Habari wakuu,
Hivi ulishawahi kudhulumiwa na ukaamua kupiga goti ukamuomba mungu ampe siku nyingi mdhulumaji wako ili siku ukifanikiwa akuwe shahidi, huku kimoyomoyo ukisema mungu atamnyoosha ila...
HATA BINADAMU WA SASA IPO SIKU ATOWEKA (EXTINCT)
[emoji117]Iko hivi, hakuna species yoyote ambayo itaishi milele(hakuna immortal species),Kila kundi la viumbe wa jamii moja(species) ipo siku...
Watoto wenye akili za ziada milion5 wazalishwa kila baada ya miaka10 us chember place,watoto hao wako shapu na wakiwa mbele ya muda kwa kila skills,wakati sisi tunapambania kujazana vyuoni na kula...
Mbali na kuwa wenyeji na wahusi wa dunia hii lakini tumekuwa kama watwaliwaji watekelezaji wa sanaa za maisha ndani ya dunia yetu,tumekua tukiona visivyo halisi na kufanya yasiyo thabiti je hii...
Ndugu zangu.
Huwa naona walinzi wa viongozi wakubwa katika nchi mbalimbali huvaa ear phone na wakati huohuo huwezi ona wakiongea.
Wanawasilianaje maana huwezi ona wakiongea ?
Masikio...
"Ukiwa kwenye taamuli unaona kilichokuwa kinaendelea akilini mwako wakati wote" Allan Lokos.
Zipi hasa ni baadhi ya FAIDA za kufanya taamuli vyema na mara kwa mara;
1. Taamuli(meditation)...
Ni jambo la ajabu sana ya akili za binadamu wa siku hizi kuwa hazifanyi kazi, nadhani ni kwa sababu ya kutumia Synthetic foods and drinks, because what you eat and drink, you become! Kila kona...
Khabari vipi
Katika chambua chambua zangu za hapa na pale mara nikagundua waliopewa jukumu la kujenga chuo cha kimataifa cha dodoma wachina walijenga yale majengo wa muundo wa kipekee ambao ukiwa...
Tumeona ufundi wa kibiolojia ukibadilisha mambo mengi sana. Tumepata ng'ombe wa kisasa wanaotoa maziwa na nyama nyingi. Tuna kuku wa kisasa wanaotaga sana na kutoa nyama kibao. Tuna miwa yenye...
Habari za asbuhi great thinkers.
Moja kwa moja niende kwenye topic kuhusu nilichotafiti kwangu binafsi kwa kuconnect dots ya source mbalimbali nilizosoma naweza conclude kwamba weusi wetu...
“Nyoka alikuwa mwerevu kuliko wanyama wote wa porini walioumbwa na Mwenyezi-Mungu. Basi, nyoka akamwambia huyo mwanamke, “Ati Mungu alisema msile matunda ya mti wowote bustanini?” 2Mwanamke...
Vitabu vitakatifu neno hili tumekuwa tukilitumia hasa pale tunapogusia vitabu vyote vya kiimani vilivyokubalika kutumiwa na waamini wa dhehebu lolote lile duniani.
Leo ntazungumzia madaraja ya...
"In the midst of great joy, do not promise anyone anything. In the midst of great anger, do not answer anyone's letter." —Chinese proverb
1. MWANZO
Kama binadamu kila mmoja wetu kwa namna...
Tukisema tunaambiwa tunayo-andika ni conspiracy theories.Kama watu wanaweza bila aibu na woga kwenda mahakamami kutetea eti "haki yao ya kutoa watoto wachanga kafara," kuna jambo ambalo hawawezi...
Maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika yanaweza kutupa sura mpya tusiokuwa tukiifahamu sote, Pengine ni kwa mara ya kwanza Kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi ndio kinaeleza uhusika kikamilifu wa...
Wadau nimekuwa naona Aina mbali mbali za Ulinzi kwa Viongozi mbalimbali.Licha ya Ulinzi huo bado Baadhi ya Viongozi Wameuawa.
Najiuliza kwanini Wanaweza kuuawa Wakati wana huo Ulinzi au Walinzi...
Sote tumesikia juu ya sheria ya kivutio - lakini vipi kuhusu sheria ya polarity, sheria ya umoja wa kimungu, au sheria ya mawasiliano? Hiyo ni kweli.
Sheria 12 za ulimwengu zinafikiriwa kuwa...
Ufahamu ni kuwa "aware". Awareness ina involves the observer,observed na njia ya kufanya observation to be made. Kwa maana nyingine kutokea kwa ufahamu ni pale anapokuwepo mtazamaji, anaye tazamwa...
Wakuu heshima kwenu,
Sababu ya kusema nafsi yangu moja imefungwa ninatokana na historia ya mitihani na majaribio mengi ya maisha 44yrs ndani ya majaribio na mitihani.
Siku ya leo nimeamka...
Unapo wapekua freemasons, marais wa Marekani, mfumo wao wa utawala, kila mara utakutana na nambari hizi, 13 na 33. Wale wanaoitwa waanzilishi wa taifa ka Marekani ni Freemason na karibu wote wa...