Kwanini watu wengi wanaandikia mkono wa kulia?

musami

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2011
Posts
1,434
Reaction score
460
Ni jambo ambalo nimekuwa nikijiuliza iweje idadi kubwa ya wanadamu hutumia mkono wa kulia,kwa kufanya shughuli mbalimbali hasa kuandika.Wakati ilipaswa tutumie mkono wa kushoto kwa maana katika lugha nyingi katika kuandika au kusoma tunaanzia upande wa kushoto kwenda kulia hivyo mkono sahihi kutumia ulipaswa uwe wa kushoto.Labda waarabu na watu wa lugha nyingine wanazoanzia kuandika au kusoma kulia kwenda kushoto ndio wanapaswa kutumia mkono wa kulia.Unasemaje mdau, maana hata wewe nadhani ni muathirika
 
Mmh swali zuri, ngoja wajuzi watujuze
 
Mmh swali zuri, ngoja wajuzi watujuze

nijuavyo, ubongo umegawanyika sehemu mbili, right & left hemispheres, right hemisphere inacontrol upande wa kushoto wa mwili, left hemisphere inacontrol upande wa kulia, kwa walio wengi left hemisphere ni dominant zaidi hivyo kuwafanya kutumia zaidi upande wa kulia, kwa wachache right hemisphere ndio dominant hivyo kufanya watumie upande wa kushoto, hilo sio suala la kuchagua linatokea tu, mwenye additional informations ataongezea..
 
Good Explanations...from Linguistics point of view
 
Me ninavojua viungo vya kushoto vya mtu vinaongozwa na ubongo kulia likewise vya kulia na ubongo wa kushoto, halafu ni kwamba right hemisphere ya brain ndio ipo efficient zaidi, na ndio maana wengi wanotumia left hands au miguu wapo vizuri kama ni darasani kwenye soccer wapo extraordinary, this is because kutokana na kutumia viungo vyao vya kushoto inasababisha ubongo wa kulia kufanya kazi zaidi na huo upande wa ubongo ukishughulishwa huwa upo vizuri. zaidi, ndio maana hapo zamani dola kubwa kubwa zilipogundua hayo mambo ikapinga sana watu kutumia left hands au legs, walijua watu watakuwa very intelligent and it will be much difficult to rob em, what shud be done wakaamua kumake things up kuhusu upande wa kushoto na viungo vya kushoto, angalia dini zinavoupinga upande wa kushoto, mwana wa Mungu atakaa mkono wa kuume wa kiti cha enzi, mara wale si wake atawaweka kushoto wakachomwe moto, mila na desturi nyingi zamani zilipinga sana matumizi ya kushoto,because ukitumia kushoto utatumia right hemisphere ya ubongo.
Sidhani kama kuna mtu anazaliwa automaticaly anadepend upande flani zaidi, ni katika kujifunza funza ndio mtu anaamua kutumia upande mmoja wapo.
Wataalam zaidi watakuja elezea hii kitu.
 
nijuavyo, ubongo umegawanyika sehemu mbili, right & left hemispheres, right hemisphere inacontrol upande wa kushoto wa mwili, left hemisphere inacontrol upande wa kulia, kwa walio wengi left hemisphere ni dominant zaidi hivyo kuwafanya kutumia zaidi upande wa kulia, kwa wachache right hemisphere ndio dominant hivyo kufanya watumie upande wa kushoto, hilo sio suala la kuchagua linatokea tu, mwenye additional informations ataongezea..

Ni nini kinafanya bongo za wengine kudominate kulia na wachache iwe kushoto?
 
Ni jambo ambalo nimekuwa nikijiuliza iweje idadi kubwa ya wanadamu hutumia mkono wa kulia,kwa kufanya shughuli mbalimbali hasa kuandika.Wakati ilipaswa tutumie mkono wa kushoto kwa maana katika lugha nyingi katika kuandika au kusoma tunaanzia upande wa kushoto kwenda kulia hivyo mkono sahihi kutumia ulipaswa uwe wa kushoto.Labda waarabu na watu wa lugha nyingine wanazoanzia kuandika au kusoma kulia kwenda kushoto ndio wanapaswa kutumia mkono wa kulia.Unasemaje mdau, maana hata wewe nadhani ni muathirika

Mi nahisi ni namna tu mtu anavyozoeshwa or anavyojizoesha.

