Bakora hazimjengi mtoto kinidhamu

Maziku-Winston Smith

JF-Expert Member
May 17, 2015
296
167
Habari zenu wanajamvi,

Binafsi nimekuwa nikiwaona wazazi wengi wakiwachapa bakora watoto wao kama njia ya kuwatia nidhamu na nimekuwa nikisikitishwa sana na hii tabia kwani binafsi siamini kama bakora zinamjenga mtoto kinidhamu.

Badala ya kutumia bakora kumtia mtoto nidhamu jiulize kwanza je huyu mtoto anao uwezo wa kuwaza na kuwazua ikiwa anao basi mweleze kwa maneno ya kumjenga, usimpige bakora wala na kitu chochote.

Na kama hana uwezo wa kuwaza na kuwazua basi mwekee vizuizi vitakavyomfanya asiweze kuharibikiwa.

Je wewe una mtazamo gani juu ya bakora?
 
Si bora hiyo bakora
Kuna kitu kinaitwa KONDE mkuu
Kitu KWENZI moja mpaka chini hoi
 
Bakora hazilipi na ni uonevu wa hali ya juu.

Wanaosema ni vitabu vya dini ndio vinafundisha wanieleze wapi mitume wetu walichapwa bakora.

Tumkumbuke Gandhi na mbinu aliyotumia kufikia malengo yake.

Kama mwanao akivunja chombo nyumbani unamchapa,je wewe ulishawahi kuchapwa kazini kwako uliposababisha hasara kama hiyo!!?:

Mengi tunafanya bila kutafakari wala kujielewa,wengi wamechapwa vya kutosha lakini ndio hao hao wamekuwa majambazi nk
 
Wewe unaishi USA baby
 
Habari zenu wanajamvi,

Binafsi nimekuwa nikiwaona wazazi wengi wakiwachapa bakora watoto wao kama njia ya kuwatia nidhamu na nimekuwa nikisikitishwa sana na hii tabia kwani binafsi siamini kama bakora zinamjenga mtoto kinidhamu.

Badala ya kutumia bakora kumtia mtoto nidhamu jiulize kwanza je huyu mtoto anao uwezo wa kuwaza na kuwazua ikiwa anao basi mweleze kwa maneno ya kumjenga, usimpige bakora wala na kitu chochote.

Na kama hana uwezo wa kuwaza na kuwazua basi mwekee vizuizi vitakavyomfanya asiweze kuharibikiwa.

Je wewe una mtazamo gani juu ya bakora?
Nakwambia omba usizae mtoto ukiwa unaishi uswahilini na akakulia hapo,unaweza kuja kumkana baadae,ni kweli kuchapa mtoto hata mimi sifurahi ila kuna mitoto ndugu yangu ni hatari
 
Habari zenu wanajamvi,

Binafsi nimekuwa nikiwaona wazazi wengi wakiwachapa bakora watoto wao kama njia ya kuwatia nidhamu na nimekuwa nikisikitishwa sana na hii tabia kwani binafsi siamini kama bakora zinamjenga mtoto kinidhamu.

Badala ya kutumia bakora kumtia mtoto nidhamu jiulize kwanza je huyu mtoto anao uwezo wa kuwaza na kuwazua ikiwa anao basi mweleze kwa maneno ya kumjenga, usimpige bakora wala na kitu chochote.

Na kama hana uwezo wa kuwaza na kuwazua basi mwekee vizuizi vitakavyomfanya asiweze kuharibikiwa.

Je wewe una mtazamo gani juu ya bakora?
Unaongelea mtoto wa miaka mingapi
 
Mtoto mdogo ambae hajapata akili ya kujua zuri na baya ni rahisi mno kuangukia ktk kufanya maovu kama hataonywa kwa njia inayomwogopesha. Mimi binafsi nimechapwa kiboko utotoni na nakubali bila hivyo ningekua mtu wa ajabu sasa hivi. Namalizia kwa kusema "Kiboko kwa Kiasi" ni muhimu ktk Malezi ya mtoto
 
Wapigiwe tu !!!
nakubaliana na kuchapwa kwa mtoto.. kwani inamtahadharisha na kumjenga kutii amri, sheria na maadili....!!
upload_2016-9-7_11-2-16.jpeg
 
Mazikujohn
tena wengine imeshakuwa kama ni fashion,kuna watoto huku wameshazoea bila bakora hawatekelezi jambo! mzazi wao ndio amewazoesha sa hivi hata ukiwaambia kitu hakitekelezwi haraka mpk utie bakora! sijui tunaunda watu wa namna gani...!
Ukiona hivyo ndo ujue kuwa bakora hazijengi kabisa kwa sababu itafika wakati hao watoto watakuwa watu wazima hivyo wataachwa kupigwa bakora. Sasa je ni nani atakuwa anawaweka kwenye mstari wakikosea huko? Watapigwa bakora tena kama walivyokuwa watoto?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom