la utajiri la akili kwa maana habari njema ni hii:- Subconscious mind yako haijui tofauti ya kama umekua tajiri kweli au unafanya visualization tu, chochote kianchoingia hufanyiwa kazi.

Na utakavyozidi kufanya hilo zoezi ndivyo utazidi kuwa na raha na kujisikia vizuri juu ya wazo la pesa na utajiri. Matokeo yake sasa utaanza kuvuta katika physical world hizo pesa kwa law of attraction.

Usiogope usiwe na hofu unapofanya zoezi. Mfano wa yule Ayoub alisema lolote baya ninalowaza ndilo linanitokea. Cha kujifunza ni hili Your Mind ndio Usukani wa mwili wako

Mfano ukiwa unatazama comedy au kitu cha furaha mwili hu relax, ukiwa na mawazo ya hofu ghafla yakija mwili nao hubadili mapigo ya moyo na kila kitu.

Pia mawazo ya mafanikio unapokuwa nayo mwili wako basi unakua sumaku ya kuvuta mafanikio. Ni muhimu kujua hasa ni kiasi gani cha pesa unahitaji ili hata ukiacha kufanya kazi leo basi familia yako ifaidi kwa miaka hata 80 mbele bila uhitaji.

Leo tutakuja na hili zoezi la kuandika cheque. Andika pesa ambayo unadhani ukipata utaweza kuishi maisha ya furaha na hutajitaji tena kufanya kazi bali utakua unafanya kazi za kusaidia kutatua matatizo ya watu na kuwa na furaha maisha yako yote.

Utafiti unaonyesha kuwa kati ya watu 10 wanaostaafu wakifikisha miaka 65 yani miaka mitano toka wastaafu, sita wanakuwa wamefilisika kabisa; wawili wanakuwa na furaha kiasi, na wawili wanakuwa bado na utajiri na furaha kubwa zaidi.

Henry Ford aliwahi sema tatizo moja binadamu hatufikirii kulingana na uwezo wetu halisi. Tuna uwezo mkubwa lakini hatufikirii tunategea wengine wafikiri kwa ajili yetu.

Chochote kile ambacho unaweza kukiwaza na kuiona picha yake katika akili yako basi unaweza kukipata.
Kupata nakala ya kitabu kizima nilichoandika* MGODI KATIKATI YA MASIKIO* henryest600@icloud.com kwa shilingi elfu tano
 
Mtoa maada, rudi hapa utoe maelezo yanayofuata baada ya mimi kuandika Tzs.10,000,000,000,000/= nini kinachofuata?
PROSPERITY CONSCIOUSNESS EXERCISE

Asalaam habari za siku hii njema na kubwa na ya mafanikio; Natumai mu wazima.

Leo tuangazie namna ya kufanya zoezi la mafanikio katika akili yako. Hii ni kanuni rahisi ya kuvuta kiasi cha pesa au mafanikio unayotaka katika maisha yako.

Jambo la kwanza hebu jitazame mwenyewe kwa jicho lako la ndani. Jione upo wewe na rafiki zako wote na kisha waambie nia yako ya kuwa billionaire.

Tofauti iliyopo kati ya waliofanikiwa matajiri na wenye kipato cha chini ni mitazamo yao juu ya pesa. Matajiri hujisikia vizuri mno wakiwa na pesa nyingi ili hali watu wa kipato cha kawaida hudhani kuwa pesa ndio chanzo cha matatizo na maovu mengi, hivyo kila mmoja hapo atapata kile kiasi awazacho moyoni mwake.

Hakuna ushahidi wa kisayansi au kisaikolojia kuwa utajiri huambatana na bahati au zali fulani; hapana. Yeyote anaweza kuwa tajiri akiamua, lakini vyote vinategemea ma mfumo wa kufikiri unafuata kanuni ipi?

Ni muhimu kufanya zoezi la utajiri la akili kwa maana habari njema ni hii:- Subconscious mind yako haijui tofauti ya kama umekua tajiri kweli au unafanya visualization tu, chochote kianchoingia hufanyiwa kazi.

Na utakavyozidi kufanya hilo zoezi ndivyo utazidi kuwa na raha na kujisikia vizuri juu ya wazo la pesa na utajiri. Matokeo yake sasa utaanza kuvuta katika physical world hizo pesa kwa law of attraction.

Usiogope usiwe na hofu unapofanya zoezi. Mfano wa yule Ayoub alisema lolote baya ninalowaza ndilo linanitokea. Cha kujifunza ni hili Your Mind ndio Usukani wa mwili wako

Mfano ukiwa unatazama comedy au kitu cha furaha mwili hu relax, ukiwa na mawazo ya hofu ghafla yakija mwili nao hubadili mapigo ya moyo na kila kitu.
+8613164621057

Pia mawazo ya mafanikio unapokuwa nayo mwili wako basi unakua sumaku ya kuvuta mafanikio. Ni muhimu kujua hasa ni kiasi gani cha pesa unahitaji ili hata ukiacha kufanya kazi leo basi familia yako ifaidi kwa miaka hata 80 mbele bila uhitaji.

Leo tutakuja na hili zoezi la kuandika cheque. Andika pesa ambayo unadhani ukipata utaweza kuishi maisha ya furaha na hutajitaji tena kufanya kazi bali utakua unafanya kazi za kusaidia kutatua matatizo ya watu na kuwa na furaha maisha yako yote.

Utafiti unaonyesha kuwa kati ya watu 10 wanaostaafu wakifikisha miaka 65 yani miaka mitano toka wastaafu, sita wanakuwa wamefilisika kabisa; wawili wanakuwa na furaha kiasi, na wawili wanakuwa bado na utajiri na furaha kubwa zaidi.

Henry Ford aliwahi sema tatizo moja binadamu hatufikirii kulingana na uwezo wetu halisi. Tuna uwezo mkubwa lakini hatufikirii tunategea wengine wafikiri kwa ajili yetu.

Chochote kile ambacho unaweza kukiwaza na kuiona picha yake katika akili yako basi unaweza kukipata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeziandika hizo amaunt.. nazifikiria wee... nazipiga picha... mpaka kieleweke
 
GREAT ADVICE
 
Kwa kiasi flani na kubaluana na wewe kwamba unachokiwaza na kukifikiria sana kina mchango mkubwa kwenye mafanikio au kushindwa kwako.

Lakini pia watahadharishe watu kwamba sio hilo jambo pekee linaloweza kuwafanya wafanikiwe au kuwa matajiri. Ni hatua moja tu.

Na wanaotumia vizuri kufikiria kwao walio wengi kama sio wote hufanikiwa. Hii haijalishi umesoma kiasi gani au unatoka familia gani. Shule na exposure itaamua ubora na kiwango cha mafanikio tu.
 
Si Rahisi Kiivyo Ila Inawezekana,ungeeleza What You Have Achieved Through That Principle, Kujenga Iman Kwa Hadhira, Mm Nakumbuka Nikiwa Niko Mwaka Wa Kwanza Chuo Kikuu Kuna Kozi Moja Ya Kemistri Ni Ngumu Balaa, Organic Chemistry I, Nilitumia Hiyo Principle Nikapata A, Ni Baada Ya Kusoma Kitabu Cha The Power Of Subconcious Mind By Joseph Murphey, Haikuwa Rahisi , Razima Ujiandae Kulipa Gharama Ya Focus To The Intended Direction
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom