Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Nimekaa nikatafari sana baadaeeee nikaja Kujua wewe shetani una uzuri wa pekee ambao wengine hawauoni. Hivi bila wewe utajiri wa makanisa na misikiti yangetoka wapi? Wewe ndio umetoa ajira kwa...
15 Reactions
106 Replies
19K Views
Ebu fikiria kwanza hivi kungekuwa na raha gani kama kusingekuwa na Kifo? Yaani binadamu na wanyama wasingekuwa na mwisho (immortal), tungekuwa tunaishi milele na milele kungekuwa na maana gani...
7 Reactions
94 Replies
7K Views
Jana zilisanbaa video zikionyesha Rais wetu akiwa kwenye gari lenye namba binafsi akikatiza mitaa ya Dodoma akiwa na ulinzi hafifu sana,katika kile kilichoelezwa ni kutenganisha kazi za chama na...
53 Reactions
261 Replies
22K Views
You know those big stone structures out in Egypt? The ones which were supposedly built to house the remains of dead pharaohs??? The ones you thought were built by the Egyptians?Well, you are...
5 Reactions
156 Replies
29K Views
Habari ya asubuhi wakuu natumaini muwazima wa afya kwa wale ambao ni tofauti napenda kuwapa moyo mtakua vyema na kurudi ktk kusukuma gurudumu la maendeleo Acha niende moja kwa moja katika swali...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Hii imekaaje CDF anampigia salute DC?
13 Reactions
154 Replies
23K Views
Kitabu. My Life Mwandishi.Bill clinton Mchambuzi.Nanyaro EJ Dibaji Mwandishi anasema kuwa alipokuwa kijana mdogo akiwa na matamanio makubwa ya kimaisha,alisoma kitabu fulani ambacho kimekuwa...
19 Reactions
36 Replies
9K Views
Jina la kitabu Jina la kitabu A Biography of the Continent. Mwandishi: John Reader. Mchambuzi: Nanyaro E.J. Dibaji. John Reader ambaye ni mwandishi wa Kitabu hiki ni mtoto wa dereva Tax wa...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
HORACE Kolimba ni miongoni mwa viongozi waandamizi nchini ambaye Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, alitofautiana naye na baadhi ya wenzake kuhusu masuala ya msingi katika uongozi na mwelekeo...
14 Reactions
36 Replies
9K Views
DOUBLE AGENTS NGULI WANNE KUWAHI KUTOKEA KATIKA ULIMWENGU WA UJASUSI Mustakabali wa taifa lolote lile hutegemea pamoja na mambo mengine mifumo ya ulinzi, kwani hii ndio nguzo mhimu katika...
36 Reactions
52 Replies
20K Views
Intelijensia inaelezwa kama taarifa za siri zinazokusanywa,kuchakatwa na kuchambuliwa ili kuwezesha serikali kuchukua maamuzi fulani ili kuongeza ufanisi. Umuhimu wa intelijensia haupimwi kwa...
16 Reactions
36 Replies
7K Views
Habari za jioni wana JF.....Tunapoongelea ukatili wa majeshi wengi watakimbilia kuwaza hitler alivyoua wayahudi au Jinsi Mehmet Ali alivyochinja chinja mataifa mbalimbali kwa kuitanua dola yake ya...
40 Reactions
102 Replies
28K Views
Natafakari hapa, ina maana bila dini au kuabudu tusingejua matendo mabaya hayatakiwi?
1 Reactions
63 Replies
13K Views
Saizi baada ya upinzani Nchini Malawi kushinda ushindi wa kishindo wa urais na ubunge bila shaka upinzani wanawashukuru sana wanajeshi wa Malawi na Majaji Baada ya kukukataa mamilion ya dollar ili...
4 Reactions
19 Replies
4K Views
Sina hakika kama wakati mwenyezi mungu alipoumba dunia aliweka hz nchi km tanzania,malawi,kenya,marekani nk.(naamini hvo sababu hata kwenye biblia hakuna neno marekani wala tanzania) 1.swali...
0 Reactions
25 Replies
7K Views
Wakuu habarini humu, Kiukweli uchawi ni sayansi kubwa sana tena ina mengi ya kustaajabisha, maajabu yake ni makubwa na yanashangaza.. fikiria kuchoma kisu kwenye kioo ukiwa dodoma na sekunde hiyo...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Kampuni moja ya Uchina imetangaza mpango wake wa kubuni ''mwezi bandia" utakaoangaza miji usiku. Kwa mujibu wa gazeti la kitaifa la People's Daily, maafisa katika taasisi ya kibinafsi ya masuala...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
The belief that God sacrificed God to God to save God's creation from God. Huitaji kutumia nguvu kubwa sana kama akili yako inaupeo wa kufikiri japo surface thinking.. Wengi wenu humu mmelishwa...
22 Reactions
324 Replies
26K Views
Jamii zetu za Kiafrika na Tanzania kwa upekee wamekuwa wakifanya sayansi hii ingawa miaka ya karibuni umeonekana kumezwa na maendeleo ya sayansi na teknolojia. Ipo hivi.." Mtu anapokata roho hufa...
0 Reactions
32 Replies
8K Views
Habari msomaji wa uzi huu. Karibu ujifunze mambo mbalimbali katika ulimwengu wa mwili na ulimwengu wa roho. Kama kichwa cha uzi huu inavyosema (Jinsi ya kuthibiti nafsi isitoke kwenye mwili) Kila...
4 Reactions
52 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…