Mtoto anapokuwa mdogo anakuwa hana mpangilio maalum wa kukontro viungo vyake.

Soon atakapoanza kutumia mikono, wazazi humfundisha kula, kupokea na kutoa kwa kutumia mkono wa kulia.

Nakumbuka kipindi nacheza mpira wa miguu, nilikuwa nikitumia mguu wa kulia, kuna kipindi niliumia enke na kunifanya nisiweze kucheza mpira, nami mpira niliupenda sana, niliamua kujichanganya hivyo hivyo na kuanza kutumia mguu wa kushoto, nilipoa enke kama baada ya miezi mitatu. Kutoka hapo nikawa naweza kutumia miguu yote miwili.

Kukiwa na mechi ya kitaa we nibipu tu. Ukiniwekea kulia nawasha, ukiniwekea kushoto nafunika.
 
nlivoanza kusoma na kuandika I was left-handed,mama ndo alitufundisha kusoma kabla ya kuanza shule alinichapa ili tu niwe right-handed,sa cjui kuwa mashoto aliona ni km kilema,still kuna vitu nafanya kilefthanded sana,...sijui why some are right or left but ukiwahiwa tangu mtoto una adapt upAnde mwingine vzur tu
 
Ni kweli watoto wengi wanapoanza kuandika hupenda kutumia mkono wa kushoto,lakini hulazimishwa na wakubwa kutumia kulia.Nadhani huwa wanatafakari kama maandishi yanaanzia kushoto kwenda kulia basi mkono sahihi ni wa kushoto
 
Me ninavojua viungo vya kushoto vya mtu vinaongozwa na ubongo kulia likewise vya kulia na ubongo wa kushoto, halafu ni kwamba right hemisphere ya brain ndio ipo efficient zaidi, na ndio maana wengi wanotumia left hands au miguu wapo vizuri kama ni darasani kwenye soccer wapo extraordinary, this is because kutokana na kutumia viungo vyao vya kushoto inasababisha ubongo wa kulia kufanya kazi zaidi na huo upande wa ubongo ukishughulishwa huwa upo vizuri. zaidi, ndio maana hapo zamani dola kubwa kubwa zilipogundua hayo mambo ikapinga sana watu kutumia left hands au legs, walijua watu watakuwa very intelligent and it will be much difficult to rob em, what shud be done wakaamua kumake things up kuhusu upande wa kushoto na viungo vya kushoto, angalia dini zinavoupinga upande wa kushoto, mwana wa Mungu atakaa mkono wa kuume wa kiti cha enzi, mara wale si wake atawaweka kushoto wakachomwe moto, mila na desturi nyingi zamani zilipinga sana matumizi ya kushoto,because ukitumia kushoto utatumia right hemisphere ya ubongo.
Sidhani kama kuna mtu anazaliwa automaticaly anadepend upande flani zaidi, ni katika kujifunza funza ndio mtu anaamua kutumia upande mmoja wapo.
Wataalam zaidi watakuja elezea hii kitu.

i like that,nilikuwa najiuliza kwanini natural left footer/hands are so bright
 
Mi nahisi ni namna tu mtu anavyozoeshwa or anavyojizoesha.

Mtoto anapokuwa mdogo anakuwa hana mpangilio maalum wa kukontro viungo vyake.

Soon atakapoanza kutumia mikono, wazazi humfundisha kula, kupokea na kutoa kwa kutumia mkono wa kulia.

Nakumbuka kipindi nacheza mpira wa miguu, nilikuwa nikitumia mguu wa kulia, kuna kipindi niliumia enke na kunifanya nisiweze kucheza mpira, nami mpira niliupenda sana, niliamua kujichanganya hivyo hivyo na kuanza kutumia mguu wa kushoto, nilipoa enke kama baada ya miezi mitatu. Kutoka hapo nikawa naweza kutumia miguu yote miwili.

Kukiwa na mechi ya kitaa we nibipu tu. Ukiniwekea kulia nawasha, ukiniwekea kushoto nafunika.

Hapo naeza kuamin ni mazoea pia yanaeza kuchangia tangu ukiwa mdogo maana mie nawezaga kutumia both hands..wa kushoto na kulia
 
watu wanaotumia mkono wa kushoto kuandika kama mm wanakuwaga na akili sana ..Raisi wa marekani Baraka na Raisi wa kenya Uhuru Kinyatta wote wanatumia leshoti waangalie walivyokuwa na akili na busara
 
mi naandikia mikono yote sa sijajua imekaaje hii au ni ukilema
 
Me ninavojua viungo vya kushoto vya mtu vinaongozwa na ubongo kulia likewise vya kulia na ubongo wa kushoto, halafu ni kwamba right hemisphere ya brain ndio ipo efficient zaidi, na ndio maana wengi wanotumia left hands au miguu wapo vizuri kama ni darasani kwenye soccer wapo extraordinary, this is because kutokana na kutumia viungo vyao vya kushoto inasababisha ubongo wa kulia kufanya kazi zaidi na huo upande wa ubongo ukishughulishwa huwa upo vizuri. zaidi, ndio maana hapo zamani dola kubwa kubwa zilipogundua hayo mambo ikapinga sana watu kutumia left hands au legs, walijua watu watakuwa very intelligent and it will be much difficult to rob em, what shud be done wakaamua kumake things up kuhusu upande wa kushoto na viungo vya kushoto, angalia dini zinavoupinga upande wa kushoto, mwana wa Mungu atakaa mkono wa kuume wa kiti cha enzi, mara wale si wake atawaweka kushoto wakachomwe moto, mila na desturi nyingi zamani zilipinga sana matumizi ya kushoto,because ukitumia kushoto utatumia right hemisphere ya ubongo.
Sidhani kama kuna mtu anazaliwa automaticaly anadepend upande flani zaidi, ni katika kujifunza funza ndio mtu anaamua kutumia upande mmoja wapo.
Wataalam zaidi watakuja elezea hii kitu.

good explanation lakini nataka ni add kitu hapo left hemisphere huwa ina deal na ujuzi wa lugha kutofautisha sauti,sura pia mathematics abilities generally(i mean kutunza kumbukumbu) kama unahitaji kukumbuka kitu left hemisphere ndo huwa unakumbuka,right hemisphere huwa ina deal na skills na talents ndio maana mtu ambae right hemisphere yake ndio dominant kipaji chake huwa ni kikubwa zaidi ya yule ambae left hemisphere ni dominant mfano wacheza mpira wanaotumia mguu wa kushoto wengi ni extraordinary L.Messi is good example
 
Mi nahisi ni namna tu
mtu anavyozoeshwa or anavyojizoesha.

Mtoto anapokuwa mdogo anakuwa hana mpangilio maalum wa kukontro viungo
vyake.

Soon atakapoanza kutumia mikono, wazazi humfundisha kula, kupokea na
kutoa kwa kutumia mkono wa kulia.

Nakumbuka kipindi nacheza mpira wa miguu, nilikuwa nikitumia mguu wa
kulia, kuna kipindi niliumia enke na kunifanya nisiweze kucheza mpira,
nami mpira niliupenda sana, niliamua kujichanganya hivyo hivyo na kuanza
kutumia mguu wa kushoto, nilipoa enke kama baada ya miezi mitatu.
Kutoka hapo nikawa naweza kutumia miguu yote miwili.

Kukiwa na mechi ya kitaa we nibipu tu. Ukiniwekea kulia nawasha,
ukiniwekea kushoto nafunika.

Your words are not scientifically proven
 
i like that,nilikuwa najiuliza kwanini natural left footer/hands are so bright

Hawa left handers are so bright.Ukitaka kujua zaidi kuna club yao duniani inaowajumuisha wote lefthanders.Anayetaka kujua zaidi ingia www.lefthanders.com utakuta maswala yote kuhusu watu wa namna hiyo.Hii club raisi Obama ni mmoja wa member.Mle wametaja watu wakubwa katika maswala mbalimbali duniani ambao wamefanya makubwa ambayo yapo kwenye rikodi.Mtu kama Isack Newton,Bill gates,Mmiliki wa Facebook,Barack Obama,Lionel Messi,Ruben n.k wote wanatumia shoto.Pia wanasayansi wanne kati ya wale wamarekani walioenda mwezini wanatumia shoto.Kwa kujua zaidi ingia hapo kwenye mtandao maswali yote utajibiwa kisayansi na wanasayansi.
 
Back
Top Bottom