Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Tatizo la kwetu ni bado kuwa na dhana tengemezi na kushindwa kujisaidia wenyewe. Kwa maoni yangu ndio sababu tutaendelea kuwa maskini pamoja na rasimali nyingi tulizonazo. Nchi kama South Korea...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mnapokuwa kwenye mtumbwi na mmoja wenu akawa anatoboa mtumbwi, mkimwacha aendelee, wote mtazama majini. Mliokuwa mnaangalia na aliyekuwa anatoboa. Uwajibikaji mahali pa kazi ni duni hasa ktk...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
mimi naona hakuna
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tujiulize mimi na wewe mapenzi yetu yapo kwa nchi na unyoge wa watu wake au chama na serikali yake inayoneemesha viongozi wake kwa hazina iliyopo nchini? Zaidi jisomee makala niliyoambatanisha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Utafiti kutathmini thamani ya michango ya fedha (value for money) katika sekta ya Elimu: Michango ya kuendeleza Elimu Mkoa wa Kagera Utangulizi: Utafiti huu unalenga kutathmini thamani ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tumejulishwa rasmi kuhusu maboresho mengine ya Jamiiforums ndani ya siku 45 zijazo... Ni taarifa rasmi toka kwa Mkuu Melo mwenyewe.... Maboresho hayo yanatokana na maoni ya wadau nje ya forum.. Na...
21 Reactions
71 Replies
7K Views
Katika biblia yako maneno ambayo yametumika ili kumaanisha Jambo Fulani.mara nyingi sio rahisi kuelewa na inahitaji kujifunza kwa bidii ili uweze kuhakikisha kile ambacho kimeandikwa kwa sababu...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Naaamini daima mlinzi wa mwisho wa nchi yoyote dunia ni USALAMA WA TAIFA wa TAIFA LOLOTE DUNIANI. USALAMA WA TAIFA ndio roho ya mwisho ya TAIFA kujua MAADUI WA TAIFA na NDIO washauri wa muhimu...
4 Reactions
41 Replies
18K Views
Habari wakuu! Wachungaji na makasisi wametufanya tuwe watoto wakufikia. Kama haitoshi Mashekhe na maimamu wametugeuza watoto haramu katika nyumba ya Baba yetu. Wameturubuni kwa maneno ya uongo na...
10 Reactions
65 Replies
6K Views
Hili ni kaburi la Mtwa Munyigumba Kilonge Mdegella Mwamuyinga lililo katika Kijiji cha Rungemba wilayani Mufindi, takribani kilometa 61 kutoka Iringa mjini. MAANDIKO kadhaa yamekuwepo...
11 Reactions
40 Replies
13K Views
Habari ya usiku wakubwa. Leo nimejikuta nipo katika mood ya kuwasilisha mada ya yenye kichwa hicho hapo juu. Je ni kweli kwamba nadharia hiyo ndio sababu au miongoni mwa sababu ya wanasayansi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanasayansi na watafiti wamepata ushahidi wa kipekee sana duniani kwa kupata nyayo Zaidi ya 400 za mwanadamu wa kale katika tabaka linalokadiriwa kuwa na miaka 5000 mpaka 19,000. Nyayo hizo ni za...
8 Reactions
63 Replies
10K Views
  • Closed
Muone mwenyewe The challenge... Follow up... Swali: Je ni kweli anachosema huyo daktari kwamba baada ya Thambo Mbeki aliyekuwa rais wa pili wa Afrika kusini kushtukia kwamba ARV ndizo...
29 Reactions
391 Replies
85K Views
Na.Dr.Omar Ali. kuna mambo nayafanyia tafiti sasa hivi kuhusu maisha yalivyokuwa zama za kale kabla ya kuzaliwa yesu, vipi teknolojia zilivyokuwa kipindi hicho, historia inaonyesha jamaa walikuwa...
3 Reactions
9 Replies
5K Views
Mara nyingi namna ujasusi unavyotekelezwa katika dunia halisi ni mara chache sana hufanana na zile television movies za hollywoods kama James Bond, Tom Cruise na wengineo.Ila ujasusi bado inabaki...
9 Reactions
158 Replies
22K Views
Ni mawe matati yaliyowekwa huko Marekani na watu wasiojulikana mpaka leo hii yakitoa amri 10 zingine za dunia kwa lugha 8 za dunia kikiwepo na kiswahili. Sababu na tumia simu siwezi weka maelezo...
1 Reactions
20 Replies
11K Views
The Islamic militant group ISIS, formerly known as Al-Qaeda in Iraq, and recently rebranded as the so called Islamic State, is the stuff of nightmares. They are ruthless, fanatical, killers, on a...
1 Reactions
14 Replies
6K Views
LAST DAY MEANS LAST AGE The term ‘Last Day’ in reality stands for the ‘Last Age’, or the age which would culminate in the end of history—when the true Messiah, Jesus, the son of Mary (not son...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
1. February 1984 Generali Gholam Ali ambaye alikuwa mkuu wa majeshi kwenye utawala wa Shah uliokuwa umepandikizwa na Marekani alijaribu kuiangusha serikali ya mapinduzi ya Iran akiwa mafichoni...
11 Reactions
35 Replies
7K Views
Kila familia hapa chini imepewa kazi yake ya kuumaliza Ulimwengu kutoka utawala wa Mungu hadi utawala wao wa NEW WORLD ORDER "NWO", na hizi ndo familia zinazo control dunia nzima yaani wamejivisha...
26 Reactions
283 Replies
105K Views
Back
Top Bottom