Je, ni kwanini simu za mkononi zina pembe nne?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
37,889
43,778
Kwanini sio pembe tatu, tano au walau umbo la duara au yai? au hata pembe sita?
==================================
Update: 20/09/2021
 
fikiria... kama ingekua na pembetatu ungekua unaitumiaje?, yaani (jinsi ya kuishika na position ya screen)... alafu urudi tena hapa.
nadhani pembe tatu ingekuwa na muonekano wa kipekee kabisa na kuvutia machoni..., pia ingekuwa inashikika kiurahisi mno..
 
Kwanini sio pembe tatu, tano au walau umbo la duara au yai? au hata pembe sita?

Mkuu wazo unalotoa ni la kufikirika tu,hii ni taaluma watu wanalipwa mishahara inaitwa Egornomics...wanaangalia actually binadamu ana tendency zipi na equipment ijengwe umbo gani ku suit urahisi wa matumizi na confortability sio unachofikiria wewe ndoto zako...umbo hilo halipo au sio popular kwa sababu ni irrelevant kabisa,lingekua ni safi na inarahisisha matumizi yakawa bora na wao wakapata faida,na pia huwa hawaangalii mwanadamu "anasema" nini,hua wanaangalia "actual tendency" za huyo binadamu....

Ni kama facebook,instagram au microsoft products,hawaangalii user ametoa comments gani za ku improve product,hua wanaangalia consolidated user experience data zinazopatikana wakati user wanatumia ndio wana draw improvements toka humo,na wala sio ujinga wa vicomment au vi emails vya user wanavyotuma microsoft.

Hua binadamu ana tendency ya kijinga ya ku comment kitu ambacho actually ni kinyume kabisa na user experience data zinazokusanywa huku back-end....
 
Kabisa, kila kitu ni mazoea. Tungekuwa tumezoea kula nyoka na kuona ng'ombe haramu tungekuwa tunamshangaa sana anaekula ng'ombe. Kama sisi tunavyowashangaa wakina Xi Ping.
Wakati mchemsho wa nyoka ni viagra moja matata sana
 
Back
Top Bottom