Fallen angels/watchers/Annunaki ndio hao hao Alliens

Pure_sapiens

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2016
Posts
2,251
Reaction score
2,131
Habari zenu.
natumai ni wazima wa afya lakini wale ambao hawako fresh.Nawapa pole.

Thread hii inaweza isikupe majibu ya maswali yako mengi ambayo umatafuta majibu na ukakosa lakini inaweza kukupa moyo wa kuanza tena kusaka majibu ya maswali yako.Ama ukabaki njia panda usojuwe pa kwenda.
The greatest enemy of knowledge is not ignorance;it is the illusion of knowledg.By Stephen hawking.
Kumekuwa na hoja mbalimbali kuhusu uwepo wa viumbe waishio anga za mbali huko na sayari yetu(earth).Viumbe hao huitwa alliens,Wanasayansi na watafiti katika nchi mbalimbali wanakili uwepo wa viumbe hao wenye maarifa na ujuzi wa hali ya juu kabisa kuliko binadamu.Lakini kizuri zaidi wanasayansi wanasema viumbe hawa hutembelea dunia mara kwa mara.
IMG_2587.JPG
IMG_2586.JPG
IMG_2585.JPG
Baadhi ya mataifa makubwa ambao yameendelea katika sayansi na teknolojia wanasema huwa wanapata signals zao hivyo hufanya mawasiliano na hawa viumbe alliens.Alliens wamekuwa msaada mkubwa sana kwa maisha ya binadamu hapa duniani kwani hutupatia ujuzi na maarifa yao.Bila shala alliens wapo na ipo siku watakuja duniani kuishi na sisi.

Fallen angles/watchers/annunaki.
IMG_1181.JPG
IMG_1184.JPG

Kwa mujibu wa maandika ya dini(ibraham religious)Uyahudi,islam and christian wanadai hapo zamani huko mbinguni kulitokea uhasi ambao ulipelekea robo tatu ya malaika kuamua kuondoka mara ya baada ya kufanya uhasi.
Kwa mujibu wa kitabu cha Enoch( book of enoch). Enoch ambaye alikuwa mtumishi wa Mungu lakini pia alitembea na Mungu ili kuonyeshwa ukuu na utukufu wake(Mungu).Anaeleza katika kitabu chake kuwa hapo zamani malaika walimuaasi mungu ndipo walipokimbilia duniani.
IMG_1809.JPG
IMG_1810.JPG
Malaika hawa wakiongozwa na Azazil na shemyza walipofika duniani waliwatamani wanawake wa kibinadamu,hivyo waliwaingilia kimwili(kujamiana)na kupata watoto.Malaika hawa walizaa na wanawake wa kibinadam viumbe wa ajabu sana waliofahamika kama Niphilims(giants).
Malaika hawa waasi ambao wanafahamika kama annunaka walifundisha wanadamu elimu ya mambo mbalimbali kama vile elimu ya sayansi na teknolojia,udaktari,unajimu, uchawi, urembo kwa wanawake,kutengeneza vifaa mbalimbali kama vile silaha za maangamizi.
Annunaki na watoto wao niphilims walifanya maovu sana duniani kwa kuua viumbe wengine hata binadamu
IMG_1809.JPG
.Enoch anaeleza malaika hawa walimwaga sana damu za viumbe wengine wa Mungu.
Baada ya maovu kuwa mengi zaidi ndipo Mungu alipoamua kuwa angamiza kwa gharika la maji.Malaika hawa walikamatwa na kufungwa katika mbingu ya pili(second heaven).
Baada ya gharika kuisha maisha ya duniani kwa upande wa binadamu yalianza upya kwani ujuzi ma teknolojia ulisombwa na maji ya gharika,hivyo kizazi kipya kilianza from zero hadi hapa tulipo.

Conclusion:Baada ya kuzidi maovu duniani Mungu aliamua kuwafunga gerezani hawa malaika waasi katika mbingu ya pili ni miaka mingi sana imepita tangu wafungiwe huko mbinguni.Lakini kwa miaka ya hivi karibuni watalaamu wa sayansi na teknolojia wanasema kuwa kuna viumbe wenye ujuzi mkubwa na teknolojia kubwa kuliko sisi wanaishi huko anga za mbali knownn as alliens, hivyo hawa alliens wanaweka kuwa ndio wale malaika waasi.
Kumbuka baada ya kufungwa ni miaka mingi imepita hivyo hawa malaika watakuwa na familia na maisha yao huko anga za mbali,lakini pia wanatambua kuwa waliwahi kuja huku na kuishi na sisi binadamu.Hivyo wanakuja kidogo kidogo kabla ya ujio wao kamili.
L
Kama wanakuja hao alliens means huko gerezani watakuwa wanatoroka au wamepata get away ya kuingia duniani.

Samahani kwa bandiko hili refu:
Karibuni wajuzi na wataalamu wa mambo ili kujadili kwa undani zaidi.
IMG_1811.JPG
 
Reference yako umeitoa kwenye kutabu cha Enoch! Vitabu vingine vinasemaje?

Naomba kujua au nijuze kwenye mlolongo wa vibatu hiki cha Enok kinaangukia agano lipi? Kale au jipya?
 
Huyu Enoch alikuwa miongoni mwa watakatifu hapo zamani miongoni mwa jamii yake hivyo mungu aliamuwa kumtumia katika kufikisha ujumbe kwa watu wake.Hiki kitabu cha enoch kimejadiliwa sana humu jf japo sio kwa undani sana. Lakini ni miongoni mwa vitabu vya mwanzo vilivyoondolewa katika biblia.

Mind you.Hata biblia inaeleza kuhusu wale malaika waasi huko mbinguni lakini haielezi kwa undani sana. Lakini pia biblia inagusia kuhusu habari za giants(majitu) kama vile mfalme Ogu.
Sasa jiulize wale malaika waliaasi kwa mungu walienda wapi na huko wanafanya nini?
 
Sijaelewa

Umesema kua

wanasayansi wanasema viumbe hawa hutembelea dunia mara kwa mara.

Halafu ukaja kusema tena kua

Kuna jopo la malaika limefungwa huko mbingu ya pili na mungu

Kivipi hao alliens ndio wawe malaika wa kutoka mbingu ya juu wakati walishafungwa na mungu miaka mingi???
 
Mkuu soma vizuri utaelewa.Hivi kwa mujibu wa maandiko hawa malaika waasi(Annunaki)baada ya kufanya machafuzi duniani Mungu aliamuwa kuwafunga jangwani huko katika mbingu ya pili,lakini tangu miaka hiyo ya zamani hadi sasa hawa walaika na watoto wao lazima watakuwa wamezaliana na kuwa wengi lakini inawezekana wakawa wanaljua lango la kuja duniani.Hivyo wanatembela kila wanapotaka kufanya hivyo.

Sayansi kwa imeshindwa ku prove claims za dini kuhusu malaika hivyo wao wanasema ni Alliens
 
Habari zenu.
natumai ni wazima wa afya lakini wale ambao hawako fresh.Nawapa pole.

Thread hii inaweza isikupe majibu ya maswali yako mengi ambayo umatafuta majibu na ukakosa lakini inaweza kukupa moyo wa kuanza tena kusaka majibu ya maswali yako.Ama ukabaki njia panda usojuwe pa kwenda.
The greatest enemy of knowledge is not ignorance;it is the illusion of knowledg.By Stephen hawking.
Kumekuwa na hoja mbalimbali kuhusu uwepo wa viumbe waishio anga za mbali huko na sayari yetu(earth).Viumbe hao huitwa alliens,Wanasayansi na watafiti katika nchi mbalimbali wanakili uwepo wa viumbe hao wenye maarifa na ujuzi wa hali ya juu kabisa kuliko binadamu.Lakini kizuri zaidi wanasayansi wanasema viumbe hawa hutembelea dunia mara kwa mara.View attachment 1085487View attachment 1085490View attachment 1085491Baadhi ya mataifa makubwa ambao yameendelea katika sayansi na teknolojia wanasema huwa wanapata signals zao hivyo hufanya mawasiliano na hawa viumbe alliens.Alliens wamekuwa msaada mkubwa sana kwa maisha ya binadamu hapa duniani kwani hutupatia ujuzi na maarifa yao.Bila shala alliens wapo na ipo siku watakuja duniani kuishi na sisi.

Fallen angles/watchers/annunaki.
View attachment 1085496View attachment 1085497
Kwa mujibu wa maandika ya dini(ibraham religious)Uyahudi,islam and christian wanadai hapo zamani huko mbinguni kulitokea uhasi ambao ulipelekea robo tatu ya malaika kuamua kuondoka mara ya baada ya kufanya uhasi.
Kwa mujibu wa kitabu cha Enoch( book of enoch). Enoch ambaye alikuwa mtumishi wa Mungu lakini pia alitembea na Mungu ili kuonyeshwa ukuu na utukufu wake(Mungu).Anaeleza katika kitabu chake kuwa hapo zamani malaika walimuaasi mungu ndipo walipokimbilia duniani.View attachment 1085504View attachment 1085505Malaika hawa wakiongozwa na Azazil na shemyza walipofika duniani waliwatamani wanawake wa kibinadamu,hivyo waliwaingilia kimwili(kujamiana)na kupata watoto.Malaika hawa walizaa na wanawake wa kibinadam viumbe wa ajabu sana waliofahamika kama Niphilims(giants).
Malaika hawa waasi ambao wanafahamika kama annunaka walifundisha wanadamu elimu ya mambo mbalimbali kama vile elimu ya sayansi na teknolojia,udaktari,unajimu, uchawi, urembo kwa wanawake,kutengeneza vifaa mbalimbali kama vile silaha za maangamizi.
Annunaki na watoto wao niphilims walifanya maovu sana duniani kwa kuua viumbe wengine hata binadamuView attachment 1085510.Enoch anaeleza malaika hawa walimwaga sana damu za viumbe wengine wa Mungu.
Baada ya maovu kuwa mengi zaidi ndipo Mungu alipoamua kuwa angamiza kwa gharika la maji.Malaika hawa walikamatwa na kufungwa katika mbingu ya pili(second heaven).
Baada ya gharika kuisha maisha ya duniani kwa upande wa binadamu yalianza upya kwani ujuzi ma teknolojia ulisombwa na maji ya gharika,hivyo kizazi kipya kilianza from zero hadi hapa tulipo.

Conclusion:Baada ya kuzidi maovu duniani Mungu aliamua kuwafunga gerezani hawa malaika waasi katika mbingu ya pili ni miaka mingi sana imepita tangu wafungiwe huko mbinguni.Lakini kwa miaka ya hivi karibuni watalaamu wa sayansi na teknolojia wanasema kuwa kuna viumbe wenye ujuzi mkubwa na teknolojia kubwa kuliko sisi wanaishi huko anga za mbali knownn as alliens, hivyo hawa alliens wanaweka kuwa ndio wale malaika waasi.
Kumbuka baada ya kufungwa ni miaka mingi imepita hivyo hawa malaika watakuwa na familia na maisha yao huko anga za mbali,lakini pia wanatambua kuwa waliwahi kuja huku na kuishi na sisi binadamu.Hivyo wanakuja kidogo kidogo kabla ya ujio wao kamili.
L
Kama wanakuja hao alliens means huko gerezani watakuwa wanatoroka au wamepata get away ya kuingia duniani.

Samahani kwa bandiko hili refu:
Karibuni wajuzi na wataalamu wa mambo ili kujadili kwa undani zaidi.View attachment 1085521
Uislamu hauna story kama hii. Sababu malaika hawa asi wala hawakuwahi kuasi,kwahiyo hapo ulipoutaja Uislamu umeutaja kimakosa.
 
Unaweza kukubali ama kutokubali uwepo wa Alliens kwa kuangalia haya:
Hawapo kwa sababu haileweki muonekano wao mchache hutokea kwa huko kwa Wazungu tu.
Sijawahi kusikia taarifa ya kusisimua kuhusu tukio la Uonekano wao sehemu yoyote ya Bara letu hili la Weusi!
Wapo, kwa maana ya kwamba wanatugaia maarifa yao yaliyo mbele zaidi kuliko yetu.
Kusimama hapa Shambani kwangu Lushoto na kifaa kinachoenea kwenye kiganja cha mkono, na nikaweza kuongea kisambaa na ndugu yangu aliye Urusi ama Marekani nukta ile ile neno linaponitoka mdomoni tayari limeishafika sikioni mwake wakati ingenichukua hata siku mbili kwa ndege ili kumfuata huko aliko!
Hapa sitazungumzia kuhusu TV yangu ambayo imeniwezesha kuangalia wanaume wa Liverpool na Barcelona wakiumizana huko kwao mimi nikiwa nimekaa kwenye kochi sebuleni kwangu na kikombe cha chai!
Dhahiri haya ni maarifa kutoka kwa Alliens tu!
Wakati umefika wajionyeshe wazi sasa!
Mambo ya kuja kuchungulia duniani kiwoga woga hatutaki sasa!
 
