Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 37,597
- 46,244
Je Karma ni kitu halisi kinachotenda kazi?
Kama karma ipo kwa nini watu wadhulumaji na watesaji wanaosababisha tabu, mateso na adha kwa wengine iwe katika siasa, dini,kazi,biashara n.k huwa wanafikia mwisho wao baada ya maisha marefu yaliyojaa raha na yasiyo na shida?
Usuli:Karma ni nadharia iliyo zaidi katiki dini ya kibudha na kihindu yenye maana kwamba kila alitendelao mtu atalipiwa kadri ya matendo yake,kama mtu akitenda mabaya atalipwa sawa na mabaya yake na akitenda mema vivyo hivyo.
Karma ni sawa na kisasi katika dini nyingine?
Karma huwa inawapata watu wote kulingana na matendo yao? (haibagui)
Karma ni lazima itokee hapa duniani au inaweza kutokea hata baada ya maisha haya ya sasa?
Kuna mtu yeyote aliyewahi kuona karma ikifanya kazi yake?
Sent using Jamii Forums mobile app