Haya mabadiliko/stage zinamaanisha nini..?

Haya mabadiliko/stage zinamaanisha nini..?

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
36,514
Reaction score
89,006
Yaonyesha tunatoka chini kwenda juu ni mabadiliko ya mwanadamu ktk ugunduzi

Toka kwenye ugunduzi wa moto mpaka umeme,matumizi ya mawe mpaka chuma,ugunduzi wa mambo ya anga sayari n.k,toka teknolojia ipo chini mpaka sasa ipo hapa tulipo...n.k
Hivi vitendo vya mwanadamu kutoka stage moja kwenda nyengine inamaanisha nini kwenye ulimwengu..?
 
maanake maendeleo, swali gumu mpaka jasho limentoka kupata jibu [emoji29] [emoji29]
Tunajua kuwa ni maendeleo so hayo maendeleo yana maana gani ktk ulimwengu..?
 
Ina maana kwamba huko mbeleni tutaweza kugundua kama kuna ulimwengu mwingine tofauti na huu na pia uwezekano wa kufanya interstellar journeys kwa kutumia wormholes. Physics of the future by michio kaku.
 
Ina maana kwamba huko mbeleni tutaweza kugundua kama kuna ulimwengu mwingine tofauti na huu na pia uwezekano wa kufanya interstellar journeys kwa kutumia wormholes. Physics of the future by michio kaku.
Kitendo cha kugundua kama kuna ulimwengu mwengine pia ni ugunduzi,sasa hayo magunduzi yanaashiria nini au yana maana gani...?
 
Sio mtihani huu kaka jaribu kulegeza swali.
Duh! sasa nilegeze vipi mkuu me mwenyewe nimejifikiria nkakosa majibu nimelileta humu walau nipate jibu..tena unaniambia nilegeze kha! hilo jibu ntapataje sasa
 
Hahahahahahaaaa niliwah kusoma sehem wansema nothong imposible just a matter of time man can control each and every thing even a death
 
Yeah it's possible, mind evolution inatake place ,hay yote yatatokea na nizima .Dunia itaharibiwa pale tu mind evolution itakapokuwa kubwa.
 
Hahahahahaaaa hiii inaitwa possibility of impossible world logically possible but in reality impossible like a possibility of time travel machine
 
Back
Top Bottom