Wakati Mungu anaumba alipata wapi nyenzo?

Wakati Mungu anaumba alipata wapi nyenzo?

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,490
Reaction score
29,260
Kabla binadamu hajaumbwa Mungu alianza kuumba vitu na mazingira .

Kwa upande wa ardhi kama udongo hivi materials aliotumia hadi ukawa udongo sasa alipata wapi na hayo material yaliletwa na nani sasa.
 
Kabla binadamu hajaumbwa mungu alianza kuumba vitu na mazingira .

Kwa upande wa arthi kama udongo hivi materials aliotumia hadi ukawa udongo sasa alipata wapi na hayo materia yaliletwa na nani sasa.
Maandiko yanasema alitamka tu na vikawa. Hata mimes na viumbe vyote, alitamka tu, vikawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla binadamu hajaumbwa mungu alianza kuumba vitu na mazingira .

Kwa upande wa arthi kama udongo hivi materials aliotumia hadi ukawa udongo sasa alipata wapi na hayo materia yaliletwa na nani sasa.
Mkuu, maandiko yanasema binadamu tuliumbwa siku ya sita
ambapo aridhi, maji na mbingu vimeshaumbwa!

Ardhi maana yake na vilivyomo ndani ya ardhi (materials)

Maji na vilivyomo ndani ya maji (materials)

Mbingu na vilivyomo ndani ya mbingu (Materials)
 
Soma vizuri nimesema kabla hajaumba binadamu .
Nauliza wakati anaumba hivo alivyoumba kama ni udongo hayo material yalikuwa wapi
Mkuu, maandiko yanasema binadamu tuliumbwa siku ya saba ambapo aridhi,maji na mbingu vimeshaumbwa!!!
Ardhi maana yake na vilivyomo ndani ya ardhi (materials)

Maji na vilivyomo ndani ya maji (materials)

Mbingu na vilivyomo ndani ya mbingu (Materials)
 
katika galaxy kuna sayari zaidi ya bilioni yaani huu ulimwengu ni mkubwa hauna mfano kuna picha ilipigwa na chombo cha voyager, umbali wa mamilioni ya milles dunia inaonekana kama kidoti picha ilipigwa miaka 21 iliyopita na chombo hicho
nasa-20200220-0001.jpeg

yaani katika ulimwengu dunia ni kama tone la mchanga, yaani tupo wapweke, kuna misayari ipo mingi mingine ipo mbali yaani ulimwengu unatisha, na kuna mambo hta wanasayansi hawayajui anaeyajua ni mungu pekee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla binadamu hajaumbwa mungu alianza kuumba vitu na mazingira .

Kwa upande wa arthi kama udongo hivi materials aliotumia hadi ukawa udongo sasa alipata wapi na hayo materia yaliletwa na nani sasa.
The big bang theory inasema hapo mwanzo palikuwa na 'singularity' ambapo kapunje kamoja kalikuwa na uzito sawa na kila kitu kilichopo hapa ulimwenguni (near infinite density) baada ya kulipuka density yake ikaanza kupungua na material zote zikatokea hapo na kuanza kujioangilia katika galaxies na solar systems..
 
Kabla binadamu hajaumbwa mungu alianza kuumba vitu na mazingira .

Kwa upande wa arthi kama udongo hivi materials aliotumia hadi ukawa udongo sasa alipata wapi na hayo materia yaliletwa na nani sasa.
Aliumba vitu vyote from nothingness,hapa uwezo wetu wa kufikiri kama binadamu unafika kikomo chake.

Ukitafakari sana ubongo una stack na baadae unampa tu utukufu wake

Mungu ni mwamba mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom