nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 11,724
- 12,002
Hapo ndipo dunia ilipo ikilinganishwa na jua.
Na hapa ndio tulipo kama ukiwa umesimama kwenye sayari ya MARS
Naam na huu ndio muonekano wetu ukiwa katika sayari ya NEPTUNE
Na huu ndio ukubwa wa Dunia yetu iwapo italinganishwa na jua
Na huu ndio muonekano wa jua la saa 7 iwapo utasimama kwenye sayari ya MARS
Kama hiyo haitoshi na huu ndio muonekano wa nyota za angani ni nyingi kuliko michanga ya beach zote za dunia hii.
Kama haitoshi na huu ndio ukubwa wa jua kulinganisha na VY Canis MAjoris
Kwa kifupi solar system hunekana hivi
Na huu ni muonekano wa solar system na majirani zake.
Na huu ndio muonekano wa solar system na majirani zake ndani ya Milky way Galaxy
Na huu ndio muonekano wa milk way galaxy ndani ya Genge la mitaa ya Galatiki
Hapa ni muonekano wa genge la galatiki ndani ya mwanamwali VIRGO
Virgo ndani ya superclasters
Superclaster ndani ya upeo wa mwanadamu kufikiri
ANGALAU HAPO WAWEZA PATA PICHA KWA MBAAALI UWEZO WA MWENYEZI MUNGU NI MKUBWA KIASI GANI.