Habari za mchana wakuu, Bila shaka jumamosi njema sana leo. Naomba kuleta Uzi kuhusu bibi mkubwa mmoja ambaye kwenye soma soma za hapa na pale amenipa hamasa ya kushare nanyi historia ya maisha...
Utapeli wa 419 ni utapeli ambao pia unajulikana kama Lipa Ada Kabla (Advance Fee Scam). Ni utapeli ambao hufanywa kwa kiasi kikubwa nchini Nigeria, na namba 419 ni ‘code’ ya Nigeria ya kitengo cha...
Tangu utotoni mpaka nakua nimekuwa nikisikia simulizi nyingi sana za mambo ya kuogofya, mambo ya kishirikiza, walozi, uganga, wakonikoni,
Sasa hapa kwenye uganga mara nyingi watu huenda kueleza...
Unafikiri kwanini umeumbwa uishi, lakini badae unatakiwa ufe. Yaani umezaliwa unaishi lakini piga ua pamoja na mali zako badae unatakiwa ufe. KWANINI ???? Ni KWANINI..... wew haujiulizi sababu...
Natumaini wote wazima ndugu wa JF,
Rejea kichwa cha habari hapo juu kwa kweli nimekua nikitafuta majibu ya hilo swali lakini nimekosa jibu sahihi
Inasemekana na kusadikika ukristo ulikuja baada...
Rais wa zamani wa Syria bwana Hafez Assad (Baba yake na Bashar, rais wa sasa) alikuja kugundua ya kuwa idara ya ujasusi ya Israel (mafundi wa Mossad) walimtengenezea choo cha bandia kwa kutumia...
Wakuu JF ni chuo cha maarifa makubwa maana kumejaa ma-GT,katika pitapita zangu nimekutana na historia kwa ufupi kuhusu kitabu hiki "History of the necronomicon"ambacho kinasemekana ni kitabu...
Makaburi ya zamani ambayo yana majeneza kadha yaliyotengenezwa kwa mawe, na mkufu ulio na "ujumbe kutoka kuzimuni" vimegunduliwa nchini Misri.
Ugunduzi huo umefanywa Minya, kusini mwa Cairo...
(Picha ikionyesha Warmhole na Nyota mbalimbali)
Salute Comrades.
Kwa references ya vitabu vya imani za dini mbalimbali zinasema kua hapo zamani Mungu aliumba ulimwengu, akaumba vyote vilivyomo...
Habarini wapenzi wa jukwaa hili....tulipoteana kidogo lakini naamini kila mmoja wetu ana siha njema...nawaombea afya tele na furaha pia
Wengi wetu kama si kwa uchache basi kwa wingi tunachanganya...
Naomba kuzungumzia mfanano wa visa vya biblia takatifu na jinsi ambayo havipishani katika kusudio la ujumbe na maana licha ya stori na wahusika kuwa tofauti ila kinachowasilishwa huwa ni kile...
Wakuu poleni na majukumu na harakati za hapa kazi tuu!!ni mda mrefu kidogo sikuwa hapa jukwaani kutokana na kazi!!vilevile niwatakie heri ya chrissmass na mwaka mpya! Namshukuru mungu nimerudi...
Wakuu ni jambo la heri kumtukuza MUNGU,alitoa upendeleo zaidi kwa wanadam kuliko viumbe wengine,lakini mara nyingi wanadam tunamkwaza kwa matendo yetu maovu.
Mungu anao uwezo wa kufan...
MKASA WA MAUAJI YA CHUMBA NAMBA 1046. (KIVULI CHA 'DON' NA JASHO LA WAPELELEZI)
.
.
.
.
Katika jiji la Kansas, Missouri, mchana wa mwezi wa kwanza, tarehe 2 mwaka 1935, mwanaume mmoja aliingia...
Nashukuru Mungu kuendelea kuniweka hai kwa mengi niliyopitia nijionapo naendelea kuwa hai ni jambo la kustaajabisha ashukuriwe Mungu Muweza wa Yote.
Poleni kwa majukumu ya kila siku na Mungu...
Inatisha sana. Hizi ni baadhi ya picha za ndani ya kanisa la Evora huko portugal lililojengewa kuta zake na decoratiwa kwa mafuvu.
MAAJABU HAYATAISHA DUNIANI.
[]
Capela de Ossos Bone Chapel...
Bila shaka mmebahatika kuamka salama kama ilivyo kwa mzee wa kasumba
Langu ni hili
Naomba kujuzwa kuhusiana na masuala ya kijeshi na kiulinzi kwa ujumla wake. Hivi katika jeshi ni watu gani...
Katika kipindi hiki ambacho kuna vifo vingi, nime experience baadhi ya matukio ambayo huwa ni nadra kutokea ila huashiria jambo ambalo si la kheri
1. Kuna siku jirani yangu nilimkuta anamwaga...