Computer-generated imagery (CGI)

Computer-generated imagery (CGI)

Khalifavinnie

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2017
Posts
2,840
Reaction score
2,426
hii ni picha ya dunia iliyotokana na CGI,na nyingine nyingi kama tunaweza kushare,unaweza kutazama kwa umakini picha halisi na isiyo halisi yaani za kuundwa na computer kupelekea kufanana kama zote ni halisia...

Katika picha ya dunia mpka leo haifaamiki ilipigwa pigwaje na kwa umbali upi mpka kuleta muonekano huo la hasha hii picha si ya kweli na kuna uwezekano hakuna anaefahamu umbo la dunia liko vipi....

Tukisema walitumia hubble darubin kuna uwezekana mkubwa lenzi mduara iliyo mbele ya darudini hiyo kujiundia picha mfano wa duara kulingana na umbo la jicho la binadamu lililoendana sambamba na mbinuko duara wa darubin hiyo....

Ni vigumu mno kuamini kwa haraka haraka kama dunia ni yenye umbo la tufe....ipi ni real image ya planet hata ISS camera zao za live earth huwa na mjongeo tu usio na ukomo na wanakwesha kutuonesha bara la atrantika na badala yake wanaonesha mabara mengine...

Ni kwanini hizo kamera zao hata izo wazoita voyger zinazogundua sayari hazijawai hata sikumoja kuonesha ujumla wa bara la atlantika na lipo vipi kimuonekano wa kawaida wote kwa cgi zao kama wanavyofanya kwa muonekano wa mabara mengine...

Si kuishia hapoo tuu inakuwaje wanarusha vitu anga za juu zaidi ili hali wao wameshindwa kuzunguka bara la atlantika kunani pale hata kama ni kuna baridi kiasi gani sidhani kama wameshindwa kutengeneza vifaa vya kuwasitili na baridi wawapo huko....

94e7b47bbfa6d4814aa8a0b9dd7937c4.jpg
 
Usiteseke kupata picha ya dunia tumia google earth tafuta location ya hapo ulipo kisha zoom out kuthibithisha hizo picha
Upo sahihi,ila inahitajika dunia kwa ujumla...
 
Kwakweli huwa namdharau sana mtu anaepinga kwamba dunia sio duara.
Namdharau sana endapo nitajua alipita shule ya msingi, ana smartphone, anatumia tecnolojia iliyopo sasa ya kutambua maeneo na hali za hewa za maeneo mbalimbali ya dunia nk

Huwa naona kama anafanya makusudi kujifanya haelewi mambo kumbe anaelewa.

Ndugu zangu mliomo mitandaoni huu sio wakati wa kuulizana umbo la dunia maana ni jambo lilishakjulikana na kutambulika mpaka na watoto wadogo

Hawa ndio wale wakiambiwa kuna kimbunga, tetemeko la ardhi au mvua kubwa vinakuja, wanabeza na kusema kwamba waliotoa tahadhari hawajawa Mungu
 
Upo sahihi ila ni vema ungempinga jamaa kwa hoja za kitaalam zaidi ili tuone sehemu alizopwaya, tofauti na ulivyomshambulia na haujaacha pointi yoyote ya msingi.
 
nm
Nyuzi kama hizi zipo humu nyingi tu na watu wametoa majibu mazuri lakini nashangaa kwanini zirudiwerudiwe.
Server za jf zinajaa kwa mtu kutaka kufundishwa jambo analolielewa
 
Kwakweli huwa namdharau sana mtu anaepinga kwamba dunia sio duara.
Namdharau sana endapo nitajua alipita shule ya msingi, ana smartphone, anatumia tecnolojia iliyopo sasa ya kutambua maeneo na hali za hewa za maeneo mbalimbali ya dunia nk

Huwa naona kama anafanya makusudi kujifanya haelewi mambo kumbe anaelewa.

Ndugu zangu mliomo mitandaoni huu sio wakati wa kuulizana umbo la dunia maana ni jambo lilishakjulikana na kutambulika mpaka na watoto wadogo

Hawa ndio wale wakiambiwa kuna kimbunga, tetemeko la ardhi au mvua kubwa vinakuja, wanabeza na kusema kwamba waliotoa tahadhari hawajawa Mungu
Ziko theory nyingi zenye kueleza dunia iko vipi zilizopita na zipo zitakuja zaidi ya hii ya NASA swala mtoto kujua dunia iko vipi isiwe kigezo cha mtu mzima kuonekana mpumbavu na si hilo tu la umbo dunia je picha halisi kwa nini isiwepo zaid ya kutuonyesha earth CGI na ni vipi wameshindwa kuleta picha kamili na badala yake nusu nusu??,mtoto huyo huyo unaemtetea ukimuuliza binadamu katokana na nini atakujibu nyani sasa usipende kulaumu kaka hapa wacha tufukue makaburi hata kama nyuzi ilikwisha tolewa tutatoa tuu.
0faac9241787a41a2dde1fe35933ed42.jpg
 
Ziko theory nyingi zenye kueleza dunia iko vipi zilizopita na zipo zitakuja zaidi ya hii ya NASA swala mtoto kujua dunia iko vipi isiwe kigezo cha mtu mzima kuonekana mpumbavu na si hilo tu la umbo dunia je picha halisi kwa nini isiwepo zaid ya kutuonyesha earth CGI na ni vipi wameshindwa kuleta picha kamili na badala yake nusu nusu??,mtoto huyo huyo unaemtetea ukimuuliza binadamu katokana na nini atakujibu nyani sasa usipende kulaumu kaka hapa wacha tufukue makaburi hata kama nyuzi ilikwisha tolewa tutatoa tuu.View attachment 1082974
Michoro uliyoweka hapa ilikuwa ni kipindi wanadamu wakiwa wanaishi kwenye theory
Kwa sasa hatupaswi kusema eti nasa ndio wamesema dunia ni mviringo, hapana.
Kwani ni Amerika pekee yenye Tecnolojia ya kuipiga picha dunia?
Russia wana satellite nyingi kwenye orbit ya dunia, China wanazo pia, Korea Kusini wanazo, Japan wanazo, Germany, UK na mataifa mengine machache wanazo.
Tukiachana na hili watu wanatuma vyombo mwezini na tunashuhudia tukiwa hapa duniani hadi vingine vinapata ajali njiani, kuna vingine vipo kwenye orbit za sayari nyingine vikichunguza sayari hizo pia.
Pia kuna mavyumavyuma zaidi ya milioni moja yaliyo nje ya anga la dunia na wanasayansi wana mpango wa kubuni chombo cha kwenda kukusanya baadhi ya vyuma hivyo na kuvirejesha dunia/vyuma hivyo ni vya baadhi ya vyombo vilivyofia huko kabla havijaingia kwenye anga la ndani.
Alafu kwa sasa kuna goole earth unaweza kuidownload play store na ukaitumia kama vile upo angani ukiichungulia dunia ilivyo mviringo na ukatembelea eneo lolote duniani.
Google earth ni satellite zimechukua video angani kutokea kilomita kadhaa kutoka uso wa dunia.
Wewe mleta mada kwa namna ninavyokufahamu, nashangaa sana kuuliza swali hili alafu unajiita mtoto. Kumbuka hata kimbunga Idai na kimbunga Kenneth tulijua mapema kwamba vitatokea kwa kupitia satellite zilizopo angani zikiiona dunia ilivyo japo kazi ya satellite hizo ni kuchunguza mienendo ya hali ya hewa duniani
Kwa sasa hata uvyatuaji wa baadhi ya mabomu hudirectiwa na satellite ili kuepuka kulenga sehemu ambayo sio
Wewe unataka uone picha nzima ya dunia kwa wakati mmoja wakati ulishaambiwa dunia ni mviringo hivi utaeleweka kweli? Hata yai ni dogo lakini huwezi kuliona pande zote kwa wakati mmoja
 
Mkuu ni NASA ndio wanaoongoza propaganda za dunia duara marusi mwenyewe japo ndiye mrushaji wa kwanza wa settlite cjapata kuckia aki support hiyo kitu zaidi ya majibizano ya miaka fulani kati yao na wamerakani kudai kuwa wamerekani hawakufika mwezini waliuongopea umma na dunia kwa ujumla (KUNA KITU MKUU SIO BURE)
 
Wewe wasema ni propaganda

Zingekuwa propaganda usingeuliza bali ungezipuuza. Alafu unapoona Russia wananyamaza ni kiashiria kwamba wameelewa.

Wewe ili uelewe subiri watoto wako wakue waje wakueleweshe au kivitendo zaidi kama smartphone yako ni ya kiwango kizuri, fanya kudowload Google earth alafu usearch eneo ulipo kisha zoom taratibu ndipo utaelewa nini kimethibitishwa na wanasayansi.

Au nikuulize mpendwa, hao wanaokwambia kuwa dunia ni bapa waliwahi kutoka nje ya anga la dunia wakakuletea walau kapicha halisia? Ni nini kinakufanya useme nyeupe ni nyeusi? Ulilala ukaota? Ni ubishi wako tu? Kwanini sasa utumie energy kubwa kupinga mambo ya kawaida kabisa kwenye kizazi cha sasa?

Sasa kama unapinga dunia sio duara, nikikwambia jua ni kubwa kuliko dunia na mwezi ni mdogo kuliko jua si utaanzisha maandamano yako binafsi?
Au ukiambiwa jua lipo umbali wa kilometres millions kadhaa kutoka usawa wa bahari na mwezi upo umbali wa kilometres laki kadhaa kutoka usawa wa bahari si utataka uvue nguo kama spika mmoja wa bunge kwenye nchi moja ya east Afrika?

