Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,312
- 10,494
Habari!
Leo niliamua kushangaa kidogo ufunguzi wa kiwanda cha unga wa mahindi hapa kambi ya Mlale Songea! Nimefanikiwa kuwa mbele mbele kidogo hivyo tukio zima nimelishuhudia vyema!
Kuna haka ka changamoto ka walinzi wa raisi kuwa na vitambi plus unene usio na mpangilio, hivi hii imekaaje?
Yaani na mazoezi yote wanayofanya bado wanafuga vitambi? Jeshi haliwezi kupanga refresher trainings za kuwaporomoa vile vitumbo?
Kwa nini wasijifunze toka majeshi ya wenzetu?
Raisi anakonda, walinzi wake wananenepa!
Nashauri: Mtu akishindwa kuporomosha tambi lake aondolewe kwenye list ya walinzi wa The first One!
Wanajeshi nanyi hivyo vitambi mnavyofuga mviporomoe asee! Kama mmeshindwa hilo mkapashe misuli kidogo huko makambini au in real battles!!
Sent using Jamii Forums mobile app