Nilitegua kitendawili cha Kifo baada ya kupata ajali ya kugonga kundi la Tembo na pikipiki

impongo

JF-Expert Member
Feb 18, 2015
8,732
7,611
Nashukuru Mungu kuendelea kuniweka hai kwa mengi niliyopitia nijionapo naendelea kuwa hai ni jambo la kustaajabisha ashukuriwe Mungu Muweza wa Yote.

Poleni kwa majukumu ya kila siku na Mungu awabariki sana nisiwachoshe sana nianze mada.

Alfajiri saa 10:04 tarehe 07.12.2011nilipiga magoti nakuomba Mungu kisha niliwasha pikipiki aina ya Baja na nilianza safari nikitokea katika mji wa kibaha na kuelekea mkoa wa Lindi katika wilaya Ruangwa nilifika Daraja la Mkapa mida ya saa 1:30 asubuhi nilikuwa nikiendesha kwa kasi ili niweze kuwahi kufika Ruangwa maana ratiba yangu ilinitaka saa 6:30 nifike.

Nilianza Kipande cha Nyamwage - Mhoro mpaka Nangurukuru na kipande hichi kilikuwa kichafu sana mvua zilianza kunyesha kikawa na tope mda wa saa 3:30 nilisimama kupata chai Nangurukuru nilinunua Samaki wa kukaangwa nikatafuna nikamaliza nikawa tayali kwa safari.

Niliondoka kwa kasi huku watu wote wa kistaajabu aina ya pikipiki na jinsi nilivyokuwa nimevalia hakika natumai wadada wote niliwavutia walikuwa wakitamani niendelee kuwepo waniangalie au japo niseme neno wajisikie faraja.

Mda wa saa 5:30 nilikuwa Lindi mjini nikijaza mafuta ili nizidi kuchanja mbuga niliondoa Baja langu kwa mbwembwe za hali ya juu mda kama wa dakika 10 niliacha barabara kubwa ya Masasi na Mtwara nikaelekea Barabara ya Rutamba (Lindi vijijini) kupitia Mitanga kuelekea Mtene kukatiza katika misitu ya Londo Forest.

Safari ilipamba moto na kuzidi kuuchana mchanga uliojaa njia yote kuanzia mitanga kwenda mtene hadi katika misitu wa Londo (maarufu Nchinjidi wenyeji wanaita) nilizidi kuongeza sipidi ili kuupasua mchanga vyema huku nikikatiza vijijini watu wakinishangilia.

Hatimaye nilianza kuingia katika msitu mnene wa nchinjidi ilikuwa mchana ila msitu ulijaa ki Giza na ilinilazimu kuwasha taa nione vyema.

GHAFLA KIFO NAKIONA KARIBU YANGU
Nilitembea kwa kasi kubwa nilikata kona allahaulaa hapa na hapo nikaona kundi kubwa Tembo wanavuka barabara kwa kasi niliyokuwa nayo sikuwa na jinsi wala sikuelewa kilichoendelea tena.

Ghafla niliona nikiwa sehemu nzuri sana yenye kupendeza hali ya hewa ambayo ni nzuri hauhitaji kula viumbe wa eneo lile wanapepea ni kama watu wenye mabawa wa karimu na walinisogelea na kunionea huruma walikuwa weupe kupita weupe wakati mwingine ilinibidi kuangalia pembeni nilihisi macho yanauma kwa weupe wa mng'ao ule kama theruji.

Hakika nilifurahia mahali pale na sikujua nipo wapi na akili haikurudi kumbukumbu ya nyuma nilipotoka kwa JINSI MADHARI ILE ILIVYO HAUWEZI KUKUMBUKA HAPA DUNIANI nilihisi furaha na kutamani nipate mwenyeji mmoja niongee nae niombe nipewe mabawa na Mimi nirahisishe maisha nipepee katika inchi isiyo na milima wala mabonde na hakuna ardhi maua yaliyopo mazuri nayo yalielea angani kila kitu kilipendeza na kuvutia.

Ghafla niliona sura nzuri ya mtu akiwauliza wale viumbe wengine wanaopepea na kung'aa huyu mbona yupo hapa arudi huko alikotoka mda wake bado.

Ghafla niliona kiza na kuanza kusikia maumivu na nikafumbua macho na kujikuta katika hospital iliyopo ofis za Londo Forest Mtene
Niliuliza nimefikaje pale walinieleza ni siku ya 2 niliokotwa asubuhi ya siku 2 zilizo pita na pikipiki yangu ipo kwa mzee maarufu aliitwa Lupande ambaye dereva wake ndiye aliyeniokota na kunisaidia kunipeleka hospital

Nilitamani kurudi kule maana nilihisi duniani kuna joto Kali mateso na shida nyingi kula tamaa na mambo mengi ya kutisha ila sikuwa na jinsi yakurudi tena.

Ndio maana waliokufa hawarudi huko kuna raha sana BAADA YA KIFO KUNA MAISHA NA HAPA NILITEGUA KITENDAWILI CHA MAISHA BAADA YA KIFO

Nilikuwa na laptop nilipopata ajali katika begi baada ya wiki 5 nilipona nilirudi msituni na vijana kuitafta Mungu ni wa ajabu tulikuta begi limetundikwa juu ya mti mrefu zaidi ya mita NNE sijui ilikuwaje vijana walipanda kulitoa na kukuta laptop haina tatizo lolote na mvua zilikuwa zikiendelea kunyesha lakini begi lilikuwa na nylon ndio maana maji hayakuharibu

Lakini swali likabaki ilikuwaje begi lirushwe juu zaidi ya mita NNE nn kimesababisha?

Kwanini Tembo hawakuniua wakati niliwagonga?

Kwanini hata hawakunikanyaga ?

Kitendawili kikateguka kuna maisha baada ya kifo.Nashukuru Mungu kuendelea kuniweka huru kwa mengi niliyopitia nijionapo naendelea kuwa hai ni jambo la kustaajabisha ashukuriwe Mungu Muweza wa Yote.

Kitendawili kikateguka kuna maisha baada ya kifo.
 
Moderator naomba Uzi uruhusiwe mapema kwani huu Uzi haukashifu yeyote naelezea changamoto nilizopitia
 
daaah mwanangu hapo mwanzoni hapo kabla ya hyo paragraph ya kifo ungesamaraizi kdgo bhanaaa aaarrggghhh.......ila nimeisoma yote...pole kwa mkasa Mungu aendelee kukupa uhai.....
 
Asante nitaiweka vizuri
 
u
Siyo hadithi huu ni ukweli lakini kila mtu ana mtizamo wake mpaka pale itakapotokea umefikia hapo utaelewa
umepata ajali mchana ila umeokotwa saa mbili asubuhi ,halafu umekaa hospitali mpaka umepona ukakumbuka laptop eti ukaifata eneo la tukio baada ya kupona .ukaikuta imepaa imejitundika juu ya mti .
 
Back
Top Bottom