Wakuu,
Nina miaka 4 sasa nafanya utafiti kuhusu kuwepo kwa uchawi sijapata kujiridhisha kihalisia kuwepo kwa ushirikina.Nimetembelea maeneo yote yanayosemekana ni maarufu kwa ushirikina kama...
Habari!
Leo niliamua kushangaa kidogo ufunguzi wa kiwanda cha unga wa mahindi hapa kambi ya Mlale Songea! Nimefanikiwa kuwa mbele mbele kidogo hivyo tukio zima nimelishuhudia vyema!
Kuna haka ka...
Wasaaalam wana JI!
Kama wewe ni mpenzi wa Science fiction(sayansi ya kubuni),bila shaka jina Isaac Asimov sio geni kwako.
Mwaandishi huyu wa kimarekani aliwahi kuandika kitabu chenye mkusanyiko...
Wakuu habari za jioni..
Kumekuwa na makala mbalimbali zinaozo elezea umbali ambao wanasayansi wameshafikia angani. Wameweza safiri mpaka kwenye mwezi na wameweza tuma vyombo vya uchunguzi katika...
Wanabodi, mtakubaliana nami kuwa matatizo mengi katika hii Dunia yanasababishwa na ujuaji mwingi wa Binadamu kwa mgongo wa maendeleo ya Sayansi na Teknolojia. Hapa chini ni mifano michache...
Growth of human homo (being)huyu ndiye mnyama anaeshi middle time ya uhai wa bustanini akiwa balanced huyu ndiye mwenye one hulf second ya utashi dhidi ya wanyama wenzie akiwa na uwezo wa kuunda...
Human homo ni sehemu ya umungu(god,lyrans)wasanifu wa muundo huo.
ndivyo ilivyo waumbaji waliumba human homo kwa mifano yaki,maumbo,ufahamu,n.k kwa moja ya sehemu walizonazo wao,baasi human homo...
INAENDELEA UZI NA #44 SEHEMU YA 2
INAENDELEA UZI NAMBA #166 SEHEMU YA 3
SEHEMU YA NNE INAENDELEA UZI NAMBA #217
SEHEMU YA TANO INAENDELEA UZI NAMBA ,,,,,,,,,,,,,,
,,,#243
SEHEMU YA MWISHO UZI...
Habari Wana Jamii intelligence
Mda mrefu kweli,nilitamani kuwe na Uzi ambao Watu watakua huru kutoa Ushuhudu Binafsi kuhusu uwepo wa Mungu katika Maisha Yao
Jinsi gani Mungu amewapigania mpaka...
Habari zenu.
Mimi mi mpenzi sana wa mambo ya intelligence. Ni mgeni kidogo humu jf upande wa kuwa member. Jukwaa hili ndio limenishawishi niweze kuwa member kamili ili niweze shiriki vizuri...
Mwaka 2008 pengine ulikwa moja ya miaka ya purukushani Sana duniani kuanzia uwepo wa Alqaidah yenye nguvu, mgogoro wa Georgia, pamoja na mpango wa Iran wa nyuklia.Iran walkwa katika hatua za Kati...
Wadau, this is for your information. Ripoti juu ya sakata la rada inayoonyesha jinsi Rashid na Chenge walivyohusika. Jamani, hivi ni kipi kinaendelea mbona iko wazi kabisa kuwa hawa jamaa wana...
Katika hafla iliyofanyika Ikulu ya Urusi ya Kremlin na rais wa nchi hiyo Vladmir Putin ya kuwatunuku majenerali wa majeshi ya Urusi(Russia) na wakuu wa vitengo vya ushushushu vya nchi hiyo tuzo na...
Hii ni makala inayoongelea kisa kimoja cha kutisha na kusisimua sana kilichowakumba familia ya PERRON nchini MAREKANI katika himaya yake ya KISIWA CHA RHODE ambako ndani yake ndo kuna kijiji cha...
Nashanga wana JF na waTanzania tuhuma kubwa kwa jeshi la Polisi na maafisa wake waandamizi zilizotolewa na Reginald Mengi kuwa Polisi kwa kushirikiana na wafanyabiashara wa Kiasia waliandaa mpango...
Nchi inaelekea pabaya waTANZANIA sasa wapigwa marufuku COCO BEACH!
Kuna taarifa kuwa baada ya kutumia pesa za walipa kodi, WATANZANIA sasa wamepigwa MARUFUKU kwenda ufukweni na serikali kupitia...
Hackers from Israel were behind the discovery that Russian spies were using the popular Kaspersky Lab antivirus software to spy on American intelligence agencies, according to reports.
The...
NGUVU ZA ASILI NA NGUVU ZA AKILI.
Nguvu za akili ni ule uwezo wa kumuunganisha mtu na nguvu asili. Hakuna kitu kishindacho nguvu za asili na nguvu za asili zikiingia ndani ya mwili wa binadamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.