Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Kwa wataalam napenda wanijulishe kama kunamadhara utapata ikiwa mtu atatahiriwa akiwa juu ya miaka 45
0 Reactions
43 Replies
9K Views
Naomba kujuzwa hili linasababishwa na nini na ni dalili za ugonjwa gani. Maana nina siku kama 4 tokea nikutane na mdada kimwili. Nimeanza kusikia maumivu ya kawaida jana kipindi nikikojoa...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Tangia jumapili mpaka Leo hii naumwa sana. Yani kila ninapoenda Haja ndogo tumbo linaniuma sana chini ya kitovu pia uume nao huuma. Sasa nashindwa kuelewa ni ugonjwa wa aina gani umenikumba.
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Salamu kwenu nyote wana JF. Nina mdogo wangu alikuwa anasumbuliwa na maumivu wakati wa kukojoa na alipoenda kupima kaambiwa ana UTI. Alipewa dozi ya UTI, dawa zimeisha lakini bado maumivu...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
The latest research shows that the main active ingredient of ginger can prevent the growth of cancer cells in the colon and destroy cancer cells in the ovaries. Tule sana misosi lakini tususahau...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
tangu nakua,nimekuwa nikisikia kuwa mtoto mchanga hasa wa kiume 'wa kike sina hakika', anapozaliwa,endapo kitovu chake kitaangukia sehemu nyeti basi atakuwa hana nguvu za kiume au uwezo wa...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
kuna kaugonjwa kameingia dar cha watu kuvimba lymph ktk shingo,chini ya sikio si kwa watoto wala vijana wala watu wazima utawakuta wamevimba,je tatizo hili kwa nini lizuke zaidi wakati huu,je...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
habari zenu wadau/wakuu.... Ni hivi nina dada yangu ambaye anasumbuliwa na maumivu makali sehemu yake ya uzazi. Kwa mujibu wa maelezo yake,anasema anapata maumivu makali sana kama ya jipu hasa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wanaJF. Mimi nina tatizo la mapigo ya moyo kwenda haraka haraka sana, kuchoka bila ya kufanya kazi na nikifanya mazoezi kidogo hali inakuwa mbaya, nahema sana. Nimefanyiwa vipimo vya...
0 Reactions
7 Replies
18K Views
Habari zenu wapendwa! Jicho langu la mkono wa kushoto linacheza sana chini hii ni wiki ya pili halitulii na linacheza kwa nguvu hata mtu akiniangalia anabaini bila kuambiwa, cjui tatizo ni nini...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
  • Redirect
Habari wakuu Mimi nasumbuliwa na tatizo la miguu. Inauma kwenye foot kwa chini upande wa kwenye vidole. Kwa juu hakuna shida wala kurudi kwenye kisigino hakuna shida. Nikitembea juani inakuwa kama...
0 Reactions
– Replies
– Views
Halo wadau, mambo ni aje?? Nina mtoto wa kiume wa umri wa miaka miwili na miez mitatu, ananipa mawazo sana, akisikia haja ndogo utasikia anakwambia nataka jojoa na either aende nje au atakwenda...
1 Reactions
46 Replies
14K Views
Ukwaju ni tunda ambalo kila mmoja wetu analifahamu...na linatumika sana katika majumbani kwetu kama tunda la kawaida au katika kutengenezea juice..... .....Ukwaju huo huo unaweza kutumika kama...
4 Reactions
18 Replies
47K Views
Kila anapoingia kipindi cha hedhi hupata maumivu makali kisha hutoka damu ambayo huambatana na kijinyama kidogo mfano wa harage kina rangi ya kahawia. Wale wataalamu wa sekta ya afya msaada wa haraka.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanajamii forums naombeni msaada. Nina mtoto wa miezi miwili hapati choo. Tatizo lake lilianza akiwa na wiki kama mbili choo akawa hapati ingawa mwanzoni alikuwa akipata choo vizuri tu. Anaenda...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Imepita wiki moja tangu nifanye unsafe sex na yule msichana sasa najikuta uume wangu unawasha na kutoa maji maji kama usaha and ofcourse nimepanga baada ya miezi mitatu niende ANGAZA kucheki kama...
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Nimekuwa nikijiuliza kwanini madaktari walipendekeza kuvaa makoti meupe je kuna uhusiano wowote wa rangi nyeupe na concept za kisayansi
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Hivi jamani wana JF, tabia za mtu mwwnye kisukari ni zipi? Maana kuna tabia mume wangu anazo kwa kweli zinanichosha sana. Kuongea kwa upole kwake ni issue, kitu kidogo anakufokea then anazira...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Wazoefu naomba msaada wenu,wanandoa wanatakiwa kukutana mara ngapi kwa wiki bila athari za kiafya wala kuchoshana?
1 Reactions
38 Replies
5K Views
Nimepata kusikia eti unapofika kileleni na manii kutoka kwa mwanaume kwenda kwa mwanamke kwamba wakati huo huo kuna majimaji fulani hutoka kwa mwanamke na kuelekea kwa mwanaume. Inasemekana...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom