From the green world to a black world


REALITY

REALITY

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2014
Messages
2,679
Likes
105
Points
160
REALITY

REALITY

JF-Expert Member
Joined Jul 2, 2014
2,679 105 160
Habari wakuu,
Dunia ilipofika sasa ni kwenye stage ya "high manipulation zone" ni hatua ambayo wanadamu asilimia kubwa wako easily controlled na so called "hidden system" ambayo huona output zake na sio input zake.

Dunia ya sasa ni dunia ambayo walimwengu wako dependent kwa technology ilhali hawajui mwisho na hatima ya technology ni IPI,hawajui nini maana ya wao ,"humanity",ni masikitiko makubwa sana kuwa wanadamu wamekuwa kuku ambao wanafuata punje moja baada ya nyingine mpaka kwenye chumba cha machinjio na hakika watachinjwa wengi.

Green world ancestors or our fore fathers waliweza kuongea ama kusikia sauti za higher devine ila kwenye mwelekeo wa black world sauti imezima kabisa,watu wa zamani waliweza kuwa close na higher devine sisi sasa tumeachwa wenyewe.

Now tushaingia kwenye danger zone,ili uweze kuwa safi na salama you just have two ways,either uishi nje ya mfumo huu wa dunia ama ufe ukikataa mfumo dhalimu wa ulimwengu.


Media,security,sports,religion,science,food,drugs,drinks,love,sex,movies,cartoons,NASA,theology,education,economy,wars,governments,wealth,music and etc make the world meaningful according to some individuals but in reality these all are dots that create you,build you ,teach you,make you happy,install your belief,make you a slave and finally abond you forever .


Don't ask me how just try figure it out,nachoandika si sheria ila unaweza ukatafakari au kupuuzia ,Uhuru ni wako.

Ina maana gani Mimi kutokea ulimwenguni?Mimi ni nani au nini?kwasababu gani nipo?kwanini nife?je nimekuja kula ,kuishi na kufa au kufanya nini?kwanini tupo ili iweje,kwanini tuondoke INA maana gani??majibu unayo mwenyewe.

SAMAHANINI KWA LUGHA NILIYOTUMIA HUWA SIPENDI KUTOA HOJA KWA KIJIKO BALI KWA KUKUAMBIA TUMIA MKONO WAKO

ASANTENIfb_img_15466790218320056-jpeg.989768


Sent using Jamii Forums mobile app
 
S

Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2017
Messages
5,931
Likes
9,425
Points
280
S

Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2017
5,931 9,425 280
Now tushaingia kwenye danger zone,ili uweze kuwa safi na salama you just have two ways,either uishi nje ya mfumo huu wa dunia ama ufe ukikataa mfumo dhalimu wa ulimwengu.


Media,security,sports,religion,science,food,drugs,drinks,love,sex,movies,cartoons,NASA,theology,education,economy,wars,governments,wealth,music and etc make the world meaningful according to some individuals but in reality these all are dots that create you,build you ,teach you,make you happy,install your belief,make you a slave and finally abond you forever
New World Order. Tumekua wafuasi na waumini wa number na technology. Sasa hivi binaadamu hatuli vyakula vya asili, hatujitibu kwa dawa za asili, hatunywi maji ya asili n.k, matokea yake kidogokidogo binadamu anaacha kua wa asili bali anageuka kua ARTIFICIAL BEING kuanzia kwenye miili na maumbo mpaka ufikiri wetu
 
REALITY

REALITY

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2014
Messages
2,679
Likes
105
Points
160
REALITY

REALITY

JF-Expert Member
Joined Jul 2, 2014
2,679 105 160
In short mkuu merely 90% tiyari tushaevolve in artificial being ,wanadamu wa sasa hawahoji chochote kazi yao ni kupokea na kutekeleza
New World Order. Tumekua wafuasi na waumini wa number na technology. Sasa hivi binaadamu hatuli vyakula vya asili, hatujitibu kwa dawa za asili, hatunywi maji ya asili n.k, matokea yake kidogokidogo binadamu anaacha kua wa asili bali anageuka kua ARTIFICIAL BEING kuanzia kwenye miili na maumbo mpaka ufikiri wetu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
REALITY

REALITY

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2014
Messages
2,679
Likes
105
Points
160
REALITY

REALITY

JF-Expert Member
Joined Jul 2, 2014
2,679 105 160
REALITY

REALITY

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2014
Messages
2,679
Likes
105
Points
160
REALITY

REALITY

JF-Expert Member
Joined Jul 2, 2014
2,679 105 160
System inataka hivyo je wewe huna unachohitaji mkuu?
nikwel kabsa lakini sasa tufanyeje ndo system inataka hivo...

mi nnachojivunia dunia hii ni kifo. Kwamba hatuishi milele bas let me make my self comfortable for the time i have
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
3,961
Likes
4,308
Points
280
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2018
3,961 4,308 280
Take it easy, vitu haviwezi kuwa sawa hata siku moja, si kwenye akili yangu tu hata yako...
Ila imani na matendo yanatakiwa yawe sawa kwa kila mtu. Sababu ya uhuru tulio nao ndio tunajichagulia mienendo.
 
Bishop Hiluka

Bishop Hiluka

Verified Member
Joined
Aug 12, 2011
Messages
5,216
Likes
2,695
Points
280
Bishop Hiluka

Bishop Hiluka

Verified Member
Joined Aug 12, 2011
5,216 2,695 280
Ila imani na matendo yanatakiwa yawe sawa kwa kila mtu. Sababu ya uhuru tulio nao ndio tunajichagulia mienendo.
Yeah! Kuna kitu kinaitwa utashi...
 
REALITY

REALITY

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2014
Messages
2,679
Likes
105
Points
160
REALITY

REALITY

JF-Expert Member
Joined Jul 2, 2014
2,679 105 160
Ila imani na matendo yanatakiwa yawe sawa kwa kila mtu. Sababu ya uhuru tulio nao ndio tunajichagulia mienendo.
Si kweli humans are not equal thus inequality stands to be the first natural law,tunafanana kwenye mfumo wa utendaji kazi kwenye miili ,taswira na utashi si MITAZAMO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
3,961
Likes
4,308
Points
280
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2018
3,961 4,308 280
Si kweli humans are not equal thus inequality stands to be the first natural law,tunafanana kwenye mfumo wa utendaji kazi kwenye miili ,taswira na utashi si MITAZAMO

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeelewa nilicho kiandika mzee ?

Una elewa nini unapoambiwa "....yanatakiwa kuwa sawa ...." ?

Kama hujaelewa uliza.
 

Forum statistics

Threads 1,250,078
Members 481,222
Posts 29,720,091