Habari za mida hii!
Hii kitu huwa naiyona sana hasa usiku nikiwa nataka kulala kama kuna kigiza flani huwa naona kama nikisugua shuka au hata neti naona kuna miale kama vitu vinametameta kwenye...
TAFAKURI …. AKILI SI YA KUHIFADHI WAZO, BALI YA KUBUNI WAZO.
Unatoka kazini ukiwa na mambo mengi kichwani . Ghafla unakumbuka unatakiwa kupitia kitu muhimu nyumbani . lakini unasema nikifika tu...
Kanuni ya kutengeneza Kinywaji cha coca cola ambacho hutengenezwa kwa zao la cola (colanut) na majani ya mmea wa coca iligunduliwa na mfamasia wa kimarekani John S Pemberton mwaka 1886 huko...
NB: USIIBE MAKALA YOYOTE YA INFANTRY SOLDIERS KWENYE GROUPS ZA WHATSAPP PAMOJA NA FACEBOOK BILA IDHINI YANGU
1. UTANGULIZI
KATIKA andiko hili ambalo mdau una nafasi huru kuchangia mawazo yako...
Ubaguzi wa rangi ulikuwepo muda mrefu sana kabla ya Darwin na theory yake au kuja kuipa nguvu maana inasemekana yeye sio mwanzilishi, lakin pindi tu ilivyo kuja huyu bwana na habari zake ubaguzi...
Habari!
Mara nyingi tumekuwa tukijiuliza maswali mengi kuhusiana na masuala mbalimbali yahusuyo Mwezi. Sio ule wa kwenye kalenda bali huu tuuonao angani karibu kila iitwapo leo hasa nyakati za...
Mara nyingi kila binadamu tu akizaliwa uzaliwa na kipawa kutoka kwa muumba wetu.
Kipindi cha udogo utafanya mambo ya kushangaza mpaka wanaojua watasema huyu atakuja kuwa na fani flan.
Baada ya...
1:Kama Ukitanganza Malengo yako na Mipango kwa watu, Kuna uwezekano mkubwa yasitekelezeke, kwa sababu utapoteza motisha, Utafiti umeonyesha.
2:Wimbo unaoupenda kuliko wowote ule, Utafiti...
Sijajua kama nimeweka huu uzi katika jukwaa sahihi ila ninaamini kabisa kwamba kuna Maofisa ambao wanapita humu ambao wanao uwezo wa kuliweka hili mezani na kulijadili kwa kina kwa kuzingatia...
Imeripotiwa hivi karibuni kuwa Mwenyekiti wa CCM wa Taifa Bw. Ben Mkapa kwamba yeye hakubaliani na uamuzi wa Mahakama ulioruhusu uwepo wa wagombea huru.
Binafsi sijafurahishwa kuwa hakuna...
Nguvu ya mwanamke ndio inatawala dunia ... Unaweza kubisha na kukataa katakata lakini huu ndio ukweli... Hebu turudi kwenye uumbaji wa ulimwengu kiimani
Uumbaji wa mwanzo wa binadamu ulifanyika...
Wakuu nimeona NASA wanaendelea kufanya majaribio ya kwenda Anga za mbali lakini sijawahi kuona tena wamefanya jaribio la kurudi mwezini toka enzi za akina Amstrong ,mwenye uelewa wa hili anijuze...
Nawatakia wakati mwema wakuu
naleta kwenu hoja hii ya kutaka kujua ile nyota walioiona wanajimu wa mashariki wakati wa kuzaliwa Yesu kipindi hicho je kwa sasa iko wapi?
tunajua azi ka sasa...
Habarini Wote.
Nimepata kufanya Utungaji wenye kufungamana na mawaidha yajayo na mada mbalimbali katika Jukwaa hili Jamii -- kwa faragha.
Mapenzi yangu yamekuwa ni kwamba kama hali bado...
Habari Wanajamvi! ! Nina imani tunaendelea vyema katika shughuli za uzalishaji Mali, natamani tutumie nafasi mujaraab tuzipatazo kuzidi kuweka udadisi kuhusu suala zima la "Ukomunist"ama "...
Ndugu zangu,
Hiki ni kitabu ambacho nimefatilia baadhi ya maandiko yake kupitia mada mbalimbali za Dr Taylor Marshall, nimeona kinafaa kusoma kwa wapenzi wa kufatilia mambo mazito kidogo. Ukienda...
Habari wana jukwaa?
Kama ni mfuatiliaji wa habari za kimataifa na hasa maswala ya anga utagundua kuwa ndani ya mwezi huu UAE, China na baadae mwezi huu USA chini ya NASA wanategemea kurusha...
Sina maana ya kupinga biblia ata kidogo ila katika harakati zangu za kutaka kujua asili yangu na mahusiano yangu na Mungu wangu muumba kuna maswali yanaibuka kichwani mwangu na nimetafuta majibu...