Itakuwaje Kama Nyota Itaiangukia Dunia?

Secret Star

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
1,720
1,639
Wote tunatambua kuwa Nyota ni kubwa.

Maradufu ya dunia, swali langu ni itakuwa vipi siku Nyota ikikosa uelekeo na kuja upande wetu? Je, ikiwa inaanguka itakuwa ikiteketea kama kimondo? Na kuna uwezekano wa kufika Duniani ikiwa Kama ilivyo? Kipande? Au iungulie yote njiani?
 
Nadhani hili swali lako wala halihitaji hata mtu uwe na elimu kubwa ya masuala ya anga bali ni kiasi cha kupasha moto ubongo wako na unakuwa jibu umeshalipata.
Ni sawa na kuuliza inakuwaje iwapo nyundo ikitua juu ya mende.

Ukiutafakari ukubwa wa jua na udogo wa dunia kwa jua alafu ije iangukiwe bila shaka jibu utakuwa nalo....naamini hakuna atayeweza kujua au kushuhdia kitakachotokea kwani sidhani kama kuna kiumbe kitachobaki kushuhudia maana wote tutafariki
 
Nadhani hili swali lako wala halihitaji hata mtu uwe na elimu kubwa ya masuala ya anga bali ni kiasi cha kupasha moto ubongo wako na unakuwa jibu umeshalipata.......
Ni sawa na kuuliza inakuwaje iwapo nyundo ikitua juu ya mende.......

Ukiutafakari ukubwa wa jua na udogo wa dunia kwa jua alafu ije iangukiwe bila shaka jibu utakuwa nalo....naamini hakuna atayeweza kujua au kushuhdia kitakachotokea kwani sidhani kama kuna kiumbe kitachobaki kushuhudia....maana wote tutafariki
Hahahaa hilo nimelizingatia kaka ndo maana nikaweka ile theory ya kimondo, kwamba kinapokosa uelekeo huanguka na kwenye kuangua huteketea kikiwa njiani, na mara nyingi huwa hata havitufikii sababu huungulia huko huko angani, swali kubwa juu ya nyota ni itakuwaje ikiwa nayo ina tabia ya kupukutika ikiwa inaanguka,!?

Maana hata kama nyundo ni kubwa ila inapukutika kwenye motion ya kumuangukia mende, inaweza isimfikie mende!, yote ikayeyukia njiani! Na mende akasalimika...
 
Wote, tunatambua kuwa Nyota ni kubwa
maradufu ya Dunia, swali langu ni itakuwa Vipi siku Nyota ikikosa uelekeo na kuja upande wetu,? Je ikiwa inaanguka itakuwa ikiteketea kama kimondo? Na kuna uwezekano wa kufika Duniani ikiwa Kama ilivyo? Kipande? Au iungulie yote njiani?
Nguvu za uvutano hazitaruhusu hilo litokee
 
Nyota ni jua. Uliza itakuwaje jua likiiangukia dunia. Katika ile incident yaFatima,Portugal,2917,watu waliona muujiza;jua lilianza kuisogelea dunia kwa kasi kubwa.Watu wote wakapiga magoti wakaanza kusali na kupiga mayowe. Lakini usually kama planet inaisogelea planet nyingine hazigongani. Ile planet ndogo inalipuka,inakuwa shattered into a million pieces. Ipo fistance maalum,umbali unapokuwa sawa na radius ya approaching big planet.
Wote, tunatambua kuwa Nyota ni kubwa
maradufu ya Dunia, swali langu ni itakuwa Vipi siku Nyota ikikosa uelekeo na kuja upande wetu,? Je ikiwa inaanguka itakuwa ikiteketea kama kimondo? Na kuna uwezekano wa kufika Duniani ikiwa Kama ilivyo? Kipande? Au iungulie yote njiani?
 
Back
Top Bottom