Kipi ni bora; kufikiri kimantiki (Think logically) au kufikiri kwa usahihi? (Think correctly)

Mwanga Mkali

JF-Expert Member
Jul 8, 2018
545
1,000
Salaam wadau

Kumekuwa na mijadala mingi ya kwa nini watu wengi hawafanikiwi katika shughuli zao. Kiuchumi, kifamilia, kielimu na nk. Moja ya sababu zilizo tajwa ni namna yao kufikiri mambo. Kwamba mafanikio au kuanguka huko hutegea namna yao kufikiri.

Nahitaji tusaidiane kama mada inavyo jieleza kipi ni Bora?

Nawasilisha.
 
lifecoded

JF-Expert Member
May 9, 2018
1,423
2,000

Nahitaji tusaifiane kama mada inavyo jieleza kipi ni Bora?

Nawasilisha.
think logically...

unajua we live in the universe that provides a number of possibility any any thing...

we dance in the matrix form of existance...

ulimwengu umeweka option nyingi za kusurvisha viumbe wake..

ndo mana unaweza ukawa huna kitu ila gafka ukapata wazo ambalo linakuja kubadili mawazo uliyokuwa nayo..

logic ndo kila kitu..maisha haya tunayoishi yapo under logic consistency...

bila logic reasoning huwez kujua kwanini tupo wengi na tabia tofauti but kupitia utofauti huo ndo mana tunaishi kwa kutengemeana..

so logical brings alternative to survive..

usiwe na jibu moja ,utakosa namna ya kuishi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LexPaulsen

JF-Expert Member
Jul 30, 2018
249
500
Thinking correctly ndio common zaid kwny scenario za maisha ya kila siku ila ina ukomo(limitations) kwa sababu unahitaji reference kuvalidate usahihi wa maamuzi. Usahihi wa jambo (Correctness) inajengwa na facts, experience na culture na mazingira ambayo yanaweza kutofautina tu na mtu. Fikra inaweza kuwa sahihi ila hai-apply kwa mazingira husika.

Logical thinking ni bora zaidi and haina limitations, inakupa uhuru wa ku-explore your thinking capacity bila vizuizi vya mazingira or culture or past experience. Logical thinking haiko limited na nin ni sahihi or sio sahihi. You can create universal solutions to scenarios never encountered.

Cha msingi, ni kujua when utumie correct thinking and when utumie logical thinking kila moja ina mahali pake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanga Mkali

JF-Expert Member
Jul 8, 2018
545
1,000
think logically...

unajua we live in the universe that provides a number of possibility any any thing...

we dance in the matrix form of existance...

ulimwengu umeweka option nyingi za kusurvisha viumbe wake..

ndo mana unaweza ukawa huna kitu ila gafka ukapata wazo ambalo linakuja kubadili mawazo uliyokuwa nayo..

logic ndo kila kitu..maisha haya tunayoishi yapo under logic consistency...

bila logic reasoning huwez kujua kwanini tupo wengi na tabia tofauti but kupitia utofauti huo ndo mana tunaishi kwa kutengemeana..

so logical brings alternative to survive..

usiwe na jibu moja ,utakosa namna ya kuishi...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kuzingatia hoja yako tuchukulie mfano huu kati ya watu hawa wawili A na B , A alisema "kazi hii nimeifanya kwa masaa 10 imenichosha Bora niende nyumbani nikafanye usafi wa nyumba nzima" mwenzie B kwa kutumia mantiki ya "uchovu" aliona mwenzie ameongea jambo linalo pishana na mantiki hiyo.
Upande wa pili ulikuwa hivi, kazi aliyokuwa akiifanya ni kukokotoa hesabu za gawio la wanahisa wa kampuni yao hivyo alikaa kwa muda mrefu na kuuchosha ubongo, alihitaji kufanya aina nyingine ya kazi ili kuupumzisha ubongo kwa kufanya kazi za nguvu na kutembea tembea.

