Mtu wa falsafa, mwanamikakati, mpanga mipango na muandishi aliekua na uwezo, na mawazo ambayo yanatumika kwa kiasi kikubwa na mashirika ya kijasusi, kutoa elimu yakijasusi, usalama wa mataifa...
Hizi sifa nimezitoa nchi moja hivi siitaji jina.
Lazima uwe mzalendo wa kweli wa nchi yako
Usiwe mwanachama wa chama chochote cha siasa
Uwe na IQ kubwa
Uwe na mafunzo ya kijeshi
Upitie mafunzo ya...
Tangu zamani za kale, mwanadamu alitegemea neema ya asili ya mazingira ya eneo husika kujipatia mahitaji yake muhimu hasa chakula na makazi. Kuna baadhi ya maeneo yalijaliwa kuwa na:
Mvua na maji...
Katika pitapita zangu nmekuja jua kuwa katika mtu kuna mambo makuu matatu, yaani nafsi, akili na mwili.
Nafsi ndio mtu mwenye kwa maana yu hai hata ukitoka mwili(kufa).
Leo nataka mwenye kujua...
Miaka ya karibuni kumekua na ukuaji wa cashless technology, na kuna nchi za Scandinavia ziko katika mpango wa kuondoa ela zote katika jamii zao japokua bado hawajafanikiwa Kwa 100%.
Na ukuaji wa...
Habarini wanajukwaa......
Nianze nakuwaomba kama kutakua nakuongezea au kupunguza naomba marekebisho yatajwe ila si kuponda nadhani utakua msingi mzuri zaidi wa hoja ntakayoitoa
Muda si mrefu...
Mara baada ya mashambulizi ya kigaidi ya Sept 11, Rais wa Marekani wa wakati huo George W Bush, alitoa hotuba fupi akiwa na hasira na macho yake yakiwa mekundu, akiwa ametoka kujificha kwenye...
Nianze kwa kusema nakumbuka nikiwa bado mdogo mdogo, nilikuwa na sifa moja kubwa sana mtaani kwetu ya ubishi.
Hata kama ulete fact za kiwango gani lakini niki-stickkatika msimamo wangu ni hapo...
Tumekua tukishuhudia au sisi wenyewe kuvaa nguo nyeusi wakat tunapofiwa na ndugu ,jamaa na marafiki zetu wa karibu . Lakini hata hivyo watu wengi huwa hawaelewi why wafiwa na baadhi ya...
Here is the list of things which make our generation unhappy:
Generation is unhappy because there is no optimism in society overall.
More peace but division in politics makes it worse and...
Kuna ulimwengu wa roho na wa mwili, ulimwengu wa roho mahali roho zipoishi na kuna miili ya huko ambayo haifii (living body) tofaut ya duniani ambayo hufa. Ulimwengu wa mwili mahali miili ya nyama...
Atheism, in general, the critique and denial of metaphysical beliefs in God or spiritual beings. As such, it is usually distinguished from theism, which affirms the reality of the divine and often...
Habarini za mchana.
Ninaleta uzi kidogo kuhusu ishu ya black magic, kwani katika soma soma ya vitabu nimepata vitu kidogo vya kuwashirikisha, karibuni.
Tuanze nini maana ya Black Magic: huu ni...
Kumekuwa na utata mwingi kuhusu siku maalum hasa kwa ibada pale unapokutana na watu wanaosema sabato ni Jumapili na wengine wakisema ni Jumamosi na wote wakiwa sababu zinazowafanya waamini katika...
Kampuni kubwa ya kutengeneza ndege Duniani ya Boeing yenye makao makuu yake Illinois Chicago Marekani imekumbwa na msukosuko wa ndege zake toleo jipya kabisa aina ya 737 MAX 8 kupata ajali mara...
Kila inapotokea charter ya apple imebandikwa, lazima tunda hilo liwe limekatwa kidogo pembeni.
Napenda kufahamishwa mwanzilishi alikuwa na maana gani kuandaa charter hiyo ikiwa imekatwa?
Dear Friends,
Hi...It is still me, Edward Courtney Copeland-Gainer of the Israel Defense Ministry (IDM).
I title this short lecture, "The Illuminati, Masonry, & the U.S.A."
My purpose is to...
Ungana nami katika simulizi hii ya kweli inayohusu viumbe wa ajabu waishio angani. Kama ni msomaji wa vitabu vitakatifu, Mungu aliumba vitu vinavyoonekana na visivyoonekana. Inahisiwa kuwa...
Mithali 3:19
19 Kwa hekima BWANA aliiweka misingi ya nchi;Kwa akili zake akazifanya mbingu imara;
Ukienda katika makanisa ya kileo msisitizo ni miujiza na sio matumiz ya akili, lakin ukifuatilia...
Duniani kuna mabara 7, kati ya hayo sita ndo wanaishi binadamu,
1.Asia
2.Afrika
3.Amerika Kaskazini
4. Amerika ya Kusini
5. Australia
6. Ulaya
Ukiangalia kwa makini uhalisia wa watu wanaoishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.