Nimepata taarifa za ndani kutoka Bank M kwamba wamiliki ni mlengo wa Freemason. Mtoa taarifu aliambiwa wanataka damu ya watu.
Mmoja kati ya Wamiliki aliisha shika nafasi ya juu serikalini na...
Mpaka hii leo kuna watu ambao ukiwaeleza habari za freemasons huona tu kama ni hadithi za kufikirika na kwamba hazina uhalisia wowote katika maisha ya kawaida.
Well, kama wewe ni mmoja wa watu...
Nilitaka kujua hali ya kiusalama kwa mtu atakayekuwapo ndani ya Tanzania endapo bomu la nuklia litarushwa na kwenda kulipukia lets say Washington DC, au labda London, au perhaps Beijing au pengine...
Utamaduni ni miongoni mwa mambo yanayotajwa kuhifadhi hadhi na heshima ya mtu na kumfanya atambulike kila mahali. Mbali na hayo, lakini zipo tamaduni ambazo zinabaki kuwa za sehemu moja pekee na...
WanaJF intelligence habari za asbuhi.... Bila kupoteza muda ningependa kwenda mojamoja kwenye mada ...... Je upi ni ukweli kuhusu philadelphia experiment?
Inasemekana mnamo october 28, 1943...
Kwanza kabisa nianze kwa kumshukuru Mungu kwa mema yote aliyonijaalia kwa afya njema na upeo wa kuweza kuchanganua mambo magumu.Mada ya leo hakika ni ngumu sana wakati mwingine napata hofu...
Habari wakuu!!
Mimi ni Mkristo. Tena si yule Mkristo wa kufuata miujiza au wa kufuata mkumbo. Ni mkristo ninayefuata misingi ya maandiko matakatifu kama yanavyosema bila kujali ni nini naamini...
Kwa kawaida wanyama hurahisisha maisha ya binadamu kwa kuwa walinzi, chakula na usafiri lakini kuna baadhi ya wanyama na ndege walioweza kujiwekea heshima duniani hasa kwenye sekta maalum za...
Habari zenu ndg WA jamii forum,,Mimi Nina swali/maswali ambayo nahitaji kujua kama ifuatavyo
Kwanini katika mzunguko WA dunia tunatumia masaa ambayo so sahihi?kwa maana ya kwamba tunatumia;
7kama...
LIPO jambo ambalo limegubika utata nchini Malawi juu ya Dkt. Hasting Kamuzu Banda halisi anayedaiwa kupotelea nchi za Ughaibuni na baadaye kupachikwa Dkt. Kamuzu Banda wa bandia ili kuficha jambo...
Hivi karibuni jarida la The Economist wametoa utabiri wao kwa michoro wa matukio yatayojitokeza 2019 . Michoro hiyo ipo "cover" ya mbele. Kama picha inavyoonesha hapo chini,
Résultats Google...
Nitachangia kutokana na ufahamu wangu wa mambo hasa kutokana na hii dunia kuendeshwa kwa siri kubwa sana ..
Kila mchoro hapo umewekwa kurepresent jambo flani kulingana na umuhimi wa mchoro au...
MHANGA WA KUJICHOMA MOTO HADI KUFA (SELF-IMMOLATION)
Tangu kuzaliwa kwa dola za kisiasa, historia ya Ulimwengu imerekodi kumbukumbu chungutele za mbinu anuai ambazo wananchi wamezitumia...
Kwa mujibu wa NASA kwa kutumia Telescope yao kubwa hadi sasa wamegundua kuna sayari zaidi ya Billioni 30 katika Milkway Galaxy yetu, pia hadi sasa wamegundua kuwa kuna Sayari Billioni Miamoja...
Huu ni ulimwengu wa kanuni, taratibu
na sheria ambazo kufuatwa ni wajibu wa kila mtu ingawa zipo kanuni, taratibu na sheria nyingine zinaajabisha sana na ninazo hapa sheria 8 kwenye sehemu...
Wengi wamezoea kuiona picha yake kama alama ya ukombozi na mapinduzi ya kweli lakini ni wachache wanaomjua vizuri. Jina lake halisi anaitwa Ernesto ‘Che’ Guevara, alizaliwa Juni 14, 1928, Rosario...
Mwanzoni kabisa, dunia ilikuwa ikitumia kalenda ya mtawala wa Kiroma aliyeitwa Julius Caesar. Kalenda hiyo ilianzishwa mwaka 46 Kabla ya Kristo. Kalenda hiyo ilikuwa na siku 465 na masaa 6...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.