Je, Mungu ana sura gani?

Je, Mungu ana sura gani?

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,626
Mungu amemuumba mwanadamu kwa sura na mfano wake.
Dunia hii ina watu wa rangi mbali mbali. Kuna wazungu, waafrika, waarabu, waasia, n.k.
Swali linakuja, je, Mungu amechukua sura ya watu wa wapi hapa duniani? Ni mweusi au mweupe? Mwarabu au muasia?
 
Sura ya kufanana na wewe.
"......basi tumfanye binadamu kwa mfano wetu......"
 
Mwanzo 1:27-28
[27]Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.
[28]Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi.
 
Kwani hujasikia watu fulani wakisema nikisimama tu ni mungu kasimama?
 
Mungu amemuumba mwanadamu kwa sura na mfano wake.
Dunia hii ina watu wa rangi mbali mbali. Kuna wazungu, waafrika, waarabu, waasia, n.k.
Swali linakuja, je, Mungu amechukua sura ya watu wa wapi hapa duniani? Ni mweusi au mweupe? Mwarabu au muasia?
Wewe unafanana na nani?
 
Sura ya kufanana na wewe.
"......basi tumfanye binadamu kwa mfano wetu......"
Wakati anasema hivyo alimuumba binadamu wa sura gani?
Tukijua hivyo ndo tutajua sura yake.
 
Mwanzo 1:27-28
[27]Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.
[28]Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi.
Hujajibu swali. Mungu ana sura ya rangi gani kati ya hizi 'race' za dunia hii?
 
Jibu ni evolution
Binadamu wotee tumetokea kwa common ancestry lakini tukawa tuna badilika kutoka na mazingira na natural selecton
Huyo common ancestry ni 'race' ipi?
 
Mwanzo 1:27-28
[27]Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.
[28]Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi.
Huyu alietoa hii kauli yeye alikuwa wapi wakati Mungu anaumba?
 
Mungu amemuumba mwanadamu kwa sura na mfano wake.
Dunia hii ina watu wa rangi mbali mbali. Kuna wazungu, waafrika, waarabu, waasia, n.k.
Swali linakuja, je, Mungu amechukua sura ya watu wa wapi hapa duniani? Ni mweusi au mweupe? Mwarabu au muasia?
Mungu hajamuumba mwanadamu kwa sura na mfano wake. Huyu mwanadamu wa leo anayehalalisha ushoga? Huyu mwanadamu wa leo ambaye anaigiza filamu za ngono huku wakimlawiti mwanamke, mwanadamu huyu anayefanya unafiki katika ardhi ya Mwenyezi Mungu ndio awe mfano wa Mungu. Nimekataa. Hilo andiko linahitajika kifutwa
 
Upo nje ya mada ndugu.

Leo tunataka kujua sura ya Mungu.

Hiyo mada yako ilete siku nyingine kwa uzi mwingine.
 
Back
Top Bottom