Wasomeshe watoto wako huenda siku moja wakakukalisha chini ukaelewa brother.
 
Hapo ndipo hua najua kabisa mdhungu huwa anacheza na akiri zetu.
 
"
Katika picha ya dunia mpka leo haifaamiki ilipigwa pigwaje na kwa umbali upi mpka kuleta muonekano huo la hasha hii picha si ya kweli na kuna uwezekano hakuna anaefahamu umbo la dunia liko vipi...."
Mwisho wa kunukuu
......
 
Kwakweli huwa namdharau sana mtu anaepinga kwamba dunia sio duara.
Namdharau sana endapo nitajua alipita shule ya msingi, ana smartphone, anatumia tecnolojia iliyopo sasa ya kutambua maeneo na hali za hewa za maeneo mbalimbali ya dunia nk

Huwa naona kama anafanya makusudi kujifanya haelewi mambo kumbe anaelewa.

Ndugu zangu mliomo mitandaoni huu sio wakati wa kuulizana umbo la dunia maana ni jambo lilishakjulikana na kutambulika mpaka na watoto wadogo

Hawa ndio wale wakiambiwa kuna kimbunga, tetemeko la ardhi au mvua kubwa vinakuja, wanabeza na kusema kwamba waliotoa tahadhari hawajawa Mungu
Naam, ndugu. wale ambao wakiona Jua limepatwa, wanapiga kelele na kugonga madebe ili Joka lililomeza Jua liliache...na likiachia wanafurahi na kujifariji kwamba kelele zao zimesaidia...!!
 
Mleta mada pole hujapata support ya kutosha.

Nilishakutana na hii mada kwenye forum ya nchi Fulani, nilichelewa kulala na sikumaliza kusoma.

Wachangiaji walikua na point nzito nzito sanaa. Swami kuu na LA msingi kwanini mpaka sasa hatuna hadharani picha halisi ya dunia?

Kuna mdau kaongelea Google earth, nikuleze hizo no computer generated program upekee wake unakuja inatumika picha halisi japo sio ya muda sambamba kwa eneo unaloangalia.

Ukichangamsha bongo utagungua mengi yamepangwa kwa maslahi ya "Meza kuu". Wanaokaa " Meza kuu" ni somo jingine na zito.
 
Wewe wasema ni propaganda

Zingekuwa propaganda usingeuliza bali ungezipuuza. Alafu unapoona Russia wananyamaza ni kiashiria kwamba wameelewa.

Wewe ili uelewe subiri watoto wako wakue waje wakueleweshe au kivitendo zaidi kama smartphone yako ni ya kiwango kizuri, fanya kudowload Google earth alafu usearch eneo ulipo kisha zoom taratibu ndipo utaelewa nini kimethibitishwa na wanasayansi.

Au nikuulize mpendwa, hao wanaokwambia kuwa dunia ni bapa waliwahi kutoka nje ya anga la dunia wakakuletea walau kapicha halisia? Ni nini kinakufanya useme nyeupe ni nyeusi? Ulilala ukaota? Ni ubishi wako tu? Kwanini sasa utumie energy kubwa kupinga mambo ya kawaida kabisa kwenye kizazi cha sasa?

Sasa kama unapinga dunia sio duara, nikikwambia jua ni kubwa kuliko dunia na mwezi ni mdogo kuliko jua si utaanzisha maandamano yako binafsi?
Au ukiambiwa jua lipo umbali wa kilometres millions kadhaa kutoka usawa wa bahari na mwezi upo umbali wa kilometres laki kadhaa kutoka usawa wa bahari si utataka uvue nguo kama spika mmoja wa bunge kwenye nchi moja ya east Afrika?

Wasomeshe watoto wako huenda siku moja wakakukalisha chini ukaelewa brother.
Sina watoto mkuu...na swala urusi kunyamaza sio kweli wao tu hawana uthibitisho kuwa dunia ina umbo lipi inawezekana kabisa wanafaam ila wametulia tuli sasa uyu NASA wa juzi ndo aje kurisha mtu matango pori,kuhusu ukubwa wa jua pia ni uongo uliokithiri ni vipimo gani waliweza kulipima jua mpka kufaham lina ukubwa zaidi ya dunia,kama mwezini tu walotudanganya na hawakufika,kwenda kwenye jua waliweza vipi kufikisha japo kifaa huko kuna vitu kama mtu timamu ni ngumu kuamini,na uaminifu unakujaje ni pale hizi mapo tunakuta tu zimewekwa kwenye majarida na vitabu hutukuwahi shuhudia au kuoneshwa wanapima vipi hilo jua na kama tukioneshwa baasi ni muonekano danganyifu wa CGI....(KUNA KITU SIO BURE)
 
Back
Top Bottom