As Salafiyyu91
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 2,537
- 2,530
Ukwaju ni tunda ambalo kila mmoja wetu analifahamu...na linatumika sana katika majumbani kwetu kama tunda la kawaida au katika kutengenezea juice.....
.....Ukwaju huo huo unaweza kutumika kama kinogesho katika mapenzi yako....kivipi..
Watu wazamani wanaofahamu wanasema kuwa ukichukua vipande vyako vya ukwaju vichache...ukavimenya vizuri kisha ukachanganya na asali yako vijiko 3..mdalasini vijiko vitatu...na tangawizi vijiko vyako vitatu...kisha changanya na maji glass moja...then acha hapo huo mchanganyiko kwa dk 45...,halafu ukachuja na kunywa.....hakikisha mnakunywa wote wewe na mke wako....hii huongeza handasi yaani muda wa mechi huongezeka...yaani hata kama mume anatatizo la kuwahi kumaliza mapema yaani dk 5 nyingi kashamaliza.....hii itamsaidia aweze kufanya jimai (tendo la ndowa) kwa muda mrefu ....na kusaidia woote muweze kuenjoy katika tendo hilo......na pia huongeza joto mwilini.
Pia ukwaju ni dawa nzuri sana ya kulainisha ngozi na kutoa chunusi.
Chukua ukwaju wako...loweka ktk maji...ukisha lainika..changanya na asali...then paka usoni....ni dawa nzuri sana na utaona ngozi yako inabadilika kwa kipindi kifupi sana......haya yote nimambo ya ukwaju .......
Akina dada chukueni fursa hii kutumia ukwaju na kuachana na mikorogo ambayo inawaharibu mpaka inakuwa kero tukikutana na nyinyi kwenye madaladala yaani mnatia kinyaa sana mfano angalia baadhi ya picha za akina dada ambao mkorogo ume dunda
sasa wanadada kama hawa ukutane nae kwenye daladala kweli utaweza kukaa nae siti moja kweli yawezekana au kwa Mwanamme ambaye anatafuata mtu wa kumweka ndani kweli akutane na binti kama hawa kweli atakuwa nawazo la kumuweka ndani ? Enyi akinadada badilikeni acheni ushamba wakutaka uwe mweupe......
AHSANTENI