The belief that God sacrificed God to God to save God's creation from God.
Huitaji kutumia nguvu kubwa sana kama akili yako inaupeo wa kufikiri japo surface thinking..
Wengi wenu humu mmelishwa...
Jamii zetu za Kiafrika na Tanzania kwa upekee wamekuwa wakifanya sayansi hii ingawa miaka ya karibuni umeonekana kumezwa na maendeleo ya sayansi na teknolojia.
Ipo hivi.." Mtu anapokata roho hufa...
Habari msomaji wa uzi huu. Karibu ujifunze mambo mbalimbali katika ulimwengu wa mwili na ulimwengu wa roho.
Kama kichwa cha uzi huu inavyosema (Jinsi ya kuthibiti nafsi isitoke kwenye mwili)
Kila...
Jamii ya watu wa Afrika kabla ujio wa wageni kutoka mabara ya Asia,Amerika na nk na kabla ya kurithishwa tamaduni za ughaibuni ilikuwa haijui habari ya adui wa Mungu.
Wa Afika wakiamini yupo...
Wanabodi,
Raisi ndiye kiongozi mkuu katika nchi, japo baadhi ya nchi kiongozi mkuu ni waziri mkuu mfalme au malkia.
Siamini kwamba maraisi wote duniani huwa na nia njema kwa nchi zao, wengine...
Binafsi nachokiona ni ninyume chake!
Sioni faida ya ulimwengu wa kiroho ktk dunia yetu, ila ninachokiona ni hao wanaotumia kuuhubiri ulimwengu huo ndio wanafaidika na dunia ila dunia haifaidiki...
JWTZ inasubiri adui aje na mizinga na makombora akitaka kuteka nchi ndio wapambane naye. Lakini adui akija na makaratasi (yaliyoambatana na posho?) kama vile EAC, hawana habari naye, hata kama...
Source: The citizen
By The Citizen Reporter
Mexican tycoon Carlos Slim was on Wednesday named the worlds richest person, with a net fortune of $53.5 billion (Sh70 trillion), which is more...
Wana JF,
Nimepata makala hii mahali fulani. Inahusu kuwepo/kutokuwepo kwa Mungu. Ni hoja mpya kidogo. Nawashirikisha as a free text and as an attachment...
GEORGE Stinney Jr, angekuwa na umri wa miaka 90 sasa kama Mungu angemuweka hai. Aliuawa akiwa mtoto mwenye umri wa miaka 14.
Ilikuwa siku kama ya leo, Juni 16, 1944, George alisingiziwa kuua...
Secret agents most times hide during their operation and most times wouldn't like their identity to be unvieled and there for they go for special kinds of equipments.
Most times, secret agents...
Huu ni ukweli wengi wamekuwa hawataki kuukubali. Binadamu wa kwanza alikuwa Mwafrika Zinjan thropas ambaye Fuvu lake lilikutwa huko Arusha. Aliishi katika Bonde la Serengeti miaka hiyo ya nyuma...
Habarini wapenda mada za mambo yetu..
kwa waliofanikiwa angalia shughuli za ufungwaji wa bunge letu kama walinotice mkuu wa nchi alipotia timu bungeni, aliposhuka tu kwenye gari alipokelewa na...
ELEUTERIO SANCHEZ RODRIGUEZ :
MTU ALIYEKUWA ANATAFUTWA KULIKO WATU WOTE NCHINI HISPANIA:
Eleuterio Sanchez Rodriguez alizaliwa Aprili 15, mwaka 1942 akijulikana zaidi kama EL LUTE, na wakati...
Kwa kifupi, New Age ni nini? Ni mkusanyiko wa dini zote; matendo mbalimbali ya kidini, ambayolengo lake ni kumfanya mwanadamu awe mungu. Ni mwavuli ambao chini yake dini zote zinaweza kujificha...
Wapendwa karibuni tukumbushane na kuonyana, kwa kuwa hali inazidi kuwa mbaya. Shetani anawatumia baadhi ya watu humu kupotosha wengine. Kwa kuwafanya waone kuwa maarifa yatolewayo humu JF yaliyo...
BAHARI YAMEZA WATU?
Kisa hiki ni cha kweli na hakijapatiwa ufumbuzi mpaka leo hii.
Hiki kisa kilianzia huko tarehe kumi na moja, mwezi wa pili mnamo mwaka 1979 ambapo marafiki watano wajenzi...
Natumai hamjambo wanajf.
Nimekuwa nikiona mijadala humu pengine na kwingineko mitandaoni juu ya udhaifu wa silaha za Kisovieti/ Russia hasa ndege vita na vifaru dhidi ya zile za kimagharibi...
Habari ya mchana
Poleni na mapambano dhidi ya cov19, tuendelee kujihami nakutumia wakati tulionao kujiwekea kinga zaidi.
Sasa acha niende katika hoja moja kwa moja,
Tumekuwa ni watu ambao...
CHAPTER ONE: EWE MWANADAMU AMKA.! ACHA KUSHUPAZA SHINGO, MUNGU YUPO NA SIKU YA HUKUMU IPO.
UTANGULIZI: UWEPO WA MUNGU.!
Hatma ya Mwanadamu imefanywa kuwa siri kubwa, isipo kuwa kwa wachache...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.