Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 13,318
- 20,768
Kutokana na wimbi la mauaji yanayofanywa na jeshi la polisi kote nchini inashauriwa kuwa kila kituo cha polisi ijengwe mortuary ili maiti zote zinazotokana na mauaji ya polisi zihifadhiwe huko! Hii itapunguza msongamano wa maiti katika mortuary za hospitali na pia kupunguza adha inayowapata watunza mortuary za hospitali hizi za umma!
Tafadhali tujadili kwa hoja!
Tafadhali tujadili kwa hoja!