Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,834
Nawasalimia sana watu wote wa hapa JF.
Nivema nikaeleza kwa ufupi kwanini tunajaribu kuieleza jamii kuhusu meditation.
Asilimia kubwa yetu sisi wanadamu tunakuwa hatuko aware na mabo yanatoendelea katika ulimwengu wetu. Akili zetu na uwezo wetu umedumaa kwa kiasi kikubwa sana. Mambo yanayoendelea katika ulimwengu tunakuwa hatuko aware nayo na mwisho wa siku ujinga ndani yetu unazidi kukomaa.
Tunajikuta tunaku tunaanza kushabikia vipi ambavyo havina hata uhalisia ilimradi tunahisi kuwa vinatufariji na kutupa virtual happiness. Tunakuwa na uwoga wa hali ya juu na kutishana sisi kwa sisi kwa sababu tunakuwa kwenye giza na upofu wa hali yajuu. Kwa sababu tunakuwa tupo kwenye giza zito totoro kila sauti tunayosikia tunatetemeka sana na kuogopa kwa kiasi kikubwa.
Kila kitu kinacho fanyika kila baada ya sekunde tunakuwa hatukijui hatuko aware japo kuwa kinafanyika katika mazingira yetu. Unaweza ukajiuliza tu swali moja je unaweza ukajua vitu vyote vilivyotendeka kwa mda wa dakika tono zilizopita?. Kwa uhakika jibu litakuwa ni hapana asilimia chini na 20% ndio utaweza kukumbuka.
Awareness ya kila kinachofanyika na connection ya kwako binafsi inahitajika sana kwetu sisi. Kwa sasa kuna njia moja ambayo ni nzuri inayoweza kumsaidia mtu kuelekea kwenye awareness. Meditation ndio njia moja muhimu sana. Nimeanzisha somo maalumu kwaajili ya kujifunza namna ya kuelekea kujielewa kwa hatua.
Kunawakati mambo muhimu yanafanyika kwaajili ya manufaa yako lakini wewe binafsi unakuwa hauko aware na hatimaye unajikuta uko nje ya mstari. Kwanini sasa tusiamushe awareness yetu?