mbere
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 6,967
- 6,469
Lini haswa tulianza kuwahesabu wanawake na watoto kwenye mambo ya Mungu na mengineo ya msingi? Tukirudi nyuma hata idadi ya waliolishwa mikate na Yesu, watoto na wanawake hawakuwepo kwenye ile idadi, na kuna mifano mingine mingi. Wachungaji wanawake ni wengi sana siku hizi sasa hivi utasikia Azana za wanawake misikitini any way.
Nani haswa aliwaingiza wanawake kwenye idadi ya watu? Maana hii dhambi/ au niseme huu udhaifu wa wanaume unaanza kututafuna wanadamu kimya kimya ikianzia na Ujerumani, Uingereza na hata taifa kubwa duniani Marekani soon linaingia kwenye mtego wa wanawake.
Najua kuna mtakao shindwa kuona hoja yangu, pole yenu.
Kwa mlioiona tafadhali athari yake nini hii kitu?