Moja ya tafiti inasema kufikiri kimantiki ni mchakato wa kuwa uwezo wa kumbukumbu za matukio ya muda mfupi Kisha kuzihusanisha na matokea ya matukio ya baadae.

Kwa mfano huo B hakuona kwa hidden logic ya A kwamba angeweza kuupumzisha ubongo kwa kazi za usafi, hii inamaana hakufikiria tukio la muda mfupi (ukokotoaji) la mwenzie kabla ya kushangaa fikira za mwenzie.
A na B Nani alikuwa sahihi?
 
ndo manake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Smart911

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
61,976
2,000
Zote ni sawa... kutegemea na scenario ya wakati huo...

Kufikiri kimantiki ni sawa pale linapokua ni jambo linalohitaji ushawishi zaidi... mfano wewe ni daktari bingwa wa mishipa ya fahamu unayetegemewa unaenda kua katibu kata...

Kufikiri kwa usahihi ni sawa pale linapokua ni jambo linalohitaji msukumo uliyoambatana na hisia zaidi... mfano usimfanyie jambo binadamu mwenzako ambalo wewe binfasi usingependa kufanyiwa...Cc: mahondaw
 
Wick

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
8,323
2,000
Unawezaje kufikiri Correctly (usahihi) bila kutumia Logic (mantiki)?.

Hivi ni vitu viwili vinavyoendana, huwezi kufanya kimoja ukafanikiwa hata siku moja. Ni lazima uweze kuwa na logic ya kitu unachofanya ili kufanikisha kwa usahihi. Haitawezekana ukakamilisha jambo bila kuwa na logic ya kwanini unalifanya!.
Tuchukulie unataka kufungua biashara ya Nyanya hatua ya kwanza ni lazima ujue nini unataka kipeleka sokoni, vitu kama aina, muda, ubora, wateja, soko, package, msimu na bei ni vitu vya lazima kuvijua kabla hujaanza na hapo umetumia logic (mantiki) then unapoanza rasmi utafanya uzalishaji na kufata sheria ulizojiwekea hapo awali ili usipate hasara sokoni kwenye after sales hapo sasa unakuwa umetumia usahihi (correct).
Huwezi sema hili jambo nimelifanya kwa Logic (mantiki) bila Correction (usahihi) au huwezi sema hili jambo nimelifanya Correctly (sahihi) bila Logic (mantiki) its irrelevant!.
Unaweza tenganisha mafuta kwenye maji lakini huwezi tenganisha Mantiki na Usahihi.
 
MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
17,514

Hivi kwanini Albert Einstein alisema kwamba:
Logic will get you from A to B. But imagination will get you everywhere ???

Alikuwa anamaanisha nini alivyosema hivi ???
 
johnmweusi

Senior Member
Oct 7, 2013
198
250
Unawezaje kufikiri Correctly (usahihi) bila kutumia Logic (mantiki)?.

Hivi ni vitu viwili vinavyoendana, huwezi kufanya kimoja ukafanikiwa hata siku moja. Ni lazima uweze kuwa na logic ya kitu unachofanya ili kufanikisha kwa usahihi. Haitawezekana ukakamilisha jambo bila kuwa na logic ya kwanini unalifanya!.
Tuchukulie unataka kufungua biashara ya Nyanya hatua ya kwanza ni lazima ujue nini unataka kipeleka sokoni, vitu kama aina, muda, ubora, wateja, soko, package, msimu na bei ni vitu vya lazima kuvijua kabla hujaanza na hapo umetumia logic (mantiki) then unapoanza rasmi utafanya uzalishaji na kufata sheria ulizojiwekea hapo awali ili usipate hasara sokoni kwenye after sales hapo sasa unakuwa umetumia usahihi (correct).
Huwezi sema hili jambo nimelifanya kwa Logic (mantiki) bila Correction (usahihi) au huwezi sema hili jambo nimelifanya Correctly (sahihi) bila Logic (mantiki) its irrelevant!.
Unaweza tenganisha mafuta kwenye maji lakini huwezi tenganisha Mantiki na Usahihi.
Mkuu mimi nitofautiane na wewe kidogo. Naona kuna uwezekano wa kufikiri kwa mantiki lakini usiwe sahihi. Nizungumzie hapo Kwenye mfano wako. Assume MTU ambaye ametumia logic katika kufanya vitu hivyo alivyo ainisha hapo. (Muda,solo nk). Lakini kikatokea kitu labda ugonjwa ambao ni mpya kwa msimu huo(Dawa hazipatikani au zimeshindwa kuutibu) akapata hasara. Huyu MTU atakuwa amefikiria kwa Mantiki lakini hajawa sahihi.

Japo Mara nyingi MTU akifanya kitu kwa usahihi anakuwa alitumia mantiki kufanikisha. Ila anaweza akatumia mantiki lakini asiwe sahihi. Na kwa ulimwengu wetu saizi nadhani inabidi MTU awe sahihi zaidi ili afanikiwe kuliko kuwa na mantiki au awe navyo vyote kwa pamoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magobe T

JF-Expert Member
Mar 19, 2008
4,034
2,000
Salaam wadau

Kumekuwa na mijadala mingi ya kwa nini watu wengi hawafanikiwi katika shughuli zao. Kiuchumi, kifamilia, kielimu na nk. Moja ya sababu zilizo tajwa ni namna yao kufikiri mambo. Kwamba mafanikio au kuanguka huko hutegea namna yao kufikiri.

Nahitaji tusaidiane kama mada inavyo jieleza kipi ni Bora?

Nawasilisha.
Kilicho bora is to think intelligently/rationally.
 
Mubarridi

JF-Expert Member
Apr 6, 2018
22,188
2,000
Kufikiri kwa usahihi au usawa kukoje na kufikiri kimantiki kukoje ?

Je utajuaje kama hapa umefikiri sahihi au ni vigezo gani huzingatiwa ili nifikiri kwa usahihi ?
 
Mubarridi

JF-Expert Member
Apr 6, 2018
22,188
2,000
Unawezaje kufikiri Correctly (usahihi) bila kutumia Logic (mantiki)?.

Hivi ni vitu viwili vinavyoendana, huwezi kufanya kimoja ukafanikiwa hata siku moja. Ni lazima uweze kuwa na logic ya kitu unachofanya ili kufanikisha kwa usahihi. Haitawezekana ukakamilisha jambo bila kuwa na logic ya kwanini unalifanya!.
Tuchukulie unataka kufungua biashara ya Nyanya hatua ya kwanza ni lazima ujue nini unataka kipeleka sokoni, vitu kama aina, muda, ubora, wateja, soko, package, msimu na bei ni vitu vya lazima kuvijua kabla hujaanza na hapo umetumia logic (mantiki) then unapoanza rasmi utafanya uzalishaji na kufata sheria ulizojiwekea hapo awali ili usipate hasara sokoni kwenye after sales hapo sasa unakuwa umetumia usahihi (correct).
Huwezi sema hili jambo nimelifanya kwa Logic (mantiki) bila Correction (usahihi) au huwezi sema hili jambo nimelifanya Correctly (sahihi) bila Logic (mantiki) its irrelevant!.
Unaweza tenganisha mafuta kwenye maji lakini huwezi tenganisha Mantiki na Usahihi.

Nataka nikurudishe nyuma kidogo. Nini maana ya mantiki na ni ipi misingi ya mantiki ?
 
Mubarridi

JF-Expert Member
Apr 6, 2018
22,188
2,000
Zote ni sawa... kutegemea na scenario ya wakati huo...

Kufikiri kimantiki ni sawa pale linapokua ni jambo linalohitaji ushawishi zaidi... mfano wewe ni daktari bingwa wa mishipa ya fahamu unayetegemewa unaenda kua katibu kata...

Kufikiri kwa usahihi ni sawa pale linapokua ni jambo linalohitaji msukumo uliyoambatana na hisia zaidi... mfano usimfanyie jambo binadamu mwenzako ambalo wewe binfasi usingependa kufanyiwa...Cc: mahondaw

Haziwezi kuwa sawa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom