Kwa nini baada ya ten(10) haifuati ten one??(11)

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,319
Reaction score
3,432
heshima kwenu waakuu nina kaswali kangu simple kila mtu anajua kwamba baada ya ten,inafuata eleven (11)twelve(12),thirteen (13)n.k,

swali langu ni kwanini baada ya ten haifuati ten one(11),ten two(12) ten three (13)n.k kama ilivyo twente one (21),twenty two(22),twenty three(23),twenty four,forty one(41),forty five (45)forty six(46) n.k
 
Dah!
Kuna tuvitu tunachukulia easy,ila tugumu!
 
heshima kwenu waakuu nina kaswali kangu simple kila mtu anajua kwamba baada ya ten,inafuata eleven (11)twelve(12),thirteen (13)n.k,

swali langu ni kwanini baada ya ten haifuati ten one(11),ten two(12) ten three (13)n.k kama ilivyo twente one (21),twenty two(22),twenty three(23),twenty four,forty one(41),forty five (45)forty six(46) n.k

Ahsante kwa link.
Swali linabaki,kwanini waliamua kuita one left na two left badala ya oneteen na twoteen?

Wakuu hiyo matter of language!
Ukitaka kila kitu kiende kwa uswahili ushwahili haiwezekani kwa lugha za wenzetu!
...
Embu jiulize, kwanini sisi tuna 'vile vile' 'mbali mbali' 'mara kwa mara' 'moja kwa moja' ...nk maneno yenye muundo huo huwezi kuyakuta kwenye kiingili, na ukijaribu kuyapeleka kwenye kiingilisha kwa mtindo huo inakula kwako!
 
Hili Jukwaa lina maswali magumu sana halafu hili swali limefanana sana na hiyo Avator yake mr Aladeen
 
Wakuu hiyo matter of language!
Ukitaka kila kitu kiende kwa uswahili ushwahili haiwezekani kwa lugha za wenzetu!
...
Embu jiulize, kwanini sisi tuna 'vile vile' 'mbali mbali' 'mara kwa mara' 'moja kwa moja' ...nk maneno yenye muundo huo huwezi kuyakuta kwenye kiingili, na ukijaribu kuyapeleka kwenye kiingilisha kwa mtindo huo inakula kwako!

nakupata mkuu ila i just wanted to know the logic behind sina uwelewa na lugha nyingine sana ila nitakupa mifano na lugha ninazozielewa, ukitafsiri hizo namba 11,12,13 n.k kwa kiswahili haibadili maana kwa maana tunaita kumi na moja, kumi na mbili,kumi na tatu na zinaandikwa hivyo hivyon.k,kwa kiarabu tunaita ihda ashara(11),ithna ashara (12),thalataha ashara ( 13) n.k ukiangalai lugha zote mbili hizo namba za asili hazibadiliki kuitwa vinginevyo kama zilivyo kwa kiingereza (kuletwa maneno mapya eleveni,twelve,thirteen n.k) kwa kiarabu ashara=kumi,ihda(ahad)=moja,ithna=mbili,thalatha=3 so swali kwa nini kingereza kipo hivyo tofauti kabisa na lugha nyinginezo mwenye uelewa na luga nyingine kama kifaransa,kichina au kijerumani aje atuambie hizo namba zinaitwaje kwa lugha hizo labda nitafunguka kidogo...
 
Mamba za msingi ni kumi tu...sifuri hadi tisa...baada ya halo hujirudia hizo hizo kwa namna tofauti pengine kulingana name lug a husika... Kumi ni sifuri na moja... 11...12...13 n.k kwa MANENO ya kiingereza ingeweza Kuwa ...ten one ....eleven...ten two...twelve...ten three...thirteen....ukichunguza utaona yametokana name namba za msingi zile kumi...hata ukienda twenty...twenty one... Twenty two...twenty imetokana na mzizi two...thirty...three...fourty...four...etc . huu in mtazamo Wangu...
 
heshima kwenu waakuu nina kaswali kangu simple kila mtu anajua kwamba baada ya ten,inafuata eleven (11)twelve(12),thirteen (13)n.k,

swali langu ni kwanini baada ya ten haifuati ten one(11),ten two(12) ten three (13)n.k kama ilivyo twente one (21),twenty two(22),twenty three(23),twenty four,forty one(41),forty five (45)forty six(46) n.k

kwa uwelewa wang...swala la hili linatokana na lugha. Kimsingi matumizi ya lugha uenda sambamba kabisa na lahaja za sehem husika. Hivyo kama ungejua lugha za asili za waingereza ingesaidia sana katika tafiti hii. Lakin pia ukiachia lahaja kitu kingne ni mazingira, vipumuo na tone hizi hutofautisha sana maana za maneno ya kiingereza haswa tone hutofautisha sana maana za maneno.
 
Wakuu hiyo matter of language!
Ukitaka kila kitu kiende kwa uswahili ushwahili haiwezekani kwa lugha za wenzetu!
...
Embu jiulize, kwanini sisi tuna 'vile vile' 'mbali mbali' 'mara kwa mara' 'moja kwa moja' ...nk maneno yenye muundo huo huwezi kuyakuta kwenye kiingili, na ukijaribu kuyapeleka kwenye kiingilisha kwa mtindo huo inakula kwako!
far far😂 mbali mbali
 
Mamba za msingi ni kumi tu...sifuri hadi tisa...baada ya halo hujirudia hizo hizo kwa namna tofauti pengine kulingana name lug a husika... Kumi ni sifuri na moja... 11...12...13 n.k kwa MANENO ya kiingereza ingeweza Kuwa ...ten one ....eleven...ten two...twelve...ten three...thirteen....ukichunguza utaona yametokana name namba za msingi zile kumi...hata ukienda twenty...twenty one... Twenty two...twenty imetokana na mzizi two...thirty...three...fourty...four...etc . huu in mtazamo Wangu...
Kuna kitabu kimoja nilisoma kinaelezea mambo km haya ngoja nikichimbue
 
heshima kwenu waakuu nina kaswali kangu simple kila mtu anajua kwamba baada ya ten,inafuata eleven (11)twelve(12),thirteen (13)n.k,

swali langu ni kwanini baada ya ten haifuati ten one(11),ten two(12) ten three (13)n.k kama ilivyo twente one (21),twenty two(22),twenty three(23),twenty four,forty one(41),forty five (45)forty six(46) n.k
Inayofuata ni ten one (11) isipokuwa inatamkwa eleven!
 
Kwanini mchicha usiitwe matembele na matembele yakaitwa mchicha!? Waanzilishi wa lugha ndio walitaka iwe hivyo.. Wangetaka simba angeitwa mbuzi halafu mbuzi amgeitwa chui... [emoji23]
 
What If nikisema

Kumi na moja, kumi na mbili kumi na tatu...
Ishirini na moja, ishirini na mbili, ishirini na tatu...

Ni swala la lugha tu
 
Very logical question, ila nadhani ni ishu ya lugha tu
 
Nahis hapo nyuma kulikuw na lugha ndogo ndogo zilizo unda kiingereza cha leo hii. Baadh ya maneno hata namba zimetoka katika lugha hizo. Yaan mfano hapa kwetu kiswahili kina maneno mengi ya lugha za asili ( hasa bantu). Ukija kwny namba mfano mbili-ibhili, tatu-esatu n.k, nimetumia lugha za kanda ya ziwa. Utagundua kuna mchango mkubwa wa lugha za asili, hivyo hata kiingereza nahis kuna herufi zilibebwa hivyo hivyo kutoka lugha ndogo ndogo zinazounda kiingerza ila ni miaka mingi ilopita.
 
Kila lugha ina upekee fulani katika uundwaji wa maneno na huwa na lahaja tofauti katika lugha moja kulingana na mahali watumiaji wa lugha walipo.

Mathalani, katika Kiswahili kwa uwingi tunahesabu machungwa "mawili, matatu, manne, matano..."; lakini hatuendelei kusema "masita au masaba."

Tunasema machungwa "sita au saba." Kisha tunaendelea manane au nane, lakini tunaacha tena kutumia "ma", tunasema machungwa tisa na kisha kumi. Si machungwa matisa au makumi!

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom