Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Huu ni mpango wa maelite wa Dunia wa siku nyingi sana kuunganisha Dunia nzima chini ya utawala wa wachache yaani itaitwa One World Government na ndiyo hasa lengo la kuanzisha Umoja wa Mataifa UN, ingawaje wengi wamekuwa wakiponda kwamba ni conspiracy theory lkn kila siku zinavyozidi kwenda ndivyo ukweli huu unavyodhihiri kwamba One World Government imefika!
Kuna sababu kwa nini Uingereza imejitoa EU, hivi sasa EU wanapanga kuunda US of Europe kuondoa mipaka na nchi na hivyo kuwa na nchi ya EU, chini ya Raisi mmoja wa EU, Marekani Kaskazini nako kuna NAFTA yaani muungano wa Kanada, USA na Mexiko tayari umeiva na Obama alikuwa Kanada juzi kati kufanikisha hili kuna sababu kwa nini D.Trump anatukanwa na kuadhalilishwa na media kwa maana haungi mkono NAFTA yaani muungano wa USA, Kanada na Mexiko sasa kama hili halitoshi Umoja wa Afrika AU umeanzisha African Passport yaani maana yake ni kwamba nchi zote ya Kiafrika zitakuwa na passport moja, unaondoa viza baina ya nchi hii inakuja sambamba na ziara ya Waziri Mkuu wa Israeli Netanyahu AM ambapo atatembelea pmj na nyingine nchi ya Rwanda ambako ndiko Passport ya Afrika itaanzishwa!
Tafadhali raisi Magufuli iondoe nchi yetu AU, tafadhali nchi yetu isijiunge na passport ya Afrika hatuihitaji, Botswana raisi Ian Khama ameshaistukia AU na sasa Botswana haijihuisishi na umoja huo kihivyo na wala Botswana haimo kwenye mpango wa African passport, huu ni mpango wa maelite kuunganisha Bara lote la Afrika chini ya mtawala mmoja simtaji kwa sasa lkn mnaweza kumuotea ambaye yeye atakuwa anawakilisha matakwa ya wakubwa, tuikatae AU, vinginevyo tutakuwa watumwa forever ...
Waingereza wameshtukia na kutoka EU au kujaribu kutoka EU, wengine watafuata lkn haitakuwa rahisi...
* Msichanganye OAU iliyoanzisha na akina Nyerere, Nkrumah &Co. na AU hiyo ilikufa na ndiyo maana hata jina likabadilishwa likaitwa AU, angalia ufanano hapo AU, EU, UN ...
African Union to introduce an African passport