Kajaribu tena kusoma kitabu chako vizuri.
Lakini hata waislam wanaambiwa kuhusu Ahali kitabu.
 
Umesema vizuri kabisa.Ukiangalia maendeleo makubwa waliyopiga binadamu kwa miaka ya hivi karibuni lazima kuwe na Msaada kutoka sehemu zingine
 
Umetaja mafundisho ya dini 3, ila umenukuu ukiristo tena kitabu cha Enoch tu, inawezekana ndiko walipotajwa hao Malaika ambao unadai walifanya uasi, ila kwa mujibu wa Islam teaching Malaika hawatendi dhambi, pili hawana matamanio so kusema walifanya mapenzi na wanawake kwa mujibu ya mafunzo ya Islam ni uongo.
Ila nakubaliana na wewe kwenye heading yako ila content yako ndio ipo na shida. Kwa mujibu wa uislam alie fanya uasi ni Iblis ya shetani na ndio huyu wazungu ambae kizaz chake wanakiita aliens.
 
Kajaribu tena kusoma kitabu chako vizuri.
Lakini hata waislam wanaambiwa kuhusu Ahali kitabu.

Nimekisoma na hili ndio hitimisho la Uislamu.

Ulijua waislamu tuliambiwa tuwaulize watu wa kitabu kuhusu mambo ya dini yetu nini ? La hasha,huo ni ufahamu mbaya tena wakimakosa.

Bali tuliambiwa tuwaulize watu wa kitabu kuhusu habari za kale zilizo andikwa katika vitabu vyao.
 
Umetaja mafundisho ya dini 3, ila umenukuu ukiristo tena kitabu cha Enoch tu, inawezekana ndiko walipotajwa hao Malaika ambao unadai walifanya uasi, ila kwa mujibu wa Islam teaching Malaika hawatendi dhambi, pili hawana matamanio so kusema walifanya mapenzi na wanawake kwa mujibu ya mafunzo ya Islam ni uongo.
Ila nakubaliana na wewe kwenye heading yako ila content yako ndio ipo na shida. Kwa mujibu wa uislam alie fanya uasi ni Iblis ya shetani na ndio huyu wazungu ambae kizaz chake wanakiita aliens.

Sahihi kabisa.
 
Alliens na fallen Angel ni viumbe wawili tofauti kabisa.ninavyojua fallen Angel ndio hao wanatawala ulimwengu wakiongoza na lusifa.ila alliens ni viumbe kutoka sayari nyingine ambao wako advanced sana kwa technology.
 
Hi dunia imecontain uumbaji wa species mbalimbali, Mwanadamu ulivyoumbwa wewe ni cloning ya homo capensis ambao mpaka sasa ni wamiliki halali wa hii dunia. Namaanisha kwamba wewe binadamu kwenye hii dunia upo top kwenye food chain. Sayari zingine binadamu ni kama ng'ombe, mbuzi, kuku n.k na anakuwa anamilikiwa kama sisi tunavyowamiliki Hawa viumbe humu duniani.
Ukiwa unajiona mkubwa Sana kiumbo, hivi unajua Kuna species ya bacteria wao wanakuona kama kirusi mpaka watumie vyombo maalum kama sisi tunavyotumia microscope huku?
Lucifer yeye sio jamii ya binadamu ni reptilian naye Yuko kwenye competition ya kumiliki hi dunia ndio maana sasa hivi Yuko karibu Sana na binadamu kama kiumbe mtawala katika hii dunia
 
Mkuu soma vizuri utaelewa.Hivi kwa mujibu wa maandiko hawa malaika waasi(Annunaki)baada ya kufanya machafuzi duniani Mungu aliamuwa kuwafunga jangwani huko katika mbingu ya pili,lakini tangu miaka hiyo ya zamani hadi sasa hawa walaika na watoto wao lazima watakuwa wamezaliana na kuwa wengi lakini inawezekana wakawa wanaljua lango la kuja duniani.Hivyo wanatembela kila wanapotaka kufanya hivyo.

Sayansi kwa imeshindwa ku prove claims za dini kuhusu malaika hivyo wao wanasema ni Alliens
Soma vizuri tena hicho kitabu mkuu.aliens hawawezi kua fallen angels kwasababu kwa mujibu wa kitabu hicho hao kina Azazel na samyaza walifungwa wanangoja ile siku kuu ya hukumu kwa wote
 
Back
Top Bottom