Mish Albert
JF-Expert Member
- Dec 25, 2015
- 648
- 557
Wasaaalam wana JI!
Kama wewe ni mpenzi wa Science fiction(sayansi ya kubuni),bila shaka jina Isaac Asimov sio geni kwako.
Mwaandishi huyu wa kimarekani aliwahi kuandika kitabu chenye mkusanyiko wa hadithi fupi za Robot kinachoitwa "I,Robot"
Katika kitabu hiki,kuna hadithi fupi inayoitwa "Runaround",hadithi hii inamuhusu Robot aliyepewa jina la QT-1 au kwa urahisi "Cutie"
Cutie alikuwa ni kiongozi wa Robots wenzake katika kituo Fulani cha anga za juu(space station) kilichopewa jukumu la kusambaza Nishati kwenye sayari nyingine kwa kutumia mionzi ya Microwave
Kutokana na uwezo mkubwa wa kufikiri aliokuwa nao,hatimaye Cutie akaanzisha dini yake iliyo wataka Robot kupiga magoti mbele ya "chanzo cha nishati" ya kituo hicho
Huku akiwambia kuwa,chanzo hicho cha Nishati alichokipa jina la Master,ndiye Mungu wao na yeye cutie ndie Nabii pekee wa Mungu huyo
"There is no master but master,and cutie is his prophet"
Robot huyu akaenda mbali zaidi na kuanza kudharau amri anazopewa na binadam huku akidai kuwa hata yeye ana uwezo wa kufikiri na kutoa maamuzi
Hukuu akirejea maneno ya mwanafalsafa Rene Descartes kuwa "I myself exist,because I think"
Juhudi za kumwangamiza Cutie zilishindikana na Robot wote wakawa waamuni wa dini yake"
Story hio ya zamani,hata kabla ya teknolojia ya Robot haijakuwa
Je siku moja tutakuwa na robot aina ya Cutie?
Artificial intelligence
Artificial intelligence ni ufaham au nafsi ya kutengeneza inayotumiwa na Mashine kwa msaada wa program ya computer
Mwaka 2015,kampuni la Marekani lenye makazi yake Hong Kong Hanson Robotics,lilitengeneza Robot mwenye mwonekano wa mwanadam(Android,)
Robot huyu ana uwezo mkubwa wa kuzungumza na mwanadam kiasi cha mwanadam kuhisi anazungumza na kiumbe chenye nafsi,Robot huyo akapewa jina la Sophia
Uwezo mkubwa wa huyu Robot ukafanya Nchi ya Saudi Arabia kumpa urai na akawa robot wa kwanza kuwa mwananchi
Sophia ni miongoni ya maelfu ya Robot wanaojulikana kama AL(artificial intelligent)
Lakini swali la kujiuliza ni kuwa "Je Robot hawa wana uwezo wa kufikiri kama tunavyodhani au kuaminishwa?
Jibu ni HAPANA
TURING TEST
Mwaka 1950,mgunduzi wa computer Alan Turing,alitengeneza mbinu itakayo wezesha kutambua kama Robot ana uwezo wa kufikiria
Alisema kuwa "kama Machine(Robot),anaye ongea na binadam ataweza kumfanya binadam ashindwe kutofautisha kuwa anayeongea nae ni Robot au binadam,basi Robot huyo atakuwa na uwezo wa kufikiri"
"If robot will convince human that is speaking to another Human,then that Robot can be considered to think"
Sasa Hawa AL,kama Sophia wamefanikiwa kufaulu Turing test,na kama wakifungiwa kwenye chumba,na ukapewa nafasi uonge nao,lazima utaamin kuwa unaongea na Binadam wenzako
Je ni kweli wanafikiria?
CHINESE ROOM ARGUMENT
Kujibu swali hilo hapo juu acha nitumie hoja hii
Moja kati ya wanafalsafa ma genius, walio fanikiwa kuonyesha upuuzi wa Artificial intelligence ni John searle
Searle alikuja na jaribio hili la kufikirika ( thought experiment) alilolipa jina la Chinese room
Kuna sherehe mtaa wa pili,nitaendelea nikirudi