Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,476
- 39,995
Alikuwa ni mwandishi ambaye wengi wetu tulikuwa tukimsoma sana; aliuawa miaka michache tu iliyopita (2006);watuhumiwa kuhusika walikamatwa?

Na yule dereva aliyetuhumiwa kuhusika na ajali ya gari la mbunge na Naibu Waziri kule iringa yuko wapi?

MM
Kuna na dereva wa lori aliyesababisha ajali iliyomuuwa SALOME MBATIA, walituambia alikimbia baada ya tukio mpaka leo, haijawahi repotiwa, wala tangazwa kama walimkamata.
Ukianza kutaja matukio ya aina hii kwa nchi hii, utachoka tu!
Naongeza mengine;
1. Takriban miaka 8 au 9 iliyopita kuna watu walikamatwa wakiwa na mashine za kuzalisha madawa ya kulevya kule Kunduchi. Na hata nyumba hiyo ilipigwa picha na kutolewa gazetini. Kesi iko wapi?
2. Kuna watu walikamatwa Mbeya wakiwa na maiti ya mwenzao aliyeelzwa kufia Zambia. Lakini maiti ilikutwa (tumboni) na madawa ya kulevya. Kesi iko wapi?
3. n.k., n.k. ni mengi sana!

Hamna nchi ambako kesi za madawa ya kulevya zinaendeshwa watuhumiwa wakashindwaa isipokuwa US na nchi chache sana za Ulaya. Ndiyo maana MiddleEast nchi nyingi zinatandika instant death sentence kutegemeana na amount uliyokutwa nayo. Kule Far East ukikutwa nayo hakuna issue ya rufaa baada ya sentence. Aliyekuwa kiongozi wa club ya Simba anasotea sentence ya 50 yrs kule China. Kwingine kote, Africa, South America, Australia na Europe kesi za drugs ni ngumu sana. Mtu kufungwa huwa ni sehemu ya miujuiza ya kisheria. Wana-network kubwa na mi-hela ya nguvu sana hao jamaa.
Mwanakijiji mnasubiri matukio tete bin tata yatokee ndio mnakumbushia?
si unajua tena inasadikika kuwa Watanznaia ni watu wenye kumbukumbu za muda mfupi sana yanapokuja masuala muhimu fulani fulani ya kitaifa.