Wanasayansi wamelitaja eneo la kusini mwa mto Zambezi kuwa ndiko binaadamu wote walio hai hii leo wanatokea.
Eneo hilo sasa limegubikwa kwa chumvi lakini kwa wakati mmoja lilikuwa ni ziwa kubwa...
Kauli mbiu: Ninyi ni wanajeshi kamili. Miili pamoja na **** zenu ndio silaha za vita.
KGB Ujasusi kwa njia ya ngono.
Ilikuwa ni Urusi ya zamani (USSR) ambayo ilianzisha kitengo maalum duniani...
Habari!
Katika masimulizi ya Biblia tunaona kuwa binadamu wa kwanza kuumbwa na Mungu ni Adamu na Eva. Tena tunaambiwa kuwa, hawa ndio wazazi halisi wa binadamu wote duniani. Quraan nayo kwa upande...
Nimekaa nikatafari sana baadaeeee nikaja Kujua wewe shetani una uzuri wa pekee ambao wengine hawauoni.
Hivi bila wewe utajiri wa makanisa na misikiti yangetoka wapi?
Wewe ndio umetoa ajira kwa...
Ebu fikiria kwanza hivi kungekuwa na raha gani kama kusingekuwa na Kifo?
Yaani binadamu na wanyama wasingekuwa na mwisho (immortal), tungekuwa tunaishi milele na milele kungekuwa na maana gani...
Jana zilisanbaa video zikionyesha Rais wetu akiwa kwenye gari lenye namba binafsi akikatiza mitaa ya Dodoma akiwa na ulinzi hafifu sana,katika kile kilichoelezwa ni kutenganisha kazi za chama na...
You know those big stone structures out in Egypt? The ones which were supposedly built to house the remains of dead pharaohs??? The ones you thought were built by the Egyptians?Well, you are...
Habari ya asubuhi wakuu natumaini muwazima wa afya kwa wale ambao ni tofauti napenda kuwapa moyo mtakua vyema na kurudi ktk kusukuma gurudumu la maendeleo
Acha niende moja kwa moja katika swali...
Kitabu. My Life
Mwandishi.Bill clinton
Mchambuzi.Nanyaro EJ
Dibaji
Mwandishi anasema kuwa alipokuwa kijana mdogo akiwa na matamanio makubwa ya kimaisha,alisoma kitabu fulani ambacho kimekuwa...
Jina la kitabu
Jina la kitabu A Biography of the Continent.
Mwandishi: John Reader.
Mchambuzi: Nanyaro E.J.
Dibaji.
John Reader ambaye ni mwandishi wa Kitabu hiki ni mtoto wa dereva Tax wa...
HORACE Kolimba ni miongoni mwa viongozi waandamizi nchini ambaye Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, alitofautiana naye na baadhi ya wenzake kuhusu masuala ya msingi katika uongozi na mwelekeo...
DOUBLE AGENTS NGULI WANNE KUWAHI KUTOKEA KATIKA ULIMWENGU WA UJASUSI
Mustakabali wa taifa lolote lile hutegemea pamoja na mambo mengine mifumo ya ulinzi, kwani hii ndio nguzo mhimu katika...
Intelijensia inaelezwa kama taarifa za siri zinazokusanywa,kuchakatwa na kuchambuliwa ili kuwezesha serikali kuchukua maamuzi fulani ili kuongeza ufanisi. Umuhimu wa intelijensia haupimwi kwa...
Habari za jioni wana JF.....Tunapoongelea ukatili wa majeshi wengi watakimbilia kuwaza hitler alivyoua wayahudi au Jinsi Mehmet Ali alivyochinja chinja mataifa mbalimbali kwa kuitanua dola yake ya...
Saizi baada ya upinzani Nchini Malawi kushinda ushindi wa kishindo wa urais na ubunge bila shaka upinzani wanawashukuru sana wanajeshi wa Malawi na Majaji Baada ya kukukataa mamilion ya dollar ili...
Sina hakika kama wakati mwenyezi mungu alipoumba dunia aliweka hz nchi km tanzania,malawi,kenya,marekani nk.(naamini hvo sababu hata kwenye biblia hakuna neno marekani wala tanzania)
1.swali...
Wakuu habarini humu,
Kiukweli uchawi ni sayansi kubwa sana tena ina mengi ya kustaajabisha, maajabu yake ni makubwa na yanashangaza.. fikiria kuchoma kisu kwenye kioo ukiwa dodoma na sekunde hiyo...
Kampuni moja ya Uchina imetangaza mpango wake wa kubuni ''mwezi bandia" utakaoangaza miji usiku.
Kwa mujibu wa gazeti la kitaifa la People's Daily, maafisa katika taasisi ya kibinafsi ya masuala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.