Mimi huwa najiuliza maswali mengi sana kuhusu mtu kwamba ni mtu. Ni kitu gani haswa kinachomfanya yeye aonekane ni tofauti na vitu vingine.
Na inavyo onekana yeye ndiye anaye control vitu vyote...
UNA AMBIWA NDICHO KILICHOTUMIKA KUMPELELEZA DOGO KIDUKU MAARUFU KAMA RAIS KIM WA NORTH KOREA BAADA YA MAREKANI NA NDUGU ZAKE KUSHINDWA KUPATA CHOO CHAKE KIPINDI WALIPOKUTANA NA RAIS...
Moja kwa moja tukianza na jasusi huyu ajulikanaye kama RICHARD Sorge anahesabika kama jasusi mwerevu kuliko wote katika karne ya 20. Jasusi huyo Mrusi na mwalimu wa hujuma alifanya kazi dunia...
Nadharia za kijasusi karibu zote zinamsimamo unaofanana, japo zinaweza kutofautiana mwelekeo tu kulingana na tukio, Tukio kama la mauaji, ujambazi ama la ugaidi kiuchunguzi yanaweza kufanana kwa...
Salaam wakuu,
Kama kichwa kinavyosema hapo juu, tukisoma kwenye vitabu vitakatifu kuhusu uumbaji tunaona kuwa Mungu alituumba kwa udongo (mavumbi).
Biblia na Quran zote zitakubaliana kuwa Adam...
Leo nimefikiria swali moja; Je, mimi ni mwili au ni roho?
Nimefikiria kinachotokea mpaka mtoto anazaliwa nimeshindwa kupata jibu.
Hebu fikiria kama nilivyofikiri mimi. Utagundua mwili ni kama...
[emoji707]Abraham Lincoln alichaguliwa kwenye baraza la wabunge mnamo 1846
[emoji745]John F Kennedy alichaguliwa katika baraza la bunge mnamo mwaka 1946
[emoji707]Abraham lincoln alichaguliwa...
Upo mpango mahsusi wa kuiharibu familia. Mtafaruku unao onekana leo kati ya baba na mama na baba na mama na watoto, si wa bahati mbaya,ni mpango ulioandaliwa na Sinagogi la Shetani kwa siri na kwa...
Mwanamuziki wa michano 2pac alifariki baada ya kupigwa risasi tarehe 7/11/1996, Las Vegas USA akiwa na Umri 25.
Sasa toka hapo, kumekuwa na mijadala huku baadhi ya mashabiki na watu wa karibu...
Plans for the East African Community (EAC) integration might not bear fruit in the near future as the relations between Tanzania and Rwanda continue to deteriorate...
Hivi kwa nini devil worshippers wengi wana uwezo mkubwa sana wa kufikiri na kucheza na mind za watu kiasi kwamba wanaweza kukuaminisha uwongo kuwa ukweli?
Christians wengi wana akili ndogo sana...
Kwenye mitandao ya kijamii niliona kua kuna maandamono yaliyo ratibiwa na baadhi ya wananchi wa USA kwenda area 51 kushuudia kama kweli kuna uwepo wa viumbe wa ajabu huko.
Na maandamono hayo...
"Katika dunia ya leo ambayo silaha za Kinyuklia zimeyafanya majeshi yasiwe na umaana wowote ule, ugaidi pekee ndiyo silaha yetu kuu" - Jenerali Aleksandr Sakharovsky mkuu wa idaya ya kijasusi wa...
Nawaza sana lakini mwishoni nasema walioanzisha au kutuita waliona mbali na hawakukosea.
Kwa mfano ya ayoendelea Tanzania hayasadifu neno "black" hasa tunapoona ubaguzi wa mwafrika unakuwa mkubwa...
Kila kitu kimeumbwa katika ulimwengu wake. Dunia tukaayo nayo imo katika ulimwengu wake; kitaalamu ulimwengu huo unaitwa UNIVERSE ambako kuna sayari nyingi lakini zitambulikanazo ni TISA na pia...
Mimi binafsi nililitilia shaka suala zima la ndege ya Malaysia kutoweka angani na isipatikane kokote kwenye uso wa dunia mpaka hivi leo, bado nalitia mashaka suala hilo kwamba halina ukweli wowote...
Scandal of the Kilimanjaro sherpas
When porters die or their health is ruined, charity trekking becomes adventure imperialism
Wazee mtanisamehe kwa kuweka post nzima ...lakini once in a...
"Katika dunia ya leo ambayo silaha za Kinyuklia zimeyafanya majeshi yasiwe na umaana wowote ule, ugaidi pekee ndiyo silaha yetu kuu" - Jenerali Aleksandr Sakharovsky mkuu wa idaya ya kijasusi wa...
Habari za wakati huu? Lengo la huu uzi ni kuwafahamisha KuhusuYa uwepo wa sayari ambayo kila mtu ana uwezo wa kwenda bila gharama yeyote.
Kwanza Kabisa nisifu uwezo na juhudi za wanasayansi na...
Tukae kwa wana mahesabu wa hapa kwetu tusitegemee wingi wa mahesabu kutoka kwa wakuu wa mataifa tajiri ndani ya vikao vyao watuamulie kama sifuri inatosha kuitwa namba kamili ilihali ikisimama...