Charlie Charlie is demonic challange?

Charlie Charlie is demonic challange?

Da Vinci XV

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2019
Posts
3,871
Reaction score
6,475
CHARLIE CHARLIE IS DEMONIC CHALLANGE

Wassalam
Nadhani tumeishuhudia sana hii challange vijana wakiicheza katika siku hizi hapa nchini kwetu imeibuka kasumba ya hii challange ya Charlie Charlie,
Screenshot_20210109-182533.png

kwanza,

Challenge ya Charlie Charlie ni mchezo wa kisasa mchezo huu wa karatasi ya Kihispania na penseli ....wahispania wanaita Juego de La Lapicera (mchezo wa penseli). wengine wanauita mpira wa uchawi juu ya kasumba zake nyingi za demonic

Mchezo huu unachezwa na vijana kutumia penseli zinazolingana usawa ili kutoa majibu ya maswali wanayouliza.

Wasichana wengi waliokuwa hatua ya kuvunja ungo wamecheza sana Juego de La Lapicera kwa vizazi vingi sana nchini Hispania na Amerika huko Puerto Rico,

Mfano wengine wanauliza na kuomba kujua wavulana gani katika darasa lao wanawapenda.
Screenshot_20210109-185402.png

Naona wengi wa vijana wameanza saivi kujaribu kucheza huo mchezo japo ni wa mda mrefu.

IS THIS CHALLANGE DEMONIC kwa yeyeto mwenye dondoo???
Screenshot_20210109-185502.png
 
Kwa Nini wakaita mchezo huo ?
Charlie challenge!
Una uhusiano na
Champlin?
Kulingana na historia ya huo mchezo
Charlie Charlie ni jina la mzimu au roho ya kishetani unayoikaribisha

Originally lilikua jina la mzimu wa mtoto aliyejulikana kama Charlie

But now ni utambulisho wa mzimu wowote ulio karibu

Hua wanaanza huo mchezo kwa maneno ya "Charlie Charlie are you there?"

Hapa una activate uwepo wa roho ya kishetani iliyo karibu yako

Then kama IPO,penseli ya juu itazunguka mpaka kwenye square yenye neno YES...kwa maana Nipo..

Kisha utauliza swali lolote unalohitaji na majibu yatakua katika mtindo huo Yes na No
(Boolean)
Ukitaka kuona effect ya mchezo huu nenda mahala panapo aminika kuwa na visa vya kutisha au mazingara..
Enjoy
 
"Ukitaka kuona effect ya mchezo huu nenda mahala panapo aminika kuwa na visa vya kutisha au mazingara..
Enjoy" hii statement embu funguka vizuri😎😎
 
Huo mchezo (Karatasi na penseli) ni kama interface au chombo kinachokuwezesha wewe kuzungumza na hizo roho chafu,majini au mizimu kwa lengo la kupata majibu ya maswali yako

Hili izo penseli zizunguke na kukupa majibu inabidi ziongozwe na hizo roho

Huwezi cheza huo mchezo nyumbani au getto ukaona effect,hizo movies sasa

Ukitaka real effect achana na hivyo vi clips vya YouTube nenda sehemu ambayo ina aminika kuna matukio ya kutisha wewe, karatasi,na penseli zako

Sita usiku....
Then practice hilo game
 
inatosha ya kuambiwa tusijezua mengine
 
Kuna ubao una namba na herufi na maneno yes na no,unachofanya ni kuuliza kwenye ubao yale maswali ambayo majibu ni yes au no.wakati huo mkono wako uko kwenye ubao,iwapo umeuliza swali huku ukiwa unatrace yes na no kwa kitu maalumu na jibu mfano ni no mkono wako utasimama kwenye no.Ni mambo ya kiza kiza na ya hatari kuwasiliana na maroho
 
Rafiki zangu kitaa wametaka kuanza cheza huo mchezo, nikawapa ushauri waache wasije sema awakuambiwa
Pia nikawaambia nothing is for free, unauliza maswali then utalipa nini? Haujui kwaiyo ni vema kuwa makini
Spirit world ipo kweli
 
Huo mchezo (Karatasi na penseli) ni kama interface au chombo kinachokuwezesha wewe kuzungumza na hizo roho chafu,majini au mizimu kwa lengo la kupata majibu ya maswali yako

Hili izo penseli zizunguke na kukupa majibu inabidi ziongozwe na hizo roho

Huwezi cheza huo mchezo nyumbani au getto ukaona effect,hizo movies sasa

Ukitaka real effect achana na hivyo vi clips vya YouTube nenda sehemu ambayo ina aminika kuna matukio ya kutisha wewe, karatasi,na penseli zako

Sita usiku....
Then practice hilo game
Usiku tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom