always am a Winner
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 230
- 193
Hello wanajamvi, nimekuwa mfuatiliaji na mchangiaji mkubwa wa makala nyingi zinazoletwa na wanajamii forums hasa katika topics za kuhusu Mungu, uumbaji, dini na kadhalika.
Kumekuwa na michango tofauti tofauti na nadharia tofauti kuhusu maisha, Mungu, dini na kadhalika. Leo nii NIMETHIBITISHA pasina shaka kuwa 'Life has no meaning'.
How?
Tutumie mfano huu. Kwa mfano nikikuuliza kwanini unasoma jibu si unalo? Utasema kwa sababu ninaandaa maisha bora. Ntakuuliza kwanini unataka maisha bora, utasema ni kwa sababu ili niwe na amani, nitakuuliza kwanini unataka amani, hayo utatoa majibu. Mfululizo wa majibu utaendelea mpaka pale ambapo hautakuwa tena na sababu.
Hii ipo ivyo katika kila swali utakalojiuliza chini ya jua. Hivyo basi,
1) Dunia imeanza bila logical reason
2) Maisha yameanza bila maana
3) Maisha hayana maana kwa sababu tangu mwanzo yameanza bila maana
4) Kwa kuwa maisha hayana maana, basi pia Mungu hayupo kwa kuwa Mungu wa katika vitabu vya dini inaelezwa kuwa aliumba dunia na wanadamu ili wamwabudu na wakati tumeshajua kuwa dunia haina sababu na maisha hayana maana.
5) Hivyo, dini ni ulaghai, na uongo wenye nia ya kutengenezwa watumwa ili dunia itawalike.
Nawasilisha